Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kazi kweli kweliHuyu jamaa nawasiwasi ni muongo km 2010 form v ilboru that means alimaliza 2012,lakini 2012 hakukuwa na div 1 pt 3 the whole class..View attachment 828987View attachment 828988View attachment 828990
Mbona anapenda kutukana watu kwenye comment bila sababu tatizo nini labdaJamaa ana one ya 3 mkuu though alimaliza mwaka tofouti na huo na shule tofouti na hiyo.....
Ni jamaa yangu mzuri na ni mtu poa tu tofouti kabisa na anacho post hapa....
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]Hehehehe sikuhizi mtu akikuletea dharau humu bank balance ndio muamuzi wa mwisho..
Kuna watu wana stress zao za maisha wanakuja kuzifutia JF.. injinia kaingia mitini na ID nadhani ataikimbia..
Sasa atakayemtukana Ontario tunaomba nae atoe bank balance yake ambapane na Ontario hehehehehe
Bora hata angetupa taulo pambano lingemalizwa na refa,Kakimbia uwanjani kawatoka security wa mlangoni mbio ila kuna wanaosema kaonekana Tandahimba. Ah ah ah ahHuu mpambano wa shoka ,,,,naona injinia katupa taulo uwanjani
Kanambia nimsaidie kupost balance akaunti yake sasa sijui mtaamini au ndio mpaka aje kuthibitisha mwenyewe.....theriogenology mpigie injinia muulize kwa nini hakuntumia ile pesa katudhalilisha wana sayansi
Hapa atakuja mwenyewe kujielezea but ameniambia tu this time akirudi atarudi kuwa mtu poa na atakuja na nyuzi zinazojenga na kufikrisha.......Mbona anapenda kutukana watu kwenye comment bila sababu tatizo nini labda
Ila mmemuattack sana CCNP Engineer. huyu jamaa anajua kuvimba, hes an engineer anatakiwa vimbaa bana kusomea Engineering si mchezo acha atudharau vilaza sie!.hahaha " mimi mwenyewe nimeshindwa kuendelea nayo" acha nijishughulishe na mambo chanya kwanza
Hizo ni kati ya Threads nilizoziona HumuHahahah mkuu. Usifananishe the bold na vitu vya kijinga.
Nijibu basi mamaa,siulikuwa umelala time zile najiongelesha mwenyewe kujaza server!!haha
Mkuu mhivi umechelewa hivimadhumuni ya hii battle ni nini?
Jamaa ananiachaga hoi sana.Ila mmemuattack sana CCNP Engineer. huyu jamaa anajua kuvimba, hes an engineer anatakiwa vimbaa bana kusomea Engineering si mchezo acha atudharau vilaza sie!.
Najua tungekua na akili tungeshindana nae darasani n' namwambia keep up man!.. Angekua NN kajitapa hivi wote kimya, lile jamaa linajua kutisha!! 🙂..
Hawa walianzia battle yao kwenye magroup yao ya Forex huko TMT wakabiringishana hadi humu JF na promota akaona wanachafua nyuzi za wengine kwa kupeana masingi ndio akaandaa hili pambano akiwa na Msami production, Clouds Media, Mariedo classic e.t.c . Hadi mmoja alipopigwa pigo takatifu juzi akakimbia hadi leo hajaonekana. Ah ah ah ah ah ah ah inachekesha.madhumuni ya hii battle ni nini?
Wanawake na hela kama samaki na majiBwana ringishianeni hela sio matokeo ya shule. Kuna watu hawajagusa darasa wanayo hela hatari. Na wengine wamesoma madarasa kama yote mpaka sasa wanahustle. Kura yangu iko kwa alieonyesha mihela
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Hela tunazipenda sana.Wanawake na hela kama samaki na maji
Ngoja nitafute walahi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Hela tunazipenda sana.