Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kama mlikuwa hamtaki ashinde kwnn kama nchi msimuwekee vizuizi ili apewe mwingine fursa hiyo kabla? So unamaanisha Kenya nzima hakukuwa na mwenye vigezo isipokuwa Raila? Kwann mlitumia pesa nyingi za wananchi maskini kumnadi mtu ambaye mlijua atashindwa? Nyie watu ni the biggest Fools on the planet earth, inabidi kizazi chenu chote kife waje wakenya wengine wanaojitambua.
Uelewa wako ni mdogo sana. Huna uwezo wa kutofautisha agenda ya wanasiasa na wananchi wenyewe, sio kama kwenu. Ile siku utaelewa uniite tujadiliane.
Haya nielimishe Ni pesa ngapi ilitumika?
 
Unaonkena a fool au mjinga kulazimisha kuwa Arusha una 20k seats ,wakati unajua hakika ni 30k seats ,plus uko stage ya majukwaa
Huyo ni mpuuzi kiasi kwamba nilimkataza asini quote tena cz hayuko relevant, ana utoto mwingi ilihali ni mtu mzima, mjinga kama huyo siwezi ku debate naye.
 
They’ve never seen this angle of Nairobi. I know because i have also never seen this angle

IMG_1248.jpeg
IMG_1249.jpeg
IMG_1251.jpeg
IMG_1252.jpeg
 
Konza horizontal infrastructure has no equal in whole of East and Central Africa… though am used to such infrastructure in America, I never knew this possible in Kenya in my lifetime… very impressive!..hope it sets a trend for upcoming developments. Btw are they implementing similar in Tilisi , Tatu city and Northlands city??
Huyu kapuku kila post lazima ataje US, wakenya washamba sn aloo 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Uelewa wako ni mdogo sana. Huna uwezo wa kutofautisha agenda ya wanasiasa na wananchi wenyewe, sio kama kwenu. Ile siku utaelewa uniite tujadiliane.
Haya nielimishe Ni pesa ngapi ilitumika?
Kalilie kwa choo, Raila kashindwa na pesa mmetoa, hiyo ndiyo furaha yangu nikiona mkenya anaumia.
 
Hakuna picha ya tiny Nairobi haijawahi kupostiwa humu, ka area kenyewe ni 696km², huu uzi umeanza 2017, 8 yrs now, do you believe there are some parts of tiny Nairobi left out?
Show me any part of Dar is slum that has never been posted here
 
Show me any part of Dar is slum that has never been posted here
Sehemu kubwa ya Dar haijaoneshwa humu, ndiyo mana wakenya wenzio wakija wanapigwa butwaa, ofcz Tanzania kwenye suala la marketing and branding bado sn, imagine nyie mshamaliza picha zote za Nairobi lkn sisi hatujafika hata 50% ya Dar.
 
Huyu kapuku kila post lazima ataje US, wakenya washamba sn aloo 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Mshamba ni wewe … US set the standard for the world.. you know how stupid you look trying to talk down the USA while using a device invented in the US , using the internet invented in the US while bragging about projects like electrified rail, invented in the US and rapid mass transit also invented in the US …flying to Mwanza using aero plane invented in the US and driving a motor machine invented in the US ..put respect to the initials USA !…without America , you would be still a caveman in Tandale …🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom