Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Came to service in 1952 but one B-52 strategic bomber today can destroy the whole of Tanganyika and Zanzibar in 5 hours… turn it into a demolition dust bowl with no apologies 😁😁.. but am sure Bongolalas will be cheering ati ni ya 1952 hakuna Matata just before their demise … 😂
View attachment 3241451
It owned by USA not Kundustan
 
Tunajua unajifariji na light utility helicopters 🤣 🤣 🤣 👇 👇 👇

View attachment 3241456
I see you are another Primary school drop out … The only person posting MD500 ni wewe ( though KDF Army has many )… but for this case we are talking of MD530F …that was the original post ..big difference in capabilities… sometimes it’s important to attend at least High School for moments like this.. you realize you are wasting time and space dwelling on something that proves your illiteracy..
 
Tukisema tunaonekana tuna mapenzi na Magufuli. Wakati tunamaanisha ile style ya governing kwenye miradi.

Yaani vitu vinajiendea, watumishi wanajua kuanzisha matukio ya "Mama" basi.

Hata kama kusifiwa kulianzia kwa Magufuli ila alikua anawala vichwa wazi wazi wakishindwa kazi or wakienda kinyume na maagizo so wao ilikua sifia yao ipo kwenye kutelekeza miradi sio "Samia Run, samia boxing, samia dance, samia clinic"

Makonda aliyekua untouchable alipigwa chini kwa kukimbilia kuomba fomu na wamekatazwa either chagua kimoja utumishi or kula.

Kangi Lugola alikula kichwa.

Mwanri alikula kichwa same situation na Makonda.

TANESCO na PORT walikua hawana amani kabisa, Wizara ya Ujenzi nayo ilikua haina amani ghafla huyu hapa.

Plus watumishi wengi sasa waliona kusifia hakulipi zaidi ya utendaji ndio wakaacha.

Now ni kutengeneza mabango kunalipa, mtu anaachwa kisa Team Samia na unaleta wajinga Kina Dotto Magari etc kwenye mambo serious

Usishangae kusikia Keshokutwa kuna Uwekezaji kutoka Dubai kwenye reli ambayo ilitaka tu uangalizi wa karibu na ukali inaenda fresh or BRT.
Labda watu watwambie kama wana nchi yao nyingine tofauti na Tanzania.
Leaders of nowdays wanaifanya Tz kama sio kwao vile. No nationalism at all.
Hiv mtu unafurahia nini kununua majumba na magari wakati ukienda hata kwenye kampeni za mama city Centre unakanyaga kwenye mavumbi?
Unaweka macamera sijui CCTV kuangalia watu wanaokanyaga kwenye mavumbi, Barabara hazina sidewalks na manyaya ya umeme yamezagaa...hawajui hata hayo manyaya yanaweza kublock view?

Ule mradi wa SGR tunnel pale chang'ombe mbona uko slow sana. Yaani mimi ningekuww Rais...ile sehemu ilipaswa iwe imekamilika, wako kwenye testing ya treni za mizigo, kule Dodoma kuna bandari kavu, je kuna hata crane moja kule ya kushusha mizigo iliyoandaliwa?
Ni nini mtu unafurahia kuwa kiongozi wa nchi halafu no achievement yoyote ya kimaendeleo unasema hii nimelounch na imebadili lifestyle ya watz.
Yaani kimsingi viongozi wetu wanatufanya watz wote tuonekane incompetent
 
Aisee. Hizo million 500 wangemaliza kwanza mradi wao wa kuweka pavements kwenye barabara zao za City Centre. Pavements za samora avenue zimechoka sana, ohio street haina kabisa pavements, na baadhi ya mitaa ya Uptown haina pavements. Wangemalizia huo mradi kwanza at least barabara zote hadi kufika Azikiwe street.

