Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 40,905
- 86,203
Usiku mwema
Wacha niongee mme ake niLale mie
Hapo chacha .........[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji122] [emoji122]
Ngoja niwalindie Uzi wenu,usiibiwe kesho muukute ,muendelee na kuchat ,mlale unono mabintiAlaaaa kumbe kitu ganii kudanga lazima
ukionesha vyeti vyako mkuu itapendeza zaidi,maneno bila factual ni _ _ _ _ _ mtupu.
Hahaaaaa mkuu nimecheka ile mbayaaaMi ni H kunani binafsi.. Engineer shule kaenda bwana hilo tumpongeze, ila hawa wanawake sio wakuwaamini huyu amu na rabeca walikua maswahiba wake lakini baada ya H kunani mwenzagu kuweka masalia halisi na nini sijui, hawa wadada akili zimewaruka kabisa daah pesa nyooko sana. Ila enginner na wewe unamambo yakisenge saaana nyooko wewe.
"Ila enginner na wewe unamambo yakisenge saaana nyooko wewe."Mi ni H kunani binafsi.. Engineer shule kaenda bwana hilo tumpongeze, ila hawa wanawake sio wakuwaamini huyu amu na rabeca walikua maswahiba wake lakini baada ya H kunani mwenzagu kuweka masalia halisi na nini sijui, hawa wadada akili zimewaruka kabisa daah pesa nyooko sana. Ila enginner na wewe unamambo yakisenge saaana nyooko wewe.
[emoji1] [emoji1] na kombe umelibebaVibaya mno!!!! yaani kama vile nipo itv na mikamera naulizwa pale najiskiaje nlivyposhinda
Huku ni zaidi ya kupatwa kwa engineer,kumbe mambo ya ajabu hajakutana nayo barabarani!yapo within him,usshindane naye ni wa kumuombea tu....kunya ndani,kukojoa ndani,uoga,matusi,ushamba dahKuna vitu vya mpinzani wangu CCNP Engineer navisoma hapa hadi najikuta nalazimika kuhoji juu ya uzima wa akili yake na ufaulu wake na taaluma yake kwa ujumla.....tunajua elimu imeporomoka sana nchini ila sio kwa taaluma ya uinjinia.. Hapana! Ndio maana nasisitiza ili lisiwekwe kama tatizo la watu wa sayansi au fani ya engineer, hili ni tatizo la huyu jamaa Ndezi kuna uwezekano akawa psychopath.... Yuko Very naïve, mediocre and truly insane.
Though, nimecheka sana kwa content yake hiyo hapo chini yenye ujinga na upuuzi uliopita kiwango cha ustaarabu.... Na inatufundisha common sense ndio akili ya kwanza na muhimu kwa mwanadamu, ukikosa common sense huko mmagumu licha ya vyeti vyako vizuri na lukuki. Ingawaje sisi binadamu inabidi tuheshimiane tu na binafsi sichukii yeyote maana atakaenizika simjui.. Na wanaogombana ndio wanaishiaga kuwa marafiki wa kufa na kuzikana ingawaje labda nitangulie kufa mimi injinia anizike lakini akitangulia nikafika mazishini nitacheka sana huko makaburini maana jamaa yangu nilimuona pale TMT kwenye Forex jangid plaza ana kichwa kikubwa sana sasa jeneza lake hopefully litakuwa na muundo kama wa lollipop sababu ya kichwa kikubwa kisicho na common sense. [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Injinia tafadhali hebu jitokeze..jionyeshe mbele za waaatu. Maana wanaogombana ndio wanaopatana na udugu ndio hazina yetu. Yaliyopita si ndwele tugange yajayo. Si ajabu tukaja kuwa washkaji sana maana Mimi sina kinyongo wala ugomvi na wewe ndugu yangu. No need to worry you got a friend here!
