Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

You guys are so disingenuous. You know very well that we did not want Raila to head AU, yet you come here claiming that we are crying over the loss of his bid to the AUC. Yani Hamna hata dignity ya kuwa a worthy opponent. Lies upon lies upon lies… mpende ukweli bana
Acha kutusingizia Hilo sisi hatukulijua ila ndo tunalisikia kwako baada ya kushindwa sidhani hata kama wakenya wanataarifa za huu upuuzi unaousema
 
Hivi viwanja vinne vikikamilika vitasaidia ku-complement Mwanza international airport! Naiona Tanzania ya hub nne yaani Mwanza, Dodoma, Dar na Mbeya!
Yeah kweli

Mbeya na Mwanza vina potential kubwa ya Cargo operations kuliko hata Passnger kama tukiwa serious .

Wamalizie jengo na waanze operations za Cargo. kwenye hizi airport 2 .

KIA na Mwanza needs new passngee terminal siongelei kale kanako maliziwa sasa , ingawa kanaweza kushikiria kwa muda like 5 years .Ila itakuja iwe domestic tu.

KIA at least a 2million passnger terminal cause inakaribia au tayari 1mil

Mwanza atleast 1.5mil kama Dodoma.Mwanza ni 2nd commercial city after Dar, sioni any other city maybe Dodoma in next 10yrs ikirival mwanza

Air Tanzania au any other company wakiweza kuanzisha low cost airline baada ya hizi airport za mikoa kuisha watapiga hela sana. Equipement iwe tu hizi ATRs au Q400s

Mwanza ina potential kubwa kuwa transport hub . Kama hizi project za meli za watu na mizigo zitaisha pamoja na port expansion

Hizi airport za west tanzania zinaweza ku feed Mwanza au Dom haraka zaidi na watu wakaenda international destinations
 
Mbona Mwanza ina cargo terminal ambayo ni underutilized? Na JPM Bridge na soko kubwa vinakamilika? Wanataka nn zaidi wana Mwanza?
 
hahah keep dreaming KFC has over 10 branches n growing! Mind u Subway has more branches in Tanzania than Kenya!
Ebu name hizo over ten branches za KFC Vumbistan tuone. I’m waiting.

Again this takes as back to a discussion we had in early 2024, 99.9% of Tanzanians in this thread has never stepped in KFC. That’s Why your minister was happy to be invited to open a KFC branch.

For subway branches in Tanzania sidhani hata Kama zimeshinda tano, Kenya they are more than 10.
 
sio kabla hata baada mpaka sasa! WTO walizuia generic medicines kwa nchi za Africa kisa makampuni ya West yaliwadanganya kufungua pharmaceutical branches Ukunyani! Cha ajabu Novatis walifunga na wale wa Corona wamehairisha mradi! Hawa mbwa ni wabinafsi!
Norvatis is still in Kenya wewe 80 year old man.
 
Ebu name hizo over ten branches za KFC Vumbistan tuone. I’m waiting.

Again this takes as back to a discussion we had in early 2024, 99.9% of Tanzanians in this thread has never stepped in KFC. That’s Why your minister was happy to be invited to open a KFC branch.
You can just google them
KFC Masaki
KFC Mlimani
KFC Kariakoo
KFC Terminal 3
KFC SGR station
KFC Diamond plaza Posta
KFC Mikocheni Plaza
KFC Mbezi Beach
KFC Magomeni
KFC morroco
 
Mbona Mwanza ina cargo terminal ambayo ni underutilized? Na JPM Bridge na soko kubwa vinakamilika? Wanataka nn zaidi wana Mwanza?
Yeah Jau kuona ni underutilized the Cargo terminal ,Mwanza only needs a standard international terminal ,but sidhani kama inazuia ndege kama UG airlines ,Ethiopian au KQ kutotua sasa hivi cause kama passengers wapo maybe ndege zingekuj tu.
 
You can just google them
KFC Masaki
KFC Mlimani
KFC Kariakoo
KFC Terminal 3
KFC SGR station
KFC Diamond plaza Posta
KFC Mikocheni Plaza
KFC Mbezi Beach
KFC Magomeni
KFC morroco
Hehehe Yani nchi nzima mko na less than 10 KFC branches?😂
 
Kijana Vodacom ipo ndani ya Sheria za uwekezaji, sheria za uwekezaji zinataka Director mzawa pia.

Means tuna power juu ya hiyo company inapofanya shughuli hapa.

Sasa UN HABITAT ipo sheria gani huko hadi mzuie mtu?

Mna anypower ya kuzuia aliyeteuliwa na GENERAL ASSEMBLY ya UN hapo Kenya kwenye office yao msiyo na power nayo?
Hatumzuii mtu UN-HABITAT, tunamnyima work permit. Atafanyaje kazi Nairobi bila work permit? Ni nyinyi mazombie hamuelewi? Which schools did you idiots go to?

Halafu hamna Cha sheria hapo bali chuki tu. Huyo Mmisri mliyempea kazi badala ya Silvia Sasa ni mzawa? Wadanganyika mmedangayika Hadi mnajidanganya wenyewe.
 
Ooh how would you do to Tibaijuka nipe mfano cause you as nation have no legal power to stop UN Director to work in their own office, unless mnataka office iwe relocated.

Tell me what power you have over UN office?
I've answered this question too many times, if you can't get it then what you need is English comprehension skills.🚮🚮
 
Back
Top Bottom