Ila mimi wachawa wa mama mtanisamehe

Hiv ni lini muliona Rais wetu akienda kukagua mradi flani, ofisi flani hata bila taarifa....mbona hata maagizo yake hayatekelezeki...mfano ni Magufuli bridge ya mwanza....alitoa deadline iwe mwezi wa pili..juzi naskia wanasema mwezi wa nne. Miradi ya BRT Dar iko slow mno hasa BRT 3. BRT 2 naskia wawekezaji wa mabasi wanakuja na kusepa..so mpaka sasa hakuna kampuni la maana ambalo litaendesha huu mradi.
SGR lot 3,4,5 hakuna kinachoendelea. Kule mwanza ndo kabisaa hakuna hata mkandarasi site.
Ujenzi wa mji wa Magufuli, barabara za mzunguko uko slow mno... Msalato Airport juzi kamati imekuta wizi wa hatari pesa za mradi zinaongezeka kila siku.

Ujenzi wa Bandari kavu ya kwala ulifikia wap? Mbona maroli hayaelekei huko. Tulitegemea hata kampuni kubwa kama DP world nk ziwe na crane zake huko tayari...ili treni za mizigo usiku ziwe zinaleta makontena yote pale kwanza na maroli yanachukulia mizigo pale.
Ni mara ngapi maroli yanaparamia watu kwenye barabara za dar...serikali ina mpango gani kusolve hili tatizo.
Serikali ingekuwa serious barabara ya kutoka hata pale kwala mpaka Morogoro ingeanza kutanuliwa haraka sana...

Sijawahi muona hata akiongelea hiyo miradi, kwa nini iko slow, solution ni nini, na wana mpango gani. Yaani sifa ni nyingi kuliko uhalisia huku kwa ground.

Mimi sio mwanasiasa. Ila tukiendelea na this style of leadership by 2030 tutakuwa tuko hapahapa na kaGDP below $100b, Hata per capita itazidi kushuka kufika hata 500 maana miradi ya kimkakati ambayo ingeweza kuongeza GDP inapewa kisogo na iko slow kulinganisha ukuaji wa population.
Ndiyo mana Trump haipendi Africa na waafrica wenyewe, ameenda mbali zaidi kwamba hata mtu mweusi hamuamini kabisa, ni kwasababu ya upuuzi kama huu, watu wanajua kabisa Rais wa sasa ni incompetent lkn wakikumbuka aliyepita alikuwa smart na kuwakosesha ulaji kwa nia ya kuleta usawa katika jamii wakaona waende na huyu huyu ili upigaji wao uendelee, huu unaitwa ubinafsi wa mtu mweusi.

Mwanzoni nilikuwa simuelewi kabisa Trump ila baadaye nikagundua yupo sahihi kabisa, Africa ni upuuzi sn unaendelea, yn hatutokuja tuendelee hata iweje, na aliyesababisha hilo wala sio mzungu bali ni roho mbaya ya mtu mweusi, tuko hivyo na nafikiri tuliumbwa hivyo na haitobadilika.

Kuna scenario nyingi sn zinazoonesha udhaifu wa mama lkn wakubwa baada ya kugundua hilo wameajiri machawa kumnadi mama, yn uchawa kwa sasa ndiyo mpango mzima, mpaka mawaziri wamekuwa ndiyo machawa wa kwanza kabisa, ukitaka kuamini udhaifu wa mama jiulize kwann inatumika nguvu kubwa kumnadi ilihali hakuna upinzani wowote? Kama wewe ni CCM ukijaribu kupinga hata kidogo unafukuzwa kabisa chama na ukileta chokochoko unaweza kutolewa uhai kabisa, watu wana jambo lao.

Mama hana anachokijua kabisa wallahi, hivi sasa hata kwenye suala la ajira serikalini, taasisi karibu zote za umma zinaajiri zenyewe, sasa nini maana ya kuwepo UTUMISHI? hivi kwa huu ubinafsi uliopo hapa Africa unategemea kitatokea nn?

Ndugu zangu tushukuru Mungu alipita hayati nchi hii, la sivyo hata haya maendeleo machache tuliyonayo tusingeyapata kabisa, na kiukweli yanawapa wakati mgumu sn kumaliza, so wameapa kutorudia kosa.
 
