Utafurahi na shoo
Asiyeweza kushukuru kwa kidogo hata kikubwa hatoweza kushukuru.
Shukrani ni jambo la uungwana, kwa hiyo sisi kama King Kiba Fans....
#Tunashukuru ,Tunajivunia
song of the year dorobucci ni dance kama shakiti bobo
sio wameanza kuwaumbua kila tuzo na taratibu zake hebu kaangalie video bora ya mtv (nafukwa) mbooovuuu vibaya
Et nitafurahi n shoo halafu izi afrimam zina nichanganya sn zipo mbili kuna ile ya marekani n za Nigeria cjajua km mdhamini anakuwa huyo huyo mmoja
Ya nigeria Afrima Africa Music Awards mwezi wa kumi na mbili..
Nipo hapa system inasumbua lol.
Msimu huu nitakuwa mzalendo...
Nitavote for kiba and domo and baba wanjee and vannesa.(wanafiki wanafinyanaaa hahahaaa hatareeee)
in the presence of davido n wizkid domo has no chance to win labda wajiuzulu hahaa
we unaiyona nzuri kaingalie bwana co unibishie tuuu hadi watu wamelalamikaUbaya wa iyo video n nn
tofauti this is for africa halafu chameleon hayupo kwenye best male y???Et nitafurahi n shoo halafu izi afrimam zina nichanganya sn zipo mbili kuna ile ya marekani n za Nigeria cjajua km mdhamini anakuwa huyo huyo mmoja
we unaiyona nzuri kaingalie bwana co unibishie tuuu hadi watu wamelalamika
kwenye mtv ndo imechukua na kwenye afrima ipo na nana category mojaDorrobuci haipo kWny song of the year pia usisahau shoki ipo kwny best dance song
we unaiyona nzuri kaingalie bwana co unibishie tuuu hadi watu wamelalamika
tofauti this is for africa halafu chameleon hayupo kwenye best male y???
basi msipige kura mana davido na wizkid wapo category moja na saiWakati DIAMOND yupo kategori 7 kiba yupo 1,na huko ushindi wa kura zina 30% na majaji uamuzi wao ni 70%