Yeah kweli
Mbeya na Mwanza vina potential kubwa ya Cargo operations kuliko hata Passnger kama tukiwa serious .
Wamalizie jengo na waanze operations za Cargo. kwenye hizi airport 2 .
KIA na Mwanza needs new passngee terminal siongelei kale kanako maliziwa sasa , ingawa kanaweza kushikiria kwa muda like 5 years .Ila itakuja iwe domestic tu.
KIA at least a 2million passnger terminal cause inakaribia au tayari 1mil
Mwanza atleast 1.5mil kama Dodoma.Mwanza ni 2nd commercial city after Dar, sioni any other city maybe Dodoma in next 10yrs ikirival mwanza
Air Tanzania au any other company wakiweza kuanzisha low cost airline baada ya hizi airport za mikoa kuisha watapiga hela sana. Equipement iwe tu hizi ATRs au Q400s
Mwanza ina potential kubwa kuwa transport hub . Kama hizi project za meli za watu na mizigo zitaisha pamoja na port expansion
Hizi airport za west tanzania zinaweza ku feed Mwanza au Dom haraka zaidi na watu wakaenda international destinations