Sgr from dar to Mwanza ni game changer lakin najua wapo wahujumu hii reli ikikamilika gharama kwa wale walaji na macampuni fulani ya mabasi ambayo pia ina wabunge question mark ???????????

Watu wanakopa kwenye vikoba huko lakin amna kinachoendelea.
 
Ndiyo mana Trump haipendi Africa na waafrica wenyewe, ameenda mbali zaidi kwamba hata mtu mweusi hamuamini kabisa, ni kwasababu ya upuuzi kama huu, watu wanajua kabisa Rais wa sasa ni incompetent lkn wakikumbuka aliyepita alikuwa smart na kuwakosesha ulaji kwa nia ya kuleta usawa katika jamii wakaona waende na huyu huyu ili upigaji wao uendelee, huu unaitwa ubinafsi wa mtu mweusi.

Mwanzoni nilikuwa simuelewi kabisa Trump ila baadaye nikagundua yupo sahihi kabisa, Africa ni upuuzi sn unaendelea, yn hatutokuja tuendelee hata iweje, na aliyesababisha hilo wala sio mzungu bali ni roho mbaya ya mtu mweusi, tuko hivyo na nafikiri tuliumbwa hivyo na haitobadilika.

Kuna scenario nyingi sn zinazoonesha udhaifu wa mama lkn wakubwa baada ya kugundua hilo wameajiri machawa kumnadi mama, yn uchawa kwa sasa ndiyo mpango mzima, mpaka mawaziri wamekuwa ndiyo machawa wa kwanza kabisa, ukitaka kuamini udhaifu wa mama jiulize kwann inatumika nguvu kubwa kumnadi ilihali hakuna upinzani wowote? Kama wewe ni CCM ukijaribu kupinga hata kidogo unafukuzwa kabisa chama na ukileta chokochoko unaweza kutolewa uhai kabisa, watu wana jambo lao.

Mama hana anachokijua kabisa wallahi, hivi sasa hata kwenye suala la ajira serikalini, taasisi karibu zote za umma zinaajiri zenyewe, sasa nini maana ya kuwepo UTUMISHI? hivi kwa huu ubinafsi uliopo hapa Africa unategemea kitatokea nn?

Ndugu zangu tushukuru Mungu alipita hayati nchi hii, la sivyo hata haya maendeleo machache tuliyonayo tusingeyapata kabisa, na kiukweli yanawapa wakati mgumu sn kumaliza, so wameapa kutorudia kosa.
Haya ndio mazao ambayo viongozi wetu wliyapanda.

Bunge ni sehem nyeti sanaa tusitangulize usawa wa kijinsia kwa kujaza watu ambao awana uwezo.

Me ungekua uongozi wangu uwezi ingia bungeni kama wewe auna degree, uwezi kuwa waziri kama auna degree mbili na kusomea kitu husika sio unaweka mtu wizara ya afya mtu alisomea ualimu unategemea nini.

Huu mtundo wa kujaza watu wajinga kwenye lile jenge pale dom matekeo ndio haya.

Tunahitaji watu wa ngazi za juu wawe na uelewa mkubwa pia kuwe na ushindani. Kuanzia Raisi adi madiwani na wenyeviti.
 
Ndiyo mana Trump haipendi Africa na waafrica wenyewe, ameenda mbali zaidi kwamba hata mtu mweusi hamuamini kabisa, ni kwasababu ya upuuzi kama huu, watu wanajua kabisa Rais wa sasa ni incompetent lkn wakikumbuka aliyepita alikuwa smart na kuwakosesha ulaji kwa nia ya kuleta usawa katika jamii wakaona waende na huyu huyu ili upigaji wao uendelee, huu unaitwa ubinafsi wa mtu mweusi.

Mwanzoni nilikuwa simuelewi kabisa Trump ila baadaye nikagundua yupo sahihi kabisa, Africa ni upuuzi sn unaendelea, yn hatutokuja tuendelee hata iweje, na aliyesababisha hilo wala sio mzungu bali ni roho mbaya ya mtu mweusi, tuko hivyo na nafikiri tuliumbwa hivyo na haitobadilika.

