Battle: Kwa mara nyingine tena wale mahasimu wawili wa Bongofleva nchini wamekutana AFRIMMA Awards

+nimefurahi kuona sura mpya, sasa na hawa kina Omari nao wangeunda team zao ili at least tupate team zenye nguvu hata 5 hivi!

+Le zamundazz nae ndani teh teh ilibaki kidogo wamuweke kwenye best upcoming 😁😁😁😂😂😂😂
Ila afadhari tutaacha kusikia majina ya wanaija humu ndani maana tulishachoka!
 



Kweli ushabiki wa team katika bora wake!
Jamani mambo haya ndio yaliyotufanya juzi south afrika tukaambulia tuzo moja tu. Thanks to Naseeb (Diamond) Mungu akuweke.

Kwenye hizo Afrimama award kuna watanzania wengi wamekuwa nominated jamani kuna (bi Khadija Kopa, Vanesa Mdee, Mrisho Mpoto, Ommy dimpoz, Lady Jeydee, na produzer mmoja nimesahau jina) Hawa wote wanahitaji kura zetu sisi watanzania.

Utoaji huu wa habari unavunja moyo unakatisha tamaa washiriki wengine na hata wapiga kura maana sisi wengine hatumo kwenye hizo team zenu so ukianza na habari hizo mwingine haoni sababu ya kuingia kwenye matusi wengine sijui ndio mnajifunza kuongea matusi kwenye hizo team ndiko mnakofanyia practical. Unawafanya watu wasipige kura. Kwa kutokufanya hivyo unawanyima washiriki fursa nyingine ya kutoka. Tuwe more practical and real.

Kitu kingine Naseeb ameingia kwenye category 7 my dia lakini Aly kaingia category moja tu ambayo pia Naseeb yumo mnavyochochea hivyo si afya kwa hawa wasanii na kazi zao lakini pia si afya kwetu sisi watanzania tutachochea mwisho wa siku nchi nyingine ichukue tukose.

Tijipange ili vijana hawa wachukue tuzo tena ikiwezekana category zote ambazo watz wapo tupige kura tuzo zote zije tanzania tunaweza na itawatia moyo sana wasanii wetu. Sio kuwaza ugomvi tu.

Team hizo ziwe kwa faida yao na iwe furaha kwetu watanzania tujivunie uwepo wao.

Mjue kwenda kwao huko kunafungua fursa kwa watanzania sidhani kama Naseeb na Vanessa juzi south africa walienda wao peke yao lazima walienda na watu, waliokutana na mataifa mengine so kuna kitu wameongeza hao be wide kichwani.

Yangu ni hayo. ....... Haya kampigie kura watanzania tuzo zije nyumbani.
 
Wadau haswa die hard fans wa Chibu mnaombwa sana sana pigeni kura kategori sita anazogombea Diamond lakini kategori ya best male East Africa apigiwe King kiba

Umoja ni nguvu jamani King naye ajitoe kimaso maso angalau upande wapili wapata mori na king kiba
Nawasilisha
 

big up umeongea ukweli mtupu mkuu
 
Safari hii naona wengi wamekua nominated hata kina Dimpoz...

King wakati wake ulishaisha

Eeh!..dimpoz kawa nominated kwenye tuzo gani tena?,mbona mie sijamuona...alafu kama KIBA ameisha tutajua tu iyo tareh 10/10/2015 mitaa ya Dallas-states...mark my words!!!
 
Huu ni ubaguzi kwanini hamuwataji Vannesa Mdee, Khadija Kopa na Lady Jaydee ambao nao wapo kwenye nominations? ?
 

Mkuu samahani kama umenielewa vibaya hapo,Mimi sijamaanisha kwamba mtu ukiwa TEAMMONDI au TEAMKIBA ndo usipigie kura wengine...hapana si hivyo,Mimi mwenyewe kwa kila step niliyopiga kwa kiba nimempigia na Diva-Vanessa,pia utambue kitendo cha wao kuwa category moja ni tatizo maana ni wazi kwamba mshabiki wa KIBA hawawezi mpigia MONDI na wa MONDI hawawezi mpigia KIBA iyo ipo wazi maana hapo anatakiwa mmoja tu achukue iyo tuzo kati yao,hivyo mtu kama ni mshabiki wa mmojawapo hapo ni ngumu kuwapa wote maana at the end nani atamzidi mwenzie kwa kura ili ashinde sasa.
 

Point hii ila tuombe Mungu tu kizuri hapa hawa AFRIMMA hawana limitation ya kuvote ivyo mtu mmoja anaweza vote zaidi ya Mara elfu10 hivyo tukikaza kiivi lazima ije nyumbani either kwa CHIBU au KIBA.
 
Huu ni ubaguzi kwanini hamuwataji Vannesa Mdee, Khadija Kopa na Lady Jaydee ambao nao wapo kwenye nominations? ?

Who cares "sisi ni diamond tu " we don't give a https://jamii.app/JFUserGuide bout any1 else
 
You are the one who is a king of lazy men that is why you called me so and a big craven.

Ooh!..am so sorry Carrie if bothered u...I didn't intend to make u feel badly,sorry again!!!
 
Point hii ila tuombe Mungu tu kizuri hapa hawa AFRIMMA hawana limitation ya kuvote ivyo mtu mmoja anaweza vote zaidi ya Mara elfu10 hivyo tukikaza kiivi lazima ije nyumbani either kwa CHIBU au KIBA.

Ngoja tuone mkuu lakini mie nina wasiwasi Tanzania huenda tukakosa kabisa hiyo tuzo
 
Hongera kiba kwa kupata nomination angalau moja.....daah!...ila nafikiri ana kaz ya kufanya mpk kufikia angalau nyimbo yake moja kugombea tuzo km ilivo kwa diamond, bila kuwasahau kina Vanessa na dimpoz anaechipukia.....Team kiba msisahau na kupitia huku kwngine kwenye categories nying nying ili heshima irud nyumban...
...Ila nafikir ile timu ifike mahali ikubali imeachwa mbali...inatakiwa kukaza sana angalau hata miak mingine iwe 7 kwa 4/5.
Asante platinumz naona unaenda kushindana na kina wizkid na davido km k'ida yako.......npo nyuma yako kukupigia kura!
 

Kibakuli nae alitakiwa apate nomination ya chipukizi pia so Angekuwa na category mbili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…