Battle kati ya Fiesta na Wasafi Festival

Kwenye issue za mikataba wengi wetu tunaongozwa na njaa zaidi ndiyo maana tunaishia kupigwa
 
Walikuja Vinega na ANT VIRUS Concert wakiwa EA FM Fiesta ya Clouds ikapeta.
Ikaja Mziki Mnene chini ya EFM Fiestaa imooooo.
Sasa ni Wasafi Festival je fiesta Itatoboaa?
Lkn msemo wa fiesta 2018 ni ovyo sana.
Kitu Usipime, Hakuna Majotrooo, Imooooo now ni ufala sana mwaka huuu
 
Ngoja tuone kwenye malipo ya wasanii!

Usishangae malipo ikawa afadhali clouds Ndio utakapoona maajabu!

Ila all in all wasanii hii ni faida kwao kuchagua
 
Usilolijuwa sawa na usiku wa Giza, Diamond mtumwa tu hapo kama wenzie kina Tale tu..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…