Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

mlango wa international airport inayotegemewa kenya nzima😂😂😂
IMG_4985.jpeg
 
I told you Tanzanian army is the weakest army in Africa. Yani majamaa wamepigwa vita wakakimbilia Rwandwa😂😅.

Sasa wanakaguliwa kwa border kama wezi😂😂
Tanzania army ata SADC nzima has not been battle hardened ... they have faced weak adversaries na bado wanashindwa
 
Sasa hapa ni Kenya.? 🤣🤣🤣 and how do we know if it’s his Car or something.? Mvuta mabange kakuta gari ya wenyewe ime park, then he asked for some showbiz photos.
anatuona watu wote humu ndani wajinga kama wao 😂😂😂😂😂

yani hawa jamaa sijui uongo unawasaidia nn aiseee
 
Goods zote ukaguliwa kwa ports for verification before final destination. Wewe ndio mshamba hapa kuliko wote.

Kumbe ports zenu ziko outdated namna hiyo!? Unafanya customs verification kwa mzigo ambao ni wa Transit for what? Unajua dhumuni la kufanya customs verification ni nini!?

Hizo container za Transit huwa zinapita kwenye scanners tu. Hakuna haja ya kufungua seal za container maana documents za mteja zina onesha seal number. Sasa unakata seals then mteja unamuwekea seals gani hapo tena!?
 
Ethiopia is now manufacturing bullets, it’s the second East African country to do so after Kenya.


View: https://x.com/AbiyAhmedAli/status/1897370167451230309


Hapa bongo tumeanza kutengeneza hizo risasi na light weapons toka 1970s pale Morogoro. Sasa hivi tuko kwenye missiles na milipuko mikubwa. RPG na makombora ya kutosha yapo pale.

Na ubora wa risasi za Moro unajulikana kwa M23 ile battle ya FIB chini ya Gen mwaki...
 
Back
Top Bottom