Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

dar es salaam naona foleni karibu njia zote muhimu ni foleni tu ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
watu wanaganda kwenye foleni over 2 good hours aisee๐Ÿ™Œ๐Ÿป๐Ÿ™Œ๐Ÿป๐Ÿ™Œ๐Ÿป๐Ÿ™Œ๐Ÿป

hvi mm nauliza swali kulikua na ulazima gani kwenda kufukua barabra zote za mji kwa kisingizio cha kujenga BRT, kwann tusingefata utaratibu wa kila phase atleast phase moja ikifika 70% ndio tunaanza nexe phase, sasa leo tunaenda kufukua barabara zote na ujenzi bado unasuasua kila kona, au ndio tunakimbilia miradi ovyo ovyo ili watu wapige pesa zao mapema kabia uchaguzi?

ilala to buguruni ina miaka 3 toka imefumuliwa na ujenzi umesiamama huoni kinachoendelea zaidi ya foleni kila siku

msimbazi center kwenda kigogo barabara imefumuliwa ina 3 yrs hakuna kitu kinachoendelea so far

etc,

View: https://www.instagram.com/reel/DGvvSJVsv92/?igsh=YzhqZndvOGplOGN3

Hii sio shida mzee.

Shida ni hawa Traffic Kenge kabisa unakuta wanataka kukaa upande mmoja upite 30mins ili mchepuko wa kiongozi apite huj ujuha.

Viongozi siku hizi wanaona fresh kufanya lolote mradi upo.kwenye kusifia.

Imagine ingekua kipindi cha mzee kwanza viongozi wangekua wanakataa kufanyiwa hivyo kuogopa kutumbuliwa kisa wataonekana kero, RTO angekua hataki shida so hakungekua na Traffic hayo mataa.

Yaani siku hizi viongozi ndio priority kuliko.wananchi.

Njia kama ya MOROCCO unayojenga BRT (BAGAMOYO ROAD) Inahitaji Flyover zaidi ya 5 plus Interchange (Mwenge)

Ila navyoona wanajenga kimazoea asee.

Imagine kule mataa ya Tazara Mwendokasi inapita chini badala ya kuunganishwa kwenye flyover same na Kurasini. Taabu tupu

Narudia kusema Convoy na Ving'ora mwisho kwa Waziri Mkuu wengine watajijua na wakichelewa waajibishwe.
 
Mi mtanzania nilishawahi kua nairobi myaka kadhaa nyuma.
Si sawa ku compare Dsm na Nairobi by either means.
I'm not a traitor. But they are far miles compared to us dudes.
Labda to compare some parts. Ila kwa overall big no.
Labda tuongee tu kufurahishana.
 
Mkuu, haujanipata vizuri.

Kwenye hiyo miradi na wao wenyewe WB au IMF wanakuwa na kipengele cha kuchagua mkandarasi wao wenyewe. Serikali inabaki kama msimamizi tu. Kama ni ulaji ni hayo makampuni ya ujenzi na hizo taasisi za fedha ndio wanajua namna ya kupiga hizo hela. Na ndio maana waziri kasema inabidi aihusishe foreign affairs kulingana na situation ilivyo.

Hata jangwani, bado hamna kitu japo WB walishasema wanaweka fedha pale. Hizi taasisi za fedha zinatoa mikopo na bado zinakupangia namna ya kutumia mkopo kama ni wamekupa msaada vile. Shida ndio iko hapo.
Kwani si ujinga wetu, kwamba Sh. 500bn ni za kusubiri bakuli.

Mbona walimfanyia hivyo mzee kwenye JNHPP ila akakaza na domestic revenue $3bn bwawa hilo hapa.

Alikaza Kimara Kibaha Highway tunayo, alikaza Stands tunazo.

Alikaza Magufuli Bridge na mfuko wa Nchi Daraja hilo.

Ni misplaced priority tu, Jangwani under 100bn unasubiri bakuli.

Kibaha Chalinze unasubiri PPP, yaani unasubiri upuuzi.

