BATTLE!..Humble African Vs CCNP Engineer.

Huyu jamaa nawasiwasi ni muongo km 2010 form v ilboru that means alimaliza 2012,lakini 2012 hakukuwa na div 1 pt 3 the whole class..
 

Attachments

  • Screenshot_2018-08-07-06-55-55.jpeg
    110.8 KB · Views: 39
"Ila enginner na wewe unamambo yakisenge saaana nyooko wewe."

Haka kakipande kamenichekesha mno... The Crushing we nyooko sana. Ah ah ah ah ah! Huyu injinia ana mambo ya kiboya sana amegombana na watu kibao sana humu.
😀😀😀😀😀 yani yeye kila mtu anagombana nae sasa si matatizo hayo
 
Jamani muwe makini na huyu jamaa Engineer mjambaji maana anapenda pia mambo ya uchawi uchawi hivyo hashindwi kumtafuta Mshana amsaidie kumrogea wabaya wake.Ushahidi huu hapa

Hata pale wenye maono ya mbali walipojaribu kumshauri mambo mama.alikuwa mbogo na kushikilia dhamira yake.

Amaaaa kweli nimeamini huyu sio Engineer kabisa na MOYO wake ni mkubwa zaidi ya TIKITI MAJI bila shaka.
 
Daah kupatwa kwa injinia... Atajificha wapi maskini[emoji317] [emoji317]
 
Hehehehe sikuhizi mtu akikuletea dharau humu bank balance ndio muamuzi wa mwisho..

Kuna watu wana stress zao za maisha wanakuja kuzifutia JF.. injinia kaingia mitini na ID nadhani ataikimbia..

Sasa atakayemtukana Ontario tunaomba nae atoe bank balance yake ambapane na Ontario hehehehehe
 
Na yeye Ontario tutaomba awake yake
 

Aisee iko shida mahali hadi jagi la maji ya kunywa.
 
ukiona mtu anajisifia au kutoa povu ujue anapunguza stress mwache tu, ukimzuia atakufa na msongo
 
Huyu msamehe sio kosa lake kumbe katoka Shinyanga ana tatizo kubwa mno
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…