Apparently, ngoja niwape hii bonus kidogo wapiga kura wangu waburudike, Hii hapa ingia ucheke https://www.jamiiforums.com/index.php?threads/1237188/
[emoji176]
Asituaibishe ex special school boys, mbona wapo wengi tu tuliosoma nao ilboru walienda harvard,Yale,MIT na wapo vizuri saaaaaana na wamepotelea hukohuko majuuNdio ubaya au uzuri wa JF,apa ndio naona maana ya ule msemo 'ipo tu siku tu...'
kila walipopita wameweka historia (mm ni muhenga wa Ilboru then Kibaha) some of us tunakosa focus kujidanganya mafanikio tayari tunayo kusoma special na kupiga one kali au kuwaAsituaibishe ex special school boys, mbona wapo wengi tu tuliosoma nao ilboru walienda harvard,Yale,MIT na wapo vizuri saaaaaana na wamepotelea hukohuko majuu
Unaundugu na lemutuzHuu uzi ndio nauona muda huu mkuu. Huwa sina tabia ya kujinadi ya kitoto kama huyu psycho anavyofanya maana hata watu wenye hela kama akina mengi huwa hawana haja ya kuvaa saa za Gucci ili waonekana wana hela ... Hii mentality hawana hata kidogo. The same na watu walio successful maishani... They are cool, calm and collected.
Inanilazimu niseme hili kwamba licha ya account zangu mbili muhimu, ya kwanza account ya online E-banking ya NETTELER na nyingine ya Bongo zenye kiasi kikubwa cha pesa kufungiwa baada ya kuingiza hela nyingi kuliko kawaida yake...narudia hela nyingi kuliko kawaida, na wahusika kuhisi labda inaweza kuwa money laundering au inaweza kuwa pesa zinataka kuangukia mikononi mwa magaidi na wao kuamua kublock access na transaction zote hadi pale nitapowapa documents zinazoweza kuverify without any reasonable doubts legality ya pesa zangu na sources zake ikiwemo pia kuwapa barua ya bank ambao nimekuwa mteja wao kwa miaka kadhaa.. Nimeweka hiyo hapo barua ya Crdb bank ikiwajulisha jamaa wa relax na kwamba Mimi ni bonafide customers... Mbali na hivyo kuna supporting documents kibao zingine nimetuma England kutoka Tanzania na South Africa zikithibitisha ile pesa kubwa ni yangu na source zilipotokea wamekiri hili. Sidhani kama itazidi miaka 3 nitakuwa na hela ambayo wewe utafanya kazi miaka hadi ustaafu usiipate...! But I'm cool sikuwa nataka watu wayajue haya but jamaa kaniprovoke.
Najua hana hela huyu jamaa na ana msongo wa Mawazo ndio maana hata anataka kukopa milion tano akimbie kazi https://www.jamiiforums.com/index.php?threads/1365777/..hela ambayo Mimi iko kwenye bank nisiyoitumia kihivyo... Exim Bank...Nina milion tano inamangamanga tu kule achana na CRDB, NMB au NETTELER E-banking ambayo hata jamaa haijui na kule Forex jamaa alinitapeli zaidi ya milion 9.
Na hapa natoka church nakula zangu baltika kiulaini, huku song za praise and worship zinatawala, huku Napush ndinga yangu as easy as Sunday morning...C'mooooon hivi maisha yanataka nini tena kwangu?
Kwenye maisha heshima pesa, salamu, elimu ni makelele tu! Tafuta hela kijana, mengine yatafuata.
Ndugu zangu sikupanga kujinadi na sijawahi kujinadi JF but huyu bwege mshinda juu ya minara kaniprovoke na nimegundua sio level zangu...nimeamua kumpuuuza. Cc bachelor sugu Zahra White amu Mama Sabrina
Nimeambatanisha na vielelezo vidogo for more clarification.
Kila la kheri!
View attachment 827601View attachment 827602
Promota mbona kama una upande tayari[emoji1] [emoji1]Jamani Engineer kasahau Jiko lake huku anayejua anapatikana wapi atusaidie kumpelekea amu theriogenologyView attachment 828846
KumbeKuna wageni hapa jf hawamjui huyu jamaa ndo maana wanamshobokea kwa taarifa zao wambie kuwa zamani alikuwa anajiita Padre mcharo akapigwa ban ndo akaja na hii account mpya
Refer post #654 ya humble africanMpeni muda engineer bado kijana mdogo,leo kapata fundisho huenda after sometime a/c zake na zenyewe zinaweza kusoma vizuri,ana hardly two years mtaani ukizingatia ni wa shinyanga auzoee mji kwanza (form advance 2010_2012) chuo 2012_2016 four years za engineering,now its jus 2018 ndio.maana kuna kipindi alitaka kukopa 5M asepe!itakuwa ndio alikuwa kaanza kazi
Mi nanogesha pambano mkuu na niliruhusu kutumika kwa data za humu jamvini za washindani kumchafua mwingine ili kuteka ridhaa ya wapiga kura hivyo usijali uko huru kujimwaga piaPromota mbona kama una upande tayari[emoji1] [emoji1]