Kuna scenario nyingi sn zinazoonesha udhaifu wa mama lkn wakubwa baada ya kugundua hilo wameajiri machawa kumnadi mama, yn uchawa kwa sasa ndiyo mpango mzima, mpaka mawaziri wamekuwa ndiyo machawa wa kwanza kabisa, ukitaka kuamini udhaifu wa mama jiulize kwann inatumika nguvu kubwa kumnadi ilihali hakuna upinzani wowote? Kama wewe ni CCM ukijaribu kupinga hata kidogo unafukuzwa kabisa chama na ukileta chokochoko unaweza kutolewa uhai kabisa, watu wana jambo lao.

Mama hana anachokijua kabisa wallahi, hivi sasa hata kwenye suala la ajira serikalini, taasisi karibu zote za umma zinaajiri zenyewe, sasa nini maana ya kuwepo UTUMISHI? hivi kwa huu ubinafsi uliopo hapa Africa unategemea kitatokea nn?

Ndugu zangu tushukuru Mungu alipita hayati nchi hii, la sivyo hata haya maendeleo machache tuliyonayo tusingeyapata kabisa, na kiukweli yanawapa wakati mgumu sn kumaliza, so wameapa kutorudia kosa.
Tunategemea dotto magari badae na yeye awe mbunge na wakina baba levo,mwijaku.
Guys this is terrible.
Watu ambao awapendi na kuiponda elimu naona ndio wapo pale mbele 😡🤬
 
tuendelee kushangilia 😂😂😂
na ukiskia wanaoshangilia na kusifia ni wale wanaonufaika na pesa umma
Mm nakuambia hii nchi kama siyo Magufuli kupita hata hii battle ilikuwa imeisha asubuhi na mapema kabisa, tujiulize zaidi ya 90% ya miradi tunayotamba nayo humu ilianzishwa na nani? Miradi hii pasipo kupita hayati nakuhakikishia ingeendelea kubaki kwenye makaratasi mpaka kiyama, tujiulize wamepita maraisi wangapi na bado wakawa hawana uthubutu wa kufanya miradi ya kimapinduzi kama hii ya sasa?

Sikatai kwamba kila Rais alifanya kazi yake, lkn ukweli usemwe maraisi wote ukiacha Nyerere walifanya yaleyale aliyoyafanya Nyerere enzi zile hana uwezo wa kufanya miradi mikubwa iliyo kwenye makaratasi, tena kuna miradi alifanya Nyerere enzi zile hawa waliofuata walishindwa kabisa, Nyerere alijenga mabwawa ya umeme hakuna raisi alithubutu kujenga bwawa, Nyerere alijenga reli, hakuna raisi alithubutu kujenga reli, Nyerere alitoa elimu bure hakuna raisi alithubutu kutoa elimu bure, hiyo ni miradi inayohitaji uthubutu, lkn viongozi waliofuata walishindwa kabisa japo kuthubutu zaidi ya kufanya miradi ambayo hata paka angekuwa raisi angefanya tu.

Hawa maraisi waliofuata bila kuwakosea heshima walichangia sn kuwa na ka GDP kama haka mpaka leo licha ya kuwa na kila aina ya resources ambazo zingetupeleka mbali sn nchi hii. Itoshe kusema nchi hii kuna upuuzi mwingi sn unaendelea kwa kivuli cha amani yetu.
 
I see you are another Primary school drop out … The only person posting MD500 ni wewe ( though KDF Army has many )… but for this case we are talking of MD530F …that was the original post ..big difference in capabilities… sometimes it’s important to attend at least High School for moments like this.. you realize you are wasting time and space dwelling on something that proves your illiteracy..
Civilian Helcopters 👇 👇 👇 👇 MD530F is one of series of MD500. Unajua maana ya Series?
1739945303448.png
 
2.5 its only kibera bro na hio ni previous data sasa hvi wanaesa fika mpaka 3m only kibera achilia other slums like makuru kayaba, makuru kwa njenga, korogocho, mathare, kisumu ndogo, umoja,kariobangi etc
Kwa sasa unaambiwa slum dwellers wameanza kujenga kule Karen, kama mbwai mbwai, slum zipo mpaka ikulu zitakosaje Karen kusipo hata na lami baadhi ya sehemu.
 
