BATTLE!..Humble African Vs CCNP Engineer.

[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
 
Huu mpambano wa shoka ,,,,naona injinia katupa taulo uwanjani
Bora hata angetupa taulo pambano lingemalizwa na refa,Kakimbia uwanjani kawatoka security wa mlangoni mbio ila kuna wanaosema kaonekana Tandahimba. Ah ah ah ah
 
Refer post #654 ya humble african alimnukuu CCNP engineer kwenye post yake .. .aliriport form V 2010 ilboru....maneno yake mwenyewe
 
hahaha " mimi mwenyewe nimeshindwa kuendelea nayo" acha nijishughulishe na mambo chanya kwanza
Ila mmemuattack sana CCNP Engineer. huyu jamaa anajua kuvimba, hes an engineer anatakiwa vimbaa bana kusomea Engineering si mchezo acha atudharau vilaza sie!.
Najua tungekua na akili tungeshindana nae darasani n' namwambia keep up man!.. Angekua NN kajitapa hivi wote kimya, lile jamaa linajua kutisha!! 🙂..
 
Hahahah mkuu. Usifananishe the bold na vitu vya kijinga.
Hizo ni kati ya Threads nilizoziona Humu
Sijamaanisha kam nilikuwa nafananisha watu Hapana....! Naona ulisoma lakini haukuelewa nilicho maanisha
 
Msisahau kumpa kale karisiti ka mashine atakaeibuka kinara
 
Jamaa ananiachaga hoi sana.
Ana matusii sometimes
 
madhumuni ya hii battle ni nini?
Hawa walianzia battle yao kwenye magroup yao ya Forex huko TMT wakabiringishana hadi humu JF na promota akaona wanachafua nyuzi za wengine kwa kupeana masingi ndio akaandaa hili pambano akiwa na Msami production, Clouds Media, Mariedo classic e.t.c . Hadi mmoja alipopigwa pigo takatifu juzi akakimbia hadi leo hajaonekana. Ah ah ah ah ah ah ah inachekesha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…