Muda huo huo 300bn zinateketea kwenye magari ya serikali (Yaani Toyota Reliable and durable car) unataka ibadilisha ndani ya mwaka huku.kuna mwananchi wako ana Land cruiser ya AKV bado ngumu kuliko STM ya serikali ambayo imeanza kuchoka.

Hii miradi funga mkanda kaza kama mradi wa 500bn forecast ya kujenga ni 3 years, kila mwezi mapato ya Kodi 3 Trillion, kubaliana na mkandarasi unamlipa kiasi flani kila mwezi mfano 20 bilion kwa kipindi cha miaka 3, mradi huu hapa.

Kwa hiyo wapo.radhi kutolipa.kwa installment ila wanasubiri.mkopo wa 500bn ambao utaulipa miaka 30 na masharti mengi hadi Mkandarasi wao.ambaye atachukua hizo pesa na kuzirudisha nchini kwao.

Badala ya kujikaza 3yrs na pesa yako, Mkandarasi wako, masharti yako.ambayo yanaweza fanya ajira na mzunguko.wa pesa kuwa mzuri.nchini.

Misplaced priorities ndio tatizo.

Yaani 10bn utasikia zinakopewa, na mwezi.ukiisha unasikia.matarumbeta serikali ya Mama imekusanya 3trilon record huku.unakopa 10bn usenge.
 
Huyu Rhaenyra Targaryen atakuwa ni janerose mzalendo miandiko inafanana ila komora096 atakuwa ni uyo shoga wa Mombasa ambaye kwa sasa anajitambulisha kama mwanaume.
Kaka umeona hii,uwa wanadanganya humu naipumbu uwa wanakaa foleni kupanda ma3,halafu angalia vumbi hiyo sehemu yenyewe
 
Attachments

  • VID-20250306-WA0006.mp4
    6.1 MB
Hii sio shida mzee.

Shida ni hawa Traffic Kenge kabisa unakuta wanataka kukaa upande mmoja upite 30mins ili mchepuko wa kiongozi apite huj ujuha.

Viongozi siku hizi wanaona fresh kufanya lolote mradi upo.kwenye kusifia.

Imagine ingekua kipindi cha mzee kwanza viongozi wangekua wanakataa kufanyiwa hivyo kuogopa kutumbuliwa kisa wataonekana kero, RTO angekua hataki shida so hakungekua na Traffic hayo mataa.

Yaani siku hizi viongozi ndio priority kuliko.wananchi.

Njia kama ya MOROCCO unayojenga BRT (BAGAMOYO ROAD) Inahitaji Flyover zaidi ya 5 plus Interchange (Mwenge)

Ila navyoona wanajenga kimazoea asee.

Imagine kule mataa ya Tazara Mwendokasi inapita chini badala ya kuunganishwa kwenye flyover same na Kurasini. Taabu tupu

Narudia kusema Convoy na Ving'ora mwisho kwa Waziri Mkuu wengine watajijua na wakichelewa waajibishwe.
Viongozi wengi hawana maono, pale tazara kwa mfugale ilibidi brt iende underground alafu gari za kutoka buguruni kwenda mbagala/bandalini/airport/posta zipite juu ya tunnel ya brt lkn tatizo tunaongozwa na wazee waliopitwa na wakati wanaona sawa tu. Na utaratibu huu ulitakiwa uwe sehemu nyingi kwenye junction inapopita brt, kuwe na tunnel na flyovers.
 
Kaka umeona hii,uwa wanadanganya humu naipumbu uwa wanakaa foleni kupanda ma3,halafu angalia vumbi hiyo sehemu yenyewe
Aloo Kenya kuna vituko kuliko vituko vya nchi zote duniani sema bado haijulikani tuu, sasa hiyo ma3 badala iende mbele inarudi nyuma kwa speed ya madaraka express ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ

Alafu kuna mkenya anakuambia yeye ni mtanzania ila Nairobi iko mbele kwa Dar ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ
 
Vumbi na udongo mwekundu sasa!
 
