Addict
JF-Expert Member
- Feb 13, 2015
- 702
- 485
Mnapomuita Ally kiba hasimu wa diamond ndo mnapompa bichwa... He can never be Diamonds rival, Diamond is miles away from kiba.. Halafu hiki kitu cha kumlinganisha Na Diamond ndo kinachofanya tunagombana kila siku, hivi kwanini msimshindanishe na wenzake hukoo .. Kwani lazima Diamond!!
Anyweiz hongera kwa ally kuchaguliwa kwenye tuzo za kimataifa ni kitu kizuri katika career yake ya Kimataifa..
Kuhusu Diamond mwendo ni uleule Ushindi.. Maana hakuna namna nyingine
Vote for Diamond
http://afrimma.com/nominees-2015/