in the presence of davido n wizkid domo has no chance to win labda wajiuzulu hahaa
tuzo ambayo dai anaweza shinda labda hiyo ya category na kiba ila hizo zingine asahauIn the presence of dynamq from south Sudan kiba has no chance to win
Nasema hivii...
Mbona team ndomo team wanenguaji mmeumia hivyo kiba kutajwa? Mara oooh hastahili mara sijui nini.
Au kwa sababu hajafanya collabo na watu wa naija na kenya na uganda? Maumivu yakizidi mwone doctor.
Hamna cha collabo na watu wa nje wala nini ila tunatoboa kimataifa hutaki hama nchi.
Best male....
tuzo ambayo dai anaweza shinda labda hiyo ya category na kiba ila hizo zingine asahau
tuweke dau harudi na hata mbiliSo unataka sema diamond n zaidi ya kiba ushakubali very good ila jua diamond anarudi n tuzo 3+
usibishe kiushabiki we umeona hao watu anaoshindana nao kuna olamide (shakitibobo) wizkid n davido so we huoni auSo unataka sema diamond n zaidi ya kiba ushakubali very good ila jua diamond anarudi n tuzo 3+
usibishe kiushabiki we umeona hao watu anaoshindana nao kuna olamide (shakitibobo) wizkid n davido so we huoni au
tuweke dau harudi na hata mbili
Huwa namfananisha kiba na wizkid kisha diamond na davido.
Ni kweli lakini mjue Naseeb tayari ana fans wengine wengi outside tanzania kwa sababu ameshatengeneza jina so ni kukubali tu na kuhamasishana katika haya mawili
1. Watu wampigie kura aly tena kwa bidii ya ajabu ili tuzo ije home
Au
2. Watu wampigie kura Naseeb na aly ili tukose
Ingawa pia kwa advantage Naseeb aliyonayo tukiwapigia wote plus fans wa nje anaweza kupata.
Lakini pia katika hizo category 7 alizoingia hawezi rudi mikono mitupu hilo ni tumaini tulilonalo la uhakika
Sawa taja dau unalotaka kuliwa
Hii tuzo akishinda Diamond basi BASATA na KTMA watakua kwenye wakati mgumu sana
walah dai akirudi na hata tuzo mbili basi naamini kuna siku tz itachuku world cupSawa taja dau unalotaka kuliwa
walah dai akirudi na hata tuzo mbili basi naamini kuna siku tz itachuku world cup
sio wameanza kuwaumbua kila tuzo na taratibu zake hebu kaangalie video bora ya mtv (nafukwa) mbooovuuu vibayaWe ngoja wameanza MTV kuwaumbua ngoja n hii ashinde chibu ukweli utajulikana tu soon
song of the year dorobucci ni dance kama shakiti boboWe ngoja wameanza MTV kuwaumbua ngoja n hii ashinde chibu ukweli utajulikana tu soon