Kwani si ujinga wetu, kwamba Sh. 500bn ni za kusubiri bakuli.

Mbona walimfanyia hivyo mzee kwenye JNHPP ila akakaza na domestic revenue $3bn bwawa hilo hapa.

Alikaza Kimara Kibaha Highway tunayo, alikaza Stands tunazo.

Alikaza Magufuli Bridge na mfuko wa Nchi Daraja hilo.

Ni misplaced priority tu, Jangwani under 100bn unasubiri bakuli.

Kibaha Chalinze unasubiri PPP, yaani unasubiri upuuzi.

Muda huo huo 300bn zinateketea kwenye magari ya serikali (Yaani Toyota Reliable and durable car) unataka ibadilisha ndani ya mwaka huku.kuna mwananchi wako ana Land cruiser ya AKV bado ngumu kuliko STM ya serikali ambayo imeanza kuchoka.

Hii miradi funga mkanda kaza kama mradi wa 500bn forecast ya kujenga ni 3 years, kila mwezi mapato ya Kodi 3 Trillion, kubaliana na mkandarasi unamlipa kiasi flani kila mwezi mfano 20 bilion kwa kipindi cha miaka 3, mradi huu hapa.

Kwa hiyo wapo.radhi kutolipa.kwa installment ila wanasubiri.mkopo wa 500bn ambao utaulipa miaka 30 na masharti mengi hadi Mkandarasi wao.ambaye atachukua hizo pesa na kuzirudisha nchini kwao.

Badala ya kujikaza 3yrs na pesa yako, Mkandarasi wako, masharti yako.ambayo yanaweza fanya ajira na mzunguko.wa pesa kuwa mzuri.nchini.

Misplaced priorities ndio tatizo.

Yaani 10bn utasikia zinakopewa, na mwezi.ukiisha unasikia.matarumbeta serikali ya Mama imekusanya 3trilon record huku.unakopa 10bn usenge.

Hapo ishu ya misplaced priority naona ina mashiko. Ndio changamoto kwa Nchi zenye uchumi mdogo kama huku kwetu.

Kwa ishu ya kulipa mradi mkubwa kwa installments ni jambo zuri. Naona wangewekeza kwenye utaalam wa watu na mitambo. Ipatikane kampuni kubwa ya serikali iwezeshwe. Ndio iwe inapewa tenda kubwa kubwa za miradi ya serikali.

Tukiwa na kampuni kubwa za wazawa hapa ndani ndio inakuwa vizuri zaidi. Ni kuingia makubaliano na kazi kufanyika. Shida kampuni za nje hizo mambo ni mengi sana.
 
Viongozi wengi hawana maono, pale tazara kwa mfugale ilibidi brt iende underground alafu gari za kutoka buguruni kwenda mbagala/bandalini/airport/posta zipite juu ya tunnel ya brt lkn tatizo tunaongozwa na wazee waliopitwa na wakati wanaona sawa tu. Na utaratibu huu ulitakiwa uwe sehemu nyingi kwenye junction inapopita brt, kuwe na tunnel na flyovers.
Yani simple tu like this ๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡
IMG_2025-03-07-11-39-16-886~2.jpg

Yani huo mchoro ni chini ya zile flyovers za pale mfugale, maeneo yote kwenye junction ya brt kungekuwa hivi basi brt ingekuwa na tija zaidi.
 
Yani simple tu like this ๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡
View attachment 3262378
Yani huo mchoro ni chini ya zile flyovers za pale mfugale, maeneo yote kwenye junction ya brt kungekuwa hivi basi brt ingekuwa na tija zaidi.
Patahitaji utaalamu mkubwa sana kuchimba pale sijui kama existing structure inaweza kuhimili? Mi naona hiyo tunnel isiwe tu Nyerere Road bali pia Mandela road yaani BRT zikutane huko chini kuwe na mataa huko chini!
 
Back
Top Bottom