Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Upumbavu mkubwa sana, mtu kabakiza mwezi mmoja wa mkataba waziri ndio anastuka? Hawa unaona kabisa hawana vifaa, wanasubiri SinoHydro amalize ndio awape vifaa vyake wapige margin ya kutosha. Kuwapa Wachina hii miradi lilikuwa ni kosa namba moja, hata quality tu ya kazi ni matatizo.
Utajuaje labda ndio wamemlipa mkandarasi! So wamepata rights za kufoka ambazo hawakuwa nazo mwanzo!
 
Upumbavu mkubwa sana, mtu kabakiza mwezi mmoja wa mkataba waziri ndio anastuka? Hawa unaona kabisa hawana vifaa, wanasubiri SinoHydro amalize ndio awape vifaa vyake wapige margin ya kutosha. Kuwapa Wachina hii miradi lilikuwa ni kosa namba moja, hata quality tu ya kazi ni matatizo.
Sikuona sababu ya kutowapa strabag phase zilizofuatia maana ile phase waliitendea haki,almost 10 years ile barabara na vituo vyake vipo vile vile,nani sijui alishauri waje wachina!
 
kaka watu wa 10% zao kwenye miradi kqzi yao ni kuwapa watu pesa wasifie kwa niaba zao 😂😂😂😂😂

yani waziri anasema kila siku anapita hapo ila hakushtuka kaja kushtuka kumeshakucha anatafuta shuka 😂😂😂
 
Yaani hawa kundurenda hawakubali kushindwa hata kama wanafahamu wamekosea ukitaka kuwafaham wambie waweke humu standing zao za mabasi watakwambia wanazo ila picha hawana
Hujiulizia ubishi wa Kisumu Airport abiria over 800k.

Na hao abiria wote hamna hata mwenye smartphone ya kurekodi akitoka kwa ndege, feeling ya kuwa airport. Yaani hupati.picha.

Ila njoo uwanja wanaodai wanauzidi unakuta kabisa KLM, AIR FRANCE, EMIRATES, ETHIOPIA AIRWAYS, unaziona kabisa in all mainstream media.

Na unaambiwa hadi ndege zikifeli kutia huko Ukunyani KIA ndio their destination.

Bado kenge anatembea na Abiria 800k wanaotumia Vitochi
 
Sikuona sababu ya kutowapa strabag phase zilizofuatia maana ile phase waliitendea haki,almost 10 years ile barabara na vituo vyake vipo vile vile,nani sijui alishauri waje wachina!
wachina sio shida bro shida ni wale watu wa 10% hao ndio shida mkuu na wanawachagua wachina coz inakua rahisi kupata 10% zao tofaut na wazungu😂😂
 
Back
Top Bottom