Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
CHECK THE HOUSES IN THIS VIDEO
CHECK THE HOUSES IN THIS VIDEO
Nairobi unaitembea kwa miguu1590 km sq ufananishe na 696 km sq hehehehehehe kweli mkapimwe akili
View attachment 482778
View attachment 482780
hahaha bado akili zao zinawaza 90sJamaa mmoja nanyimbo za Nairobi city of Glass
hahaha hizo ngonjera zilikuwepo miaka ya 90
kwasas hata Juba wana glass
hilo ndio tatizo lao sasa mtu anakuja anakwambia kenya has the fastest internet in africa and middle east hahaha hawa naona akili zao fupi sana, eti middle east hahahahhaDaah
😀😀
Tena yuko serious
tunataka battle za kisumu na mombasa sasa niwaoneshe balaa na wonders za huko heheheeh hamutoamini na hamutoangalia mara mbiliReal beautiful. Na ukicheki hiyo bahari ndo usiseme.
Please tutupie basi double road ya Arusha. Nasikia imenoga ile balaa.
Ahaaa haaa ... Kenya hamna mji mwingine zaidi ya Nairobi. Wenyewe Nairobi ndo Kenya. Miji mingine siyo Kenya. Ndo maana wanawekeza bajeti ya nchi yote NAIROBI.tunataka battle za kisumu na mombasa sasa niwaoneshe balaa na wonders za huko heheheeh hamutoamini na hamutoangalia mara mbili
tunataka battle za kisumu na mombasa sasa niwaoneshe balaa na wonders za huko heheheeh hamutoamini na hamutoangalia mara mbili
Unajua mtu kabla hujapost habari inabidi ufanye utafiti kidogo kuhakikisha kama ni kweli au laa.hilo ndio tatizo lao sasa mtu anakuja anakwambia kenya has the fastest internet in africa and middle east hahaha hawa naona akili zao fupi sana, eti middle east hahahahha
Viwanda vyote vya Kenya,uchumi wote wa Kenya uko Nairobi hehheheheAhaaa haaa ... Kenya hamna mji mwingine zaidi ya Nairobi. Wenyewe Nairobi ndo Kenya. Miji mingine siyo Kenya. Ndo maana wanawekeza bajeti ya nchi yote NAIROBI.
Watoe wapi hehe unafkiri mchezoNiliwauliza Mombasa ina hii kitu!!
Wakapita kimyaa!!
![]()
Unajua mtu kabla hujapost habari inabidi ufanye utafiti kidogo kuhakikisha kama ni kweli au laa.
Kuliko kutuma kitu halafu kikawa ni cha uongo.
Ndugu zetu wanatuma tuu habari yoyote iliyokuwa nzuri hata kama ni uongo.
Hivyo si vizuri, mtu unajiaribia jina.
Kuna watazamaji wazuri mmoja wapo ni mm, hatujawahi kufika Nairobi lakini tushapata idea ya Jiji la Nairobi. Iko sehemu za kufurahia ( ziko sehemu mm binafsi nimezipenda) na zimepangiliwa vizuri saana ndani ya jiji la Nairobi na sehemu zengine hazijapangiliwa na zinasikitisha.
Kwa maoni yangu mm"
Watu wakituma kitu wahakikishe kwanza halafu watume.
https://www.google.com/url?sa=t&sou...ggrMAQ&usg=AFQjCNHOyegi6Q8O3CU3jGfyN8Eh0gtpmgUnajua mtu kabla hujapost habari inabidi ufanye utafiti kidogo kuhakikisha kama ni kweli au laa.
Kuliko kutuma kitu halafu kikawa ni cha uongo.
Ndugu zetu wanatuma tuu habari yoyote iliyokuwa nzuri hata kama ni uongo.
Hivyo si vizuri, mtu unajiaribia jina.
Kuna watazamaji wazuri mmoja wapo ni mm, hatujawahi kufika Nairobi lakini tushapata idea ya Jiji la Nairobi. Iko sehemu za kufurahia ( ziko sehemu mm binafsi nimezipenda) na zimepangiliwa vizuri saana ndani ya jiji la Nairobi na sehemu zengine hazijapangiliwa na zinasikitisha.
Kwa maoni yangu mm"
Watu wakituma kitu wahakikishe kwanza halafu watume.