I think hata mimi naweza nika venture kwenye real estate business in kenya given kenyans appetite for mabati housing i can make good money on unit rentals 😁
Kukaa kwenye apartment kwa wakenya ni sifa uku bongo kila mtu yupo na kiwanja chake anajenga full stop haya mambo ya estate 🏡 tulisha malizana nao mbona
 
Aisee. Hizo million 500 wangemaliza kwanza mradi wao wa kuweka pavements kwenye barabara zao za City Centre. Pavements za samora avenue zimechoka sana, ohio street haina kabisa pavements, na baadhi ya mitaa ya Uptown haina pavements. Wangemalizia huo mradi kwanza at least barabara zote hadi kufika Azikiwe street.

Ila mimi wachawa wa mama mtanisamehe

Hiv ni lini muliona Rais wetu akienda kukagua mradi flani, ofisi flani hata bila taarifa....mbona hata maagizo yake hayatekelezeki...mfano ni Magufuli bridge ya mwanza....alitoa deadline iwe mwezi wa pili..juzi naskia wanasema mwezi wa nne. Miradi ya BRT Dar iko slow mno hasa BRT 3. BRT 2 naskia wawekezaji wa mabasi wanakuja na kusepa..so mpaka sasa hakuna kampuni la maana ambalo litaendesha huu mradi.
SGR lot 3,4,5 hakuna kinachoendelea. Kule mwanza ndo kabisaa hakuna hata mkandarasi site.
Ujenzi wa mji wa Magufuli, barabara za mzunguko uko slow mno... Msalato Airport juzi kamati imekuta wizi wa hatari pesa za mradi zinaongezeka kila siku.

Ujenzi wa Bandari kavu ya kwala ulifikia wap? Mbona maroli hayaelekei huko. Tulitegemea hata kampuni kubwa kama DP world nk ziwe na crane zake huko tayari...ili treni za mizigo usiku ziwe zinaleta makontena yote pale kwanza na maroli yanachukulia mizigo pale.
Ni mara ngapi maroli yanaparamia watu kwenye barabara za dar...serikali ina mpango gani kusolve hili tatizo.
Serikali ingekuwa serious barabara ya kutoka hata pale kwala mpaka Morogoro ingeanza kutanuliwa haraka sana...

Sijawahi muona hata akiongelea hiyo miradi, kwa nini iko slow, solution ni nini, na wana mpango gani. Yaani sifa ni nyingi kuliko uhalisia huku kwa ground.

Mimi sio mwanasiasa. Ila tukiendelea na this style of leadership by 2030 tutakuwa tuko hapahapa na kaGDP below $100b, Hata per capita itazidi kushuka kufika hata 500 maana miradi ya kimkakati ambayo ingeweza kuongeza GDP inapewa kisogo na iko slow kulinganisha ukuaji wa population.
waswahili wanasema ukiona unasifiwa sana basi jitathmini 😂😂😂

na wale wote wanaosifia ni wale wenye mirija ya kuchota pesa na ufisadi yani tumerudi enzi zilee za kujiita unanijua mm ni nani😂😂😂😂

waziri wa fedha maendeleo alioyafanya nchi hii ninkuongeza madeni kutoka 47 trillion to 100trillion june 2024 na kulazmisha kueka sign yake kwenye noti

sasa hvi ukiskia private sector zinafanya miradi basi ujue nyumba yao kuna mafisadi papa wa nchi hii wamewekeza pesa zao, juzi nimeskia tumenunua bamburi cement ya kenya ila ukienda kuchungulia vzr kuna watu wamenunua kwa jina la private sector 😂😂😂

sisi kazi yetu ni kushangilia na kusherekea tu
 
Back
Top Bottom