screpa
JF-Expert Member
- Sep 10, 2015
- 10,857
- 15,866
Hukawii kusema wabadili na jina la TV[emoji41]Sema Wasafi wangebadilisha jina la tour yao, liko kibinafsi sana, wangekuja na jina tofauti na hilo. Ni mtizamo tu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hukawii kusema wabadili na jina la TV[emoji41]Sema Wasafi wangebadilisha jina la tour yao, liko kibinafsi sana, wangekuja na jina tofauti na hilo. Ni mtizamo tu.
Ruge kwani vipi? Tulia basi msumari ukuingieKuanzisha kitu kwa malengo ya kummaliza mpinzani badala ya kukuza muziki.
Zitakuja ila mpunguze bangi zenu za kuingia na betome naishi arusha, je fiesta na wasafi festival zitafika ?
Hahahahaahha kabisa aisee Wabobongo tunavyopenda kujifanya tunajua vituHukawii kusema wabadili na jina la TV[emoji41]
zana za kazi hizo.Zitakuja ila mpunguze bangi zenu za kuingia na beto
Sawa mkuu nimetoa maoni tu.Ruge kwani vipi? Tulia basi msumari ukuingie
unamuuliza Nani hapa? Jaribu kuwapigia mawingu na dabliyusibii uwaulizeme naishi arusha, je fiesta na wasafi festival zitafika ?
unawashwa eeeunamuuliza Nani hapa? Jaribu kuwapigia mawingu na dabliyusibii uwaulize
...yes mkuu.....asee ujaelewa.......... muziki ni biashara sasa biashara gani haina competition hapo hakomolewi mtu...........consumer wataamua what to consume.
Kwenye issue za mikataba wengi wetu tunaongozwa na njaa zaidi ndiyo maana tunaishia kupigwaWasafi Festival hivi itakuwa inajumuisha wasafi tu au na wasanii wengine?
Kama na wasanii wengine watahusishwa sitoshangaa kusikia malalamiko kuwa wasanii wanalipwa pesa ndogo na hapo ndipo utashangaa iweje aliyekuwa analalamika kunyonywa na Ruge naye ananyonya wengine kama ambavyo imetokea kwa Rich Mavoko.
Wasanii uwa sijui wanakuwa wamezibwa macho wakati wakuingia mikataba maana uwa nashangaa mkataba asaini yeye halafu aje kusema ananyonywa.
Anawashwa Mzee wako mbaga srunawashwa eee
We tatizo una mihemko kama yoteMatusi ya nini mkuu? unaweza sana kutukana?
marinda yako hv punde nakuja kuyapanua.Anawashwa Mzee wako mbaga sr
Wenye mihemko wanakuwa na matusi na jazba,kuna sehemu niliyotoa tusi kwenye comments zangu?We tatizo una mihemko kama yote
Ngoja kwanza mkuu avatar yako inanitisha aiseeWenye mihemko wanakuwa na matusi na jazba,kuna sehemu niliyotoa tusi kwenye comments zangu?
Kwanini?