View attachment 3267657
Hao Kenge wa 30bn Ukarabati mkapa vipi
View: https://www.instagram.com/p/DHFmyHMISDO/?igsh=MTN4ejZvZnVueG5yMA==
Na TFF wapo wanatoa taarifa as if Haiwahusu.
Yaani ujinga ujinga kila sehemu waziri anawaza amchomekeje Mama, Mama.
Msemaji anawaza Siasa.
Mambo yanazidi.kujirudia enzi za uzembe ujinga, yaani hadi MKAPA ni ya kupewa warning kweli kisa nyasi za kumwagilia maji tu na umeweka BILLION.
Next time utasikia Nyasi za Tanzania hazioti vizuri tunaenda kununua nyasi China zinaota vizuri.
Tupo tunasikiliza Ripoti