BATTLE!..Humble African Vs CCNP Engineer.

BATTLE!..Humble African Vs CCNP Engineer.

What did u say?kweli nimeamini pesa inaenda kwa mwenye pesa yaani mwanamke wa kwanza wewe leo kutoa pesa humu humu tena kilo na 20 anyway nilishapokea pesa kadhaa kwa waliopenda comment nishapokea 35,000,65,000 na 21,000 aaa ila leo napokea kutoka kwa mke wa papaa mwenyewe humble african humble aliyesoma HKL yake lakini ametukimbiza sisi Wa pure maths,ndugu wajumbe nafinalize na zahra nitaleta mrejesho halafu kuanzia leo wewe Zahra mimi ni best wako humu ndani nakupendaje teh teh teh
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] kumbe katuma Zahra daaah!
 
Woyooo[emoji3][emoji3][emoji16][emoji23][emoji23][emoji16][emoji3][emoji3]amu ngoja nije pm
njoo ndugu yangu tumetoka mbali kweli kweli nakumbuka siku ile nawe hukuwa mbali leo tumeuoona mkono wa Bwana
 
Huu uzi ndio nauona muda huu mkuu. Huwa sina tabia ya kujinadi ya kitoto kama huyu psycho anavyofanya maana hata watu wenye hela kama akina mengi huwa hawana haja ya kuvaa saa za Gucci ili waonekana wana hela ... Hii mentality hawana hata kidogo. The same na watu walio successful maishani... They are cool, calm and collected.

Inanilazimu niseme hili kwamba licha ya account zangu mbili muhimu, ya kwanza account ya online E-banking ya NETTELER na nyingine ya Bongo zenye kiasi kikubwa cha pesa kufungiwa baada ya kuingiza hela nyingi kuliko kawaida yake...narudia hela nyingi kuliko kawaida, na wahusika kuhisi labda inaweza kuwa money laundering au inaweza kuwa pesa zinataka kuangukia mikononi mwa magaidi na wao kuamua kublock access na transaction zote hadi pale nitapowapa documents zinazoweza kuverify without any reasonable doubts legality ya pesa zangu na sources zake ikiwemo pia kuwapa barua ya bank ambao nimekuwa mteja wao kwa miaka kadhaa.. Nimeweka hiyo hapo barua ya Crdb bank ikiwajulisha jamaa wa relax na kwamba Mimi ni bonafide customers... Mbali na hivyo kuna supporting documents kibao zingine nimetuma England kutoka Tanzania na South Africa zikithibitisha ile pesa kubwa ni yangu na source zilipotokea wamekiri hili. Sidhani kama itazidi miaka 3 nitakuwa na hela ambayo wewe utafanya kazi miaka hadi ustaafu usiipate...! But I'm cool sikuwa nataka watu wayajue haya but jamaa kaniprovoke.

Najua hana hela huyu jamaa na ana msongo wa Mawazo ndio maana hata anataka kukopa milion tano akimbie kazi https://www.jamiiforums.com/index.php?threads/1365777/..hela ambayo Mimi iko kwenye bank nisiyoitumia kihivyo... Exim Bank...Nina milion tano inamangamanga tu kule achana na CRDB, NMB au NETTELER E-banking ambayo hata jamaa haijui na kule Forex jamaa alinitapeli zaidi ya milion 9.

Na hapa natoka church nakula zangu baltika kiulaini, huku song za praise and worship zinatawala, huku Napush ndinga yangu as easy as Sunday morning...C'mooooon hivi maisha yanataka nini tena kwangu?

Kwenye maisha heshima pesa, salamu, elimu ni makelele tu! Tafuta hela kijana, mengine yatafuata.

Ndugu zangu sikupanga kujinadi na sijawahi kujinadi JF but huyu bwege mshinda juu ya minara kaniprovoke na nimegundua sio level zangu...nimeamua kumpuuuza. Cc bachelor sugu Zahra White amu Mama Sabrina

Nimeambatanisha na vielelezo vidogo for more clarification.

Kila la kheri!

View attachment 827601View attachment 827602
Kumanina Humble African wewe mzee nakuelewa mno. Umeninyooshea hili linyang'au kazi kujisifia sifia tu mimi mchomi mnyomi. *****. Kwisha kabisa.
Mxiiuuuuuuuuu.
 
njoo ndugu yangu tumetoka mbali kweli kweli nakumbuka siku ile nawe hukuwa mbali leo tumeuoona mkono wa Bwana
Naja pm wangu sikutegemea kama injinia atatuvua nguo watu wa hesabu wenziwe!!daah!
 
Kwanzia leo inatakiwa mods wampe BAN engeneer maskini kila atakapoleta vurugu humu ndani

vurugu nyingi kumbe hamna kitu hata screenshot ya mpesa kashindwa kutuma [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mambo humble and Zahra mchezo pesa sio vidukuu[emoji23] [emoji23]
 
Kwanzia leo inatakiwa mods wampe BAN engeneer maskini kila atakapoleta vurugu humu ndani

vurugu nyingi kumbe hamna kitu hata screenshot ya mpesa kashindwa kutuma [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ametumia nguvu nyingi kujibomoa mwenyewe,yaani nadhani sasa inabidi awe mpole tu na sifa zake za kijinga aziache
 
Naona ilianza [emoji116][emoji116][emoji116]

1: HUMBLE Africa Vs The bold

2😡Humble Africa Vs CCNP Engineer

Next...![emoji117][emoji117][emoji117]
Hahahah mkuu. Usifananishe the bold na vitu vya kijinga.
 
Naona ilianza [emoji116][emoji116][emoji116]

1: HUMBLE Africa Vs The bold

2😡Humble Africa Vs CCNP Engineer

Next...![emoji117][emoji117][emoji117]

Alitaka kufanisha the bold na vitu vyakijinga.keshafeli huyo
 
Kwanzia leo inatakiwa mods wampe BAN engineer maskini kila atakapoleta vurugu humu ndani

vurugu nyingi kumbe hamna kitu hata screenshot ya mpesa kashindwa kutuma 😂😂😂😂😂😂
naunga mkono hoja,tena mie aache kabisa kunimention wala kunitag ,nataka wanitag Zahra na humble tu yeye atulie kabisa aibu aliyonsababishia ni kubwa sana
 
naunga mkono hoja,tena mie aache kabisa kunimention wala kunitag ,nataka wanitag Zahra na humble tu yeye atulie kabisa aibu aliyonsababishia ni kubwa sana
Shambulio la aibu daah![emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji121] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji121] [emoji121] [emoji121] hadharani hapa!
 
Back
Top Bottom