IamLee
JF-Expert Member
- Apr 23, 2017
- 5,692
- 6,071
Uelewa wako ni mdogo sana. Huna uwezo wa kutofautisha agenda ya wanasiasa na wananchi wenyewe, sio kama kwenu. Ile siku utaelewa uniite tujadiliane.Kama mlikuwa hamtaki ashinde kwnn kama nchi msimuwekee vizuizi ili apewe mwingine fursa hiyo kabla? So unamaanisha Kenya nzima hakukuwa na mwenye vigezo isipokuwa Raila? Kwann mlitumia pesa nyingi za wananchi maskini kumnadi mtu ambaye mlijua atashindwa? Nyie watu ni the biggest Fools on the planet earth, inabidi kizazi chenu chote kife waje wakenya wengine wanaojitambua.
Haya nielimishe Ni pesa ngapi ilitumika?