BATTLE!..Humble African Vs CCNP Engineer.

BATTLE!..Humble African Vs CCNP Engineer.

Why should I?au ndio salamu za kiutuuzima,hakuna cha dada napenda post zako,nakufwatiliaga sana n.k n.k ni 50 kwanza tena kwwenye public rally!ndio wageni wanakaribishwa hivi,haha
Si nlisema sina ligi na mtu,nikiridhika hata 50 kumi natuma,ila kama ndio salamu,basi sawa
 
Why should I?au ndio salamu za kiutuuzima,hakuna cha dada napenda post zako,nakufwatiliaga sana n.k n.k ni 50 kwanza tena kwwenye public rally!ndio wageni wanakaribishwa hivi,haha
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] hii inaitwa straight to the point no kona kona
 
Huu uzi ndio nauona muda huu mkuu. Huwa sina tabia ya kujinadi ya kitoto kama huyu psycho anavyofanya maana hata watu wenye hela kama akina mengi huwa hawana haja ya kuvaa saa za Gucci ili waonekana wana hela ... Hii mentality hawana hata kidogo. The same na watu walio successful maishani... They are cool, calm and collected.

Inanilazimu niseme hili kwamba licha ya account zangu mbili muhimu, ya kwanza account ya online E-banking ya NETTELER na nyingine ya Bongo zenye kiasi kikubwa cha pesa kufungiwa baada ya kuingiza hela nyingi kuliko kawaida yake...narudia hela nyingi kuliko kawaida, na wahusika kuhisi labda inaweza kuwa money laundering au inaweza kuwa pesa zinataka kuangukia mikononi mwa magaidi na wao kuamua kublock access na transaction zote hadi pale nitapowapa documents zinazoweza kuverify without any reasonable doubts legality ya pesa zangu na sources zake ikiwemo pia kuwapa barua ya bank ambao nimekuwa mteja wao kwa miaka kadhaa.. Nimeweka hiyo hapo barua ya Crdb bank ikiwajulisha jamaa wa relax na kwamba Mimi ni bonafide customers... Mbali na hivyo kuna supporting documents kibao zingine nimetuma England kutoka Tanzania na South Africa zikithibitisha ile pesa kubwa ni yangu na source zilipotokea wamekiri hili. Sidhani kama itazidi miaka 3 nitakuwa na hela ambayo wewe utafanya kazi miaka hadi ustaafu usiipate...! But I'm cool sikuwa nataka watu wayajue haya but jamaa kaniprovoke.

Najua hana hela huyu jamaa na ana msongo wa Mawazo ndio maana hata anataka kukopa milion tano akimbie kazi https://www.jamiiforums.com/index.php?threads/1365777/..hela ambayo Mimi iko kwenye bank nisiyoitumia kihivyo... Exim Bank...Nina milion tano inamangamanga tu kule achana na CRDB, NMB au NETTELER E-banking ambayo hata jamaa haijui na kule Forex jamaa alinitapeli zaidi ya milion 9.

Na hapa natoka church nakula zangu baltika kiulaini, huku song za praise and worship zinatawala, huku Napush ndinga yangu as easy as Sunday morning...C'mooooon hivi maisha yanataka nini tena kwangu?

Kwenye maisha heshima pesa, salamu, elimu ni makelele tu! Tafuta hela kijana, mengine yatafuata.

Ndugu zangu sikupanga kujinadi na sijawahi kujinadi JF but huyu bwege mshinda juu ya minara kaniprovoke na nimegundua sio level zangu...nimeamua kumpuuuza. Cc bachelor sugu Zahra White amu Mama Sabrina

Nimeambatanisha na vielelezo vidogo for more clarification.

Kila la kheri!

View attachment 827601View attachment 827602
Shikamoo kaka. Sema hela unayo bwana. Mi naomba laki tu kwenye hiyo 5M.
Wako mtiifu
MziguaWaKichaga
 
Huyu @CCNP lazima atafungua ID nyingine,jf sio sehemu ya mchezo mchezo,miaka ya nyuma alikuwepo member anajiita Mpiga msuli alisoma shule maalum Tabora boy alitukana sana watu kua yuko vizuri,siku akaingia anga za mtu zikaletwa mpaka picha za kwao kibaha,hawajawahi onekana humu toka miaka ile,jf naigopa kama ukimwi
 
Aione CCNP Engineer unaturingishiaga vi AAA+ vyako kumbe hohehahe tu kama Mimi hapa. Sasa nasema hivi chukua AAA+ zako uende show room ukanunulie mkebe. Ah ah ah ha ah! Aibu gani hii!
Screenshot_2018-08-04-09-44-08.jpg
 
Back
Top Bottom