BATTLE!..Humble African Vs CCNP Engineer.

BATTLE!..Humble African Vs CCNP Engineer.

5H1*1K3J1*J Confirmed. On 5/8/18,8:58 PM Give Tshs 125,000 to .....SAIDI New balance is Tshs ******
Ndugu wajumbe muamala umesoma nawaombeni wale tulioahidiana kujifuta machozi wana sayansi pm tugawane,halafu Zahra endelea kumshikilia hivyo hivyo Humble si kwa pesa hizi
Huu mgao usiponikumbuka nakuroga aroo
 
Bwana ringishianeni hela sio matokeo ya shule. Kuna watu hawajagusa darasa wanayo hela hatari. Na wengine wamesoma madarasa kama yote mpaka sasa wanahustle. Kura yangu iko kwa alieonyesha mihela
 
Shikamoo kaka. Sema hela unayo bwana. Mi naomba laki tu kwenye hiyo 5M.
Wako mtiifu
MziguaWaKichaga
As usual[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
injinia mkuu wangu nakusubiri watakukimbia wote lakini sio mimi , mimi ni shabiki wa kweli hata ukianguka kutoka kwenye mnara nitakuokoa tu.
Ah ah ha ha ha ha ha ha ha!! Uwiiiiiiiiii!!! Nimecheka sanaa mkuu.
 
Huyu @CCNP lazima atafungua ID nyingine,jf sio sehemu ya mchezo mchezo,miaka ya nyuma alikuwepo member anajiita Mpiga msuli alisoma shule maalum Tabora boy alitukana sana watu kua yuko vizuri,siku akaingia anga za mtu zikaletwa mpaka picha za kwao kibaha,hawajawahi onekana humu toka miaka ile,jf naigopa kama ukimwi
Ogopa kuijisifia mbele ya watu usiowajua kwani ukija kugundua wamekuzidi kila kitu utajiadhibu sana bila sababu, huyu kijana hakuwa wa kwanza zaidi ya hiyo top 3 tena form 6 pekee, hebu jiulize mtu kama Martin Chegere aliyewaongoza wenzake kuanzia darasa la saba mpaka form 6 na huko UDSM akawanyoosha kwa kupata 4.7 ila bado hakuwahi kuleta maringo.
Kila kitu kina heshima yake, msanii aheshimiwe kwa kazi yake ambayo Injinia imemshinda kuifanya hivyo kila binadamu ni bora katika eneo fulani.
 
Sio kwa kuwa umeruhusiwa povu basi ndo uteme na mate mkuu kama hauwajui hawa watu kaa kimya haiwezekani kutwa kucha wanachafua nyuzi za watu kusemana sasa huu ndo Uzi wao maalumu.
hahaaaa EFDs machine nazo zipo humu" daaah JF bwana
 
amu: wewe sio wakunikimbia kiasi hicho baada ya kurushiwa chochote.
aaaaa tatizo uko team ya kichovu pambana na njaa yako mimi huko nlienda mpaka mpesa kuulizia labda mtandao umesumbua injinia katuma imebaki hewani ila hola nimehama team rasmi tokea jana na mema nimeshakula jana na leo naendelea kuyafaaidi
 
Jina langu ni CCNP Engineer.
Nina degree ya Telecommunications Engineering.
Mimi ni Engineer wa computer networks (security and data center)


Mimi kama engineer hata siku moja siwezi kulinganishwa na mtu alosoma HKL. Topic moja ya chemistry (ORGANIC) nilosoma A-level ni equivalent to syllabus yote ya HKL form five na six jumlisha na GS.

Mimi kama mwanaume, ni udhalilishaji mbaya kabisa kunilinganisha na PUGI. Mimi sio PUGI, bali ni mwanaume. Waulizeni akina Rebeca 83 na amu na theriogenology na baba swalehe, wao ni mashahidi katika hili.

Huyu PUGI aliletaga UNAFIKI kwenye magroup ya TMT alivogundulika akatimuliwa na chyupi kichwani na Screenshort ninazo, na akibisha naweka namba yake ya cm hapa. Alikua Anatumia nickname ya Spiritual Crypto.

Conlusion:
Kumlinganisha Engineer na PUGI ni sawa na kusema kati ya FLOYD MAYWEATHER na CRISTIANO RONALDO nani mkali (Does it make any sense???)


Sifananishwi na wabwekaji!!!

Engineer atabaki kuwa Engineer, PUGI atabaki kuwa PUGI.
Hivo rasmi huu Uzi umefungwa. Hakuna maana. Ni udhalilishaji.
Aiseee "
 
ameenda CRDB , bahati mbaya amekuta wanavikao vya bodi , maana injinia hua anahudumiwa na kimei mwenyewe mateller waliosoma HKL hawawezi kumhudumia hivo nasubiri tu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Promota pia nina swali kwako engineer,
Mbona umekuwa na stress sana za kimaisha mpaka kufikia kutaka kufanya utapeli wa kuchukua mkopo bank na kuacha kazi nn hasa tatizo je ni kuwa mshahara haukutoshi au ni nn tatizo lako
hahaaa
 
Back
Top Bottom