Battle: Kwa mara nyingine tena wale mahasimu wawili wa Bongofleva nchini wamekutana AFRIMMA Awards

Battle: Kwa mara nyingine tena wale mahasimu wawili wa Bongofleva nchini wamekutana AFRIMMA Awards

wote wepesi, tuzo inakuja tanzania

Kumbuka Eddy Kenzo ameshachukua tunzo moja ya BET mwaka wiki mbili tu zilizopita!na tuzo za BET ni kubwa kuliko maelezo!zina hadhi kuliko MTV MAMA AWARDS.
Jaguar naye sio wa kubezwa
 
kwa best male east..eddy kenzo ile bet inaeza mbeba...though anything can happen..

Exactly!!!na tuzo ya BET ni kubwa kuliko MAMA,Ukiweka na mpasuko ulioko huku kwetu bongo ndio kabisaaa hatuipati ng'oooo!!kwanza kura zenyewe hazitotosha
 
Kuna watu wana roho ngumu sana. Mishipa ya aibu ilishakufa.
 
Kumbuka Eddy Kenzo ameshachukua tunzo moja ya BET mwaka wiki mbili tu zilizopita!na tuzo za BET ni kubwa kuliko maelezo!zina hadhi kuliko MTV MAMA AWARDS.
Jaguar naye sio wa kubezwa

Alikuwa anashindana na nani? Anyway, umetumia kigezo gani kusema BET ni kubwa kuliko MTV MAMA?
 
Kumbe alikuwa hajavuka boda sasa mlikuwa mnawalinganisha kwa lipi?

Mkuu kama kuvuka kiba alishavuka kitambo since alivyoimba na R Kelly(mfalme wa R&B states),pia MWANA ya kiba inapigwa sehemu nyingi tu Africa Kenya ilishashika No.1 kwenye redio "HOT 96.9 ya Kenya" na "ilikuwa No.6 katika top10 redio "LIVE 91.9 ya ghana",pia leo ipo No.2 katika TOP-20 ya iTunes kwa wiki ya sita sasa akimfukuzia wizkhalifa mkali wa states na track yake ya see you again wakati uyo Mondi wako hajafika iyo Top-20,Mimi nilizungumzia in terms of AWARDS bhana...ni hayo tu mkuu!!!
 
Kumpambanisha mondi na kibakuli ni kukosa kazi...mondi ni namba nyingine kabisaaa...msimfanye kiba akaacha mziki kwa stress!!
 
Nimepiga kura ya 200 hadi sana, Mungu bariki king wetu, wao wanapiga vijembe si ni kazi tu.

Kule kwenye comments Afrimma pamechafuka kila mtu anamtaja kiba Hahahaha yani mwaka huu hadi wale jamaa wa Afrimma watshangaa walahi, per day king lazma votes zimefika elfu 50 hivi..
 
Nimepiga kura ya 200 hadi sana, Mungu bariki king wetu, wao wanapiga vijