Battle: Kwa mara nyingine tena wale mahasimu wawili wa Bongofleva nchini wamekutana AFRIMMA Awards

Battle: Kwa mara nyingine tena wale mahasimu wawili wa Bongofleva nchini wamekutana AFRIMMA Awards

Jamen,there is somthng wrong kwenye hiz nominations,me nafikir kimataifa Alikiba should be considered kama underground,coz Ommydimpoz Yuko kimataifa kuliko Kiba..?!.

Je unapingana na AFRIMMA?,si mlisema hao hawakosei na sio kama KTMA2015?? au nao ni local kwasababu KINGKIBA kawa nominated as BEST MALE FOR EASTAFRICA???,Embu leta evidences hapa then tukubali hicho unachosema ndugu sio "SHOUT OUT 4 NOTHING" guy,right???
 
Kila tuzo n utaratibu wke mbona MTV walimuweka diamond,best upcoming 2010 n mbagala

Bado Sijakuelewa ujue,yani unamaanisha mondi aliingia MTV's kama best upcoming artiste mwaka 2010 na wimbo wake wa mbagala au?
 
Bado Sijakuelewa ujue,yani unamaanisha mondi aliingia MTV's kama best upcoming artiste mwaka 2010 na wimbo wake wa mbagala au?

Ndio aliingia upcoming na mbagala alishnda mo cheddah tuzo
 
Sasa huyu kiba alifanya kolabo n wiz kid lini :what: nackia ile kolabo n bella mnadaiwa studio bado hajalipa

Embu elewa somo KIJANA...jamaa amesema litatoka mwezi wa 11 na sio kwamba tayari imeshatoka sawaaa?,yani kama Mimi ni mwalimu na wewe ni mwanafunzi wangu ningekuwa nakupa chaki kila nikiingia kipindi changu class...uende ubaoni utuchoree messi na ronaldo uku Mimi nikiwa nimekaa kwenye siti pamoja na wanafunzi wengine tukikuangalia tuu...maana hamna unachoelewa ata ukifundishwa asee...Hahaahaaa!(just a Joke)
 
Embu elewa somo KIJANA...jamaa amesema litatoka mwezi wa 11 na sio kwamba tayari imeshatoka sawaaa?,yani kama Mimi ni mwalimu na wewe ni mwanafunzi wangu ningekuwa nakupa chaki kila nikiingia kipindi changu class...uende ubaoni utuchoree messi na ronaldo uku Mimi nikiwa nimekaa kwenye siti pamoja na wanafunzi wengine tukikuangalia tuu...maana hamna unachoelewa ata ukifundishwa asee...Hahaahaaa!(just a Joke)

Mwezi wa 11 Mr coming soon VP collabo ya rally pupa alisemaga fans wke wamemiss atakuwa anatoa nyimbo baada ya,miezi vp
 
-Daaah!...ni kwa Mara nyingine tena wale manguli na mahasimu wa BONGOFLEVA nchini...yani ALIKIBA (Ali Saleh Kiba) na DIAMOND PLATNUMZ(Naseeb Abdul Juma) wamekutana kwenye TUZO ZA KIMATAIFA za AFRIMMA AWARDS, Najua teamondi hawaamini na ni ngumu kwao kukubali ila ndo ivyo tena jamaa(KIBA) ndo kashavuka mipaka ya TANZANIA nayeye...hivyo muache kejeli na dharau,Najua mwaka huu AFRIMMA watashangazwa na mvua ya KURA zitakazopigwa ambayo haijawai kutokea kabla na hasa zikitokea TZ na kama kwenye hizi TUZO wao wanapiga pesa basi ni wazi hawatosita kuwarudisha hawa jamaa tena mwakani kwenye kinyanganyiro hicho.

-Haya sasa kipenga kimeshalia "TEAMKIBA" na "TEAMMONDI"... Let's go!!!!!


CHANZO:http://afrimma.com/nominees-2015/

Mnapomuita Ally kiba hasimu wa diamond ndo mnapompa bichwa... He can never be Diamonds rival, Diamond is miles away from kiba.. Halafu hiki kitu cha kumlinganisha Na Diamond ndo kinachofanya tunagombana kila siku, hivi kwanini msimshindanishe na wenzake hukoo .. Kwani lazima Diamond!!

Anyweiz hongera kwa ally kuchaguliwa kwenye tuzo za kimataifa ni kitu kizuri katika career yake ya Kimataifa..

Kuhusu Diamond mwendo ni uleule Ushindi.. Maana hakuna namna nyingine
 
Okey kiba kaingia kwny nomition ila hajaingiza nyimbo

Mkuu kwani Mondi Kwenye kipengele icho ameingiza nyimbo?..nawewe ulipinga yeye kutokuwa nominated na sio kuingiza nyimbo,fortunately the guy did it...then what u gonna do Mr.Ked??
 
Mkuu kwani Mondi Kwenye kipengele icho ameingiza nyimbo?..nawewe ulipinga yeye kutokuwa nominated na sio kuingiza nyimbo,fortunately the guy did it...then what u gonna do Mr.Ked??

Nimesema ndio kapata nomination ila Hana nyimbo katika izo tuzo jaribu kuelwa
 
Mkuu hizo tuzo za nje majaji wana asilimia 70%,suala la uwingi wa kura halipo kabisa katika kupata mshindi!kama ulikua unafatilia vizuri kwenye MTV mama Jose chameleon ndio alikua anaongoza kwa uwingi wa kura kwenye ile category yao!mbona hajashinda??

Kura tunazopiga sisi zina asilimia 30% tu,kwenye tuzo hizo za nje kura hazimati sana zaidi ya kazi na uwekezaji wako katika mziki.

Duuuh!..bhasi sawa,let's wait n see...what gonna happn.
 
Tuna 30% ya ku contribute katika ushindi. Halafu leo hii ndo umejua kuhamasisha watu waungane? Mimi nitoeni kwenye muungano .

Hahaahaaa!...tuungane bhana binti.k,lakini iyo ilikuwa ni idea tu hivyo sio mbaya kama haitekelezeki.
 
That's y nilisema zina nichaganya kumbe kuna afrimma ya us n kuna afrima ya Nigeria n zote last year diamond alichukua tuzo best east katika awards zote izo mbili so ipo ivi afrimma ya us alingia Ben Paul halafu afrima ya Nigeria alingia peter msechu upo

Owk!..nimekupata mkuu.
 
We jamaa una jitahidi kwa nguvu zako zote kuficha mahaba lakini u nashindwa. Rejea post yako ya #253 . Uliandika nini na sasa umeandika nini!
Unajua tulichofanyiwa humu kipindi cha kupiga kura za MTVMAMA?
# uzalendouchaguzimkuutu!

Really?.. you must b jockin,tuungane buana ili tufanye kweli.
 
IPO ivi afrimam aliingia Ben Paul kabla ya huyo kiba wenu halafu afrima aliingia peter msechu n wimbo wa nyota
N.B Diamond alishomba tuzo zote ktk kipengele cha best male east ktk awards zote

Apa nimekupata mkuu,kwa hiyo iyo ya NIGERIA ni AFRIMA AWARDS na hizi ni AFRIMMA AWARDS za state,bhasi sawa.
 
Ndugu yangu... status ya King Kiba na Quuen Khadija ni moja kwa kuwa wakati King ni Best Male East Africa nominee, Queen yeye ni Best Female East Africa Nomineee... yaani wote wanapigani nomination ile ile lakini Status ya Ommy Dimple, hata kama ni Chipukizi, ni kubwa kuliko category ya King na Queen kwa kuwa Ommy ni Africa na sio huku East Africa! Hebu mpe shikamoo Ommy Dimple....

Nop this can't be,hapo tofauti ipo bhana wala sio kwenye category ile ile,mmoja ni BEST MALE na mwengine ni BEST FEMALE iyo ipo wazi hivyo hawafanani hadi mwisho wa dunia mkuu,na hapo ongeeni yote lakini "upcoming artist" na "best male artist"...Obviously the 1st one is nonsense for the later!!!
 
Kwa hakika huu ndo mpango pekee niliobakia Ladynifah,tena piga Mara nyingi uwezavyo pia hamasisha na TEAMKIBA wengine kwa sana.

Yani nimepiga kura kwa usiku huu kama 300 hiv mpaka wameniblock sasa ngoja nibadilishe browser niendelee

Kingforever
 

Attachments

  • Screenshot_2015-07-22-01-44-11.png
    Screenshot_2015-07-22-01-44-11.png
    10.8 KB · Views: 81
Hivi vituzo vingine uchwala, tuzo gani Khadija kopa anashindana na Vanessa mdee kimataifa???????
Ha ha ha ni sheeda hadi mrisho mpoto yupo kwenye kinyang'anyiro yani kakosekana Bambio tu
 
Acha utani KIJANA...diamond mwaka 2010 alishinda tuzo gani ya MTV's???

Elewa somo alipata nominaton ya best upcoming mtv tuzo alishinda,mdada flan anaitwa mo chedda cjui hata km unamjua
 
Back
Top Bottom