Jamen,there is somthng wrong kwenye hiz nominations,me nafikir kimataifa Alikiba should be considered kama underground,coz Ommydimpoz Yuko kimataifa kuliko Kiba..?!.
Bado Sijakuelewa ujue,yani unamaanisha mondi aliingia MTV's kama best upcoming artiste mwaka 2010 na wimbo wake wa mbagala au?
Umeadimikaje jamani
Sasa huyu kiba alifanya kolabo n wiz kid lini :what: nackia ile kolabo n bella mnadaiwa studio bado hajalipa
Embu elewa somo KIJANA...jamaa amesema litatoka mwezi wa 11 na sio kwamba tayari imeshatoka sawaaa?,yani kama Mimi ni mwalimu na wewe ni mwanafunzi wangu ningekuwa nakupa chaki kila nikiingia kipindi changu class...uende ubaoni utuchoree messi na ronaldo uku Mimi nikiwa nimekaa kwenye siti pamoja na wanafunzi wengine tukikuangalia tuu...maana hamna unachoelewa ata ukifundishwa asee...Hahaahaaa!(just a Joke)
-Daaah!...ni kwa Mara nyingine tena wale manguli na mahasimu wa BONGOFLEVA nchini...yani ALIKIBA (Ali Saleh Kiba) na DIAMOND PLATNUMZ(Naseeb Abdul Juma) wamekutana kwenye TUZO ZA KIMATAIFA za AFRIMMA AWARDS, Najua teamondi hawaamini na ni ngumu kwao kukubali ila ndo ivyo tena jamaa(KIBA) ndo kashavuka mipaka ya TANZANIA nayeye...hivyo muache kejeli na dharau,Najua mwaka huu AFRIMMA watashangazwa na mvua ya KURA zitakazopigwa ambayo haijawai kutokea kabla na hasa zikitokea TZ na kama kwenye hizi TUZO wao wanapiga pesa basi ni wazi hawatosita kuwarudisha hawa jamaa tena mwakani kwenye kinyanganyiro hicho.
-Haya sasa kipenga kimeshalia "TEAMKIBA" na "TEAMMONDI"... Let's go!!!!!
CHANZO:http://afrimma.com/nominees-2015/
Okey kiba kaingia kwny nomition ila hajaingiza nyimbo
Mkuu kwani Mondi Kwenye kipengele icho ameingiza nyimbo?..nawewe ulipinga yeye kutokuwa nominated na sio kuingiza nyimbo,fortunately the guy did it...then what u gonna do Mr.Ked??
Mkuu hizo tuzo za nje majaji wana asilimia 70%,suala la uwingi wa kura halipo kabisa katika kupata mshindi!kama ulikua unafatilia vizuri kwenye MTV mama Jose chameleon ndio alikua anaongoza kwa uwingi wa kura kwenye ile category yao!mbona hajashinda??
Kura tunazopiga sisi zina asilimia 30% tu,kwenye tuzo hizo za nje kura hazimati sana zaidi ya kazi na uwekezaji wako katika mziki.
That's y nilisema zina nichaganya kumbe kuna afrimma ya us n kuna afrima ya Nigeria n zote last year diamond alichukua tuzo best east katika awards zote izo mbili so ipo ivi afrimma ya us alingia Ben Paul halafu afrima ya Nigeria alingia peter msechu upo
We jamaa una jitahidi kwa nguvu zako zote kuficha mahaba lakini u nashindwa. Rejea post yako ya #253 . Uliandika nini na sasa umeandika nini!
Unajua tulichofanyiwa humu kipindi cha kupiga kura za MTVMAMA?
# uzalendouchaguzimkuutu!
IPO ivi afrimam aliingia Ben Paul kabla ya huyo kiba wenu halafu afrima aliingia peter msechu n wimbo wa nyota
N.B Diamond alishomba tuzo zote ktk kipengele cha best male east ktk awards zote
Ndugu yangu... status ya King Kiba na Quuen Khadija ni moja kwa kuwa wakati King ni Best Male East Africa nominee, Queen yeye ni Best Female East Africa Nomineee... yaani wote wanapigani nomination ile ile lakini Status ya Ommy Dimple, hata kama ni Chipukizi, ni kubwa kuliko category ya King na Queen kwa kuwa Ommy ni Africa na sio huku East Africa! Hebu mpe shikamoo Ommy Dimple....
Kwa hakika huu ndo mpango pekee niliobakia Ladynifah,tena piga Mara nyingi uwezavyo pia hamasisha na TEAMKIBA wengine kwa sana.
Ha ha ha ni sheeda hadi mrisho mpoto yupo kwenye kinyang'anyiro yani kakosekana Bambio tuHivi vituzo vingine uchwala, tuzo gani Khadija kopa anashindana na Vanessa mdee kimataifa???????
Acha utani KIJANA...diamond mwaka 2010 alishinda tuzo gani ya MTV's???