Battle: Kwa mara nyingine tena wale mahasimu wawili wa Bongofleva nchini wamekutana AFRIMMA Awards


Vote for Diamond

http://afrimma.com/nominees-2015/
 

Oook. Kwa maana hiyo inabidi tusahau hiyo tuzo si yetu tena. Siku zote umoja ni nguvu na utengano ni udhaifu. Kenya wote watampigia mtu wao halikadhali uganda na nchi nyingine. Sisi watanzania kura zetu zitagawanyika aly nusu, naseeb nusu.

Tukumbuke aly yupo kwenye category moja tu ambayo kwa misingi hiyo ya nusu kwa nusu wakati wenzetu wana nzima aly atarudi mikono mitupu.

Kuna haja na kila sababu ya kuwafanya hawa wawili wawe kitu kimoja ikiwezekana na campaign ya kura hizi wapige pamoja naseeb awe tayari kumuachia aly for the sake of our country huu sasa ndio uzalendo tunaouhitaji.

Na itasaidia wasanii wetu kuwa wengi katika mashindano ya kimataifa. Asijikute naseeb mwenyewe maana si kweli kuwa anafit kila kona. Kona asizofit wawepo kina aly, ommy kuziba mianya.

Kwenye footbal tushashindwa tujipange huku tulikoona mwanga.

Haya shime wazalendo wenzangu
 
Huwa inauma sana mtu anapojibu post kama hii iliyosheheni FACTS, afu yeye anakuandikia "K 4 REAL" au " #TIME WILL TELL" au "MBONA UNAANDIKA GAZETI".
Nikuambie kitu; lazima wajibu hivyo coz' FACTS hujibiwa kwa FACTs ukikosa unaamua kuleta viroja! Kuhusu u-GAZETI, nimegundua Team Ndondo Cup pamoja na kujiona wapo juu na kuwasimanga wenzao kwamba hawjasoma, wengi wao ni vilaza kwahiyo dawa yao ni kuwaandikia mgazeti basi wanaupita kama hawauoni...
 
Kuna haja na kila sababu ya kuwafanya hawa wawili wawe kitu kimoja ikiwezekana na campaign ya kura hizi wapige pamoja naseeb awe tayari kumuachia aly for the sake of our country huu sasa ndio uzalendo tunaouhitaji.

Hakuna Kitu kama hicho...Kama Mbwai mbwai tu

Wampigie Davido kama walivyokuwa wanafanya

Si ni hawa hawa walipiga kampeni Diamond akose Tuzo MTV....Sasa tuone kama hata hii moja ataipata....

Usitende Ubaya ukategemea kutendewa wema
 

Unajua nini Mpwa

Watu wenye Inferiority Complex ndio hua wana tabia ya kujifanya wana kitu fulani kumbe hawana...

Umewahi kujiuliza kwa nini Matajiri hua hawajitapi na utajiri wao...ila masikini

Mtu mwenye elimu hajitapi kwa kuwa na elimu yake ila yule hohe hae na mie ndiye anayejifanya ana elimu

Mpwa wewe wape nondo nzito nzito....WATANYOOOKA Tu...Lazima wajue tofauti ya X na Jumlisha
 
Mkuu umenikumbusha jambo moja; enzi hizo nikiwa member kindakindaki wa Jukwaa la Siasa... wenye busara zao walikuwa hawachoki kusema "Achana nao hao, humu jamvini wengi ni wasomaji kuliko wanao-comment!"
 
Unachoongea humu jamvini nimeshawaambia mara kibao kwamba kujitapa kwamba upo level hii au ile ni ulimbukeni uliopitiliza hata kama kweli hicho kitu utakuwa nacho!! Kwa mfano, mtu aliyezaliwa maisha ya kishua, hata siku moja huwezi kumkuta anam-dis mtu wa Uswahilini coz' vile vitu yeye kavikuta na amekuwa navyo kwahiyo anaona kawaida tu!!! Mtoto wa Kishua unasoma Kisutu, Zanaki, KIbasila, Azania, St Anthony, St Mary, n.k halafu mtoto anaesoma IST sijui ajiite nani!!! Na kama ulivyosema, mwenye elimu hajitapi hata siku moja... ukiona mtu ana elimu halafu full mashauzi basi ndo wale wenzangu mimi na elimu zao za kuunga unga!!
 
Duh! Mkuu hizi sindano za kukumbushiana maumivu ambayo walishayasahau utawafanya waanze kukatwa na maini!!!
 

Mie kura nawapa wote sababu wote ni TZ Ujinga wao nawachia wenyewe,raha yangu ni kuona Awards zinakuja TZ apate Kiba au Mwenzie ntafurahia kua Mshindi au Washindi wa mziki wametoka kwetu full stop.
 
Of course, Davido keshaotea kwamba ndo anaanza kupotea hivyo kwahiyo lazima atafute back up kutoka kwa nominee wa East African category ambae tuzo za kupandia ndege kuzifuata anafanya kuzisikia tu kwenye bomba!!!
 
Kumbe jamaa wanalia poo!

 
Last edited by a moderator:
Mtaelewa tu
Acha kujidhalilisha wewe... yaani kuwa followed na Davido nako ni jambo la kujivunia? Dah, lakini sorry, nilisahau kwamba zaidi ya tuzo za Ndondo za Cup na ulinzi wa tembo, huwa hamna cha kujivunia kwahiyo kwenu hata kuwa followed na Davido ni big issue.... Congratulation!
 

Mi naskilizia tu hapa dose zako!tangu asubuhi nafuatilia tu!!
 

Hahahahah eti mtu maarufu zaidi yako akiku-follow ndo anakusaidia khaa!!

Basi mbona Obama amemfollow vannesa ...je vanesa amealikwa whitehouse?

#mtanyooka tu.
 
Hahahahah eti mtu maarufu zaidi yako akiku-follow ndo anakusaidia khaa!!

Basi mbona Obama amemfollow vannesa ...je vanesa amealikwa whitehouse?

#mtanyooka tu.
Kwani huna habari, Vanessa alipelekwa South Africa na Air Force One... bwah! bwah! bwah! Yaani jamvi lina viroja hili... mtu anashangilia Kiba kuwa followed na Davido!
 
Hapa ni sindano za kwinini tu hapa kisha unawaacha wakuchukie kimoyomoyo manake wanajua fika sie tuliozaliwa na kukulia ushenzini hatuna haja ya ku-pretend, mtu akikuzingua, unamzingua tu!

Hahahaaa kwenye ule uzi wa diamond kawatukana sijui wameukimbia!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…