Battle: Kwa mara nyingine tena wale mahasimu wawili wa Bongofleva nchini wamekutana AFRIMMA Awards

Uzuri mwengine ni diamond mwenyewe hizi tuzo anahamasisha watu kumpigia kura tofauti na ilivyo kuwa KTMA hata mashabiki wake hawakupiga kura ki vile!Ana mashabiki wengi sana ukiacha tanzania

Nakwambia shughuli hapo ipo tena sio kidogo!!Kiba aombe sana kwa mungu ili ashinde hii tuzo ila akishinda Diamond litakuwa ni pigo moja takatifu kuwahi kutokea kwa kiba
 

Hahaahaaa!... Sikia wewe,ayo mengine sijui eti "kujadili\kuaangaikia collabo" umesema wewe tena bila mashiko Mimi nilichosema kiba kaimba na rkelly iwe amejadili...hakujadili,ameangaikia...hajaangaikia...msaada unajua wewe maana kitendo cha "ZAIDI YA MSANII MMOJA KUIMBA NYIMBO MOJA TAYARI NI COLLABO AU WEWE UNADIFINE VIPI?..embu niambie wewe COLLABO ina maana gani labda?"...sijaona mantiki hasa ya ulichokiandika hapo.
 
Haya bhana itajulikana ifikapo tareh 10/10/15 kule Dallas-states!!!

Muambie kiba asipotezee ela ya nauli kwnd marekani iyo cku iyo ela bora awekee anaze kununua mifuko kadha ya cementi kwajili ya kitengeneza kibanda chake
 

Umenena vyema mkuu sikufikiria kwenye teamondi kuna watu kama wewe maana kwa comment za wengine wa team yenu hawajapenda ishu ya KIBA kupata nomination kabisa.
 
hiyo nana hata isipopigiwa kura itashinda tu. Africa magharibi wenyewe wameinyooshea mikono. hapo Dai tayari ana tuzo mbili

1. nana
2. nitampata wapi
hizi lazima zishinde yaani hamna namna zitashinda tu eee na usipozipigia utapigwa wewe maana hamna namna ya kuzishinda
 
Hivi hawa AFRIMMA wametumia vigezo gani labda. Hivi huyu bwana mdogo (Ommy Dimpoz) ni New comer kweli!???
Huyu si wa kitambo tangu enzi za Nai Nai!?
Labda wenzangu mnalionaje hili!?
Karibuni.

Mkuu hao AFRIMMA wanajua wanachofanya na hawajakosea hapo maana dimpoz ameanza kutoka na NAINAI kwenye mwaka 2011 ivi,so almost ni kama miaka minne ivi imepita kutokea ilipotoka na kujulikana,haya tumuangalie Mondi ameanza kutoka na "nenda kamwambie" mwaka 2010 lakini mwaka Jana(2014) kwenye TUZO alizopata za channel O-Africa...moja ilikuwa ni ya "best upcoming artiste".. Je walikosea na hao channel O???..maana jamaa nae amepata iyo tuzo wakati akiwa na miaka minne nae Kwenye bongofleva.
 
Hapo kiba km yupo nitapga

Mkuu Fanya kweli tena Mara nyingi uwezavyo maana jamaa hawana limitation kabisa so ukishavote unaclick ile "return to vote poll" then unaendeleza kupiga kura.
 


Haya mambo ilibidi yakemewe mapema sana, sasa naanza kuona tatizo kwa kuona alichokiandika mrisho mpoto kwenye account yake ya instagram, Ameandika hivi "Nimefurahi kwa kuwa nominated AFRIMMA lakini uwezekano wa kushinda ni mdogo kwani mashabiki wa Tanzania wamegawanyika ki timu" . (Nadhani nimeqoute content sio maneno ) sio siri naona a serious problem here. Naona kuna wasanii wamekata tamaa sana daah hadi nimeumia.

Binafsi kila nikipata muda ntawapigia wasanii wote #isipokuwammojatu !
 
Kiba ndo hvyo sasa kashatoboa bila colabo la mnaijeria, yani pure bongo flavor, walisema kiba hadhi yake ni tuzo za kTMA sasa mfalme kakasirika kaamua awapandie kavu kavu na chekecha bila kolabo sasa je hiyo mwezi wa 11 colabo la king na Wizkid likitoka si ndio mtahama nchi, pigeni kelele na mayowe yote King ndo hvyo sasa kaamua kuwafata huko huko sijui mtalia tena mmehujumiwa Hahahaha, alafu mpaka sasa katika category aliyopo king yeye ndio anaongoza kwa kura ndani ya masaa 18 ana kura laki moja akifatiwa kwa mbali sana na Eddy kenzo wa Uganda alafu Diamond yeye wa tatu wamefungana na Dynamiq wa south sudan mpaka sasa teteteteh Hahahaha

#Rockstar4000presents
 

Kwanza kipenzi umeona wakenya wanavotifuana leo kwenye mitandao ya kijamii? Wanasema sautisoul kwenye MTVMAMA wamepigiwa kura sana na wa Tz kwa hiyo wa kenya wamewakosesha wenzao tuzo.
 
tuzo ambayo dai anaweza shinda labda hiyo ya category na kiba ila hizo zingine asahau

Kwanini mnajifanyaga wapiga ramli mapema hivi? Kwa mantiki hiyo basi penye diamond kiba hapumui? Ni swali tu.
 
Kwanza kipenzi umeona wakenya wanavotifuana leo kwenye mitandao ya kijamii? Wanasema sautisoul kwenye MTVMAMA wamepigiwa kura sana na wa Tz kwa hiyo wa kenya wamewakosesha wenzao tuzo.

ahahahaha!kwa hiyo wanataka kufanyaje?
 
Kwanini mnajifanyaga wapiga ramli mapema hivi? Kwa mantiki hiyo basi penye diamond kiba hapumui? Ni swali tu.
nimesema labda" yani kwa mbaali mbona ktma ilitupwa kule akaanza kulialia
 

Ndugu acha kuteta UJINGA you're self...maana kwa watu wanaojua haya mambo wanakushangaa...ni hivi kila aliyekuwepo kwenye category yoyote ile ana sifa na anavigezo vya kuwa mshindi sasa unaposema kiba hapewi sijui wewe ndo judge?...na unaposema CHIBU ana 7 na zote atapata inamaana hao wenzie kwenye hizo categories majina yao hayaonekani linaonekana lakwake tu ama??,kama ni kupata zote angepata za MTV's sasa...mbona kapata moja kati ya nomination 3 tu???,then unajihakikishia eti tayari ni zakwake ameshashinda,tena kwa maneno kama haya yako ndo yanawagawa waTZ ambao ni TEAMKIBA waanze kupigia wapinzani wa Mondi kwa categories ambazo kiba hayupo wakati inawezekana kabisa kumpigia Mondi ili zote zije home.
 
Mkuu Fanya kweli tena Mara nyingi uwezavyo maana jamaa hawana limitation kabisa so ukishavote unaclick ile "return to vote poll" then unaendeleza kupiga kura.
best male wallah tunabeba cc hatuna category nyingi wala tuzo cc ni hapo nikiamka ni hapo na my best artist in africa wizkidayo


show me the money na johny zimeshinda itaweza ntampata wapi et best song haya #show me the money
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…