BATTLE!..Humble African Vs CCNP Engineer.

Jina langu ni CCNP Engineer.
Nina degree ya Telecommunications Engineering.
Mimi ni Engineer wa computer networks (security and data center)

Mimi kama engineer hata siku moja siwezi kulinganishwa na mtu alosoma HKL. Topic moja ya chemistry (ORGANIC) nilosoma A-level ni equivalent to syllabus yote ya HKL form five na six jumlisha na GS.

Mimi kama mwanaume, ni udhalilishaji mbaya kabisa kunilinganisha na PUGI. Mimi sio PUGI, bali ni mwanaume. Waulizeni akina Rebeca 83 na amu na theriogenology na baba swalehe, wao ni mashahidi katika hili.

Huyu PUGI aliletaga UNAFIKI kwenye magroup ya TMT alivogundulika akatimuliwa na chyupi kichwani na Screenshort ninazo, na akibisha naweka namba yake ya cm hapa. Alikua Anatumia nickname ya Spiritual Crypto.

Conlusion:
Kumlinganisha Engineer na PUGI ni sawa na kusema kati ya FLOYD MAYWEATHER na CRISTIANO RONALDO nani mkali (Does it make any sense???)

Sifananishwi na wabwekaji!!!

Engineer atabaki kuwa Engineer, PUGI atabaki kuwa PUGI.
Hivo rasmi huu Uzi umefungwa. Hakuna maana. Ni udhalilishaji.

ukionesha vyeti vyako mkuu itapendeza zaidi,maneno bila factual ni _ _ _ _ _ mtupu.
 
Ccnp engineer amewakosea nn raia wenye hasira kal???
Kwan kujisifia na kutamba umu jf hata kama hauna kitu tunapangiana??

Mtu amekosa pesa bas ata mikwara pia akose, aaaanh sio poa
Alafu humble ulitoa andiko jinsi gan hawa wanaokua TO na maisha magumu, sasa apa naona mmeamua kuendeleza kuvuana nguo ukwen
Mmemuaribia sana mchiz, sjui ataanza vip uko pm za kina mzigua, demise, mama Sabrina, hajar
Yan anaenda kutongoza na upya, walai vile
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji4]. Umeyajuaje lakini haya dada angu??
alikuwa anapiga chepuo kwangu namuambia mimi mkubwa kwako nimeolewa na watoto 3 haamini wewe unaweza kumkubali mwanaume ambae kaahidi 50k week nzima hatumi
 
ukionesha vyeti vyako mkuu itapendeza zaidi,maneno bila factual ni _ _ _ _ _ mtupu.
Anaoneshaje sasa hicho cheti wakati leo ana siku ya pili hajulikani alipo? Na hapa anapaogopa kama ukoma? Kakogeshwa mineno na humble na wapiga kura hadi balaa tupu. Titiititiiiiiiiiii
 
[QUOTE="Mzigua90, post: 27861807, member: 2483][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji4]. Umeyajuaje lakini haya dada angu??[/QUOTE]
Ana hasira naye mpaka sasa alimtumia muamala usiojulikana!muamala hewa
 
Ccnp engineer amewakosea nn raia wenye hasira kal???
Kwan kujisifia na kutamba umu jf hata kama hauna kitu tunapangiana??

Mtu amekosa pesa bas ata mikwara pia akose, aaaanh sio poa
Alafu humble ulitoa andiko jinsi gan hawa wanaokua TO na maisha magumu, sasa apa naona mmeamua kuendeleza kuvuana nguo ukwen
Mmemuaribia sana mchiz, sjui ataanza vip uko pm za kina mzigua, demise, mama Sabrina, hajar
Yan anaenda kutongoza na upya, walai vile

Mkuu tulia inginia anakuja na nondo za ukweli

Niko nae apa msiwe na shaka anakuja kumaliza kazi

Hiii ndo team ushindi

Kelele kwake T.O wa tz
 
Anaoneshaje sasa hicho cheti wakati leo ana siku ya pili hajulikani alipo? Na hapa anapaogopa kama ukoma? Kakogeshwa mineno na humble na wapiga kura hadi balaa tupu. Titiititiiiiiiiiii
Kahamia Kenya Talk nimemuona leo kule anajiita Sigara kali[emoji1] [emoji1] [emoji1]
 
Ccnp engineer amewakosea nn raia wenye hasira kal???
Kwan kujisifia na kutamba umu jf hata kama hauna kitu tunapangiana??

Mtu amekosa pesa bas ata mikwara pia akose, aaaanh sio poa
Alafu humble ulitoa andiko jinsi gan hawa wanaokua TO na maisha magumu, sasa apa naona mmeamua kuendeleza kuvuana nguo ukwen
Mmemuaribia sana mchiz, sjui ataanza vip uko pm za kina mzigua, demise, mama Sabrina, hajar
Yan anaenda kutongoza na upya, walai vile
Aseee huu Uzi Ndio uzi wangu bora zaidi kwa mwezi huu, ninacheka hadi najilamba. Eti anaanza kutongoza upya. Hakujua anaepambana nae. Amefanya makosa tu ya kawaida ya kiufundi.
 
alikuwa anapiga chepuo kwangu namuambia mimi mkubwa kwako nimeolewa na watoto 3 haamini wewe unaweza kumkubali mwanaume ambae kaahidi 50k week nzima hatumi
Haha
 
Hahahahaaa. Nimempenda sababu anaijua hela
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji121] [emoji121] [emoji121] [emoji121] [emoji121] ila weweeee!!!daah!umenifanya nichekeee kama lofaaa
 
Back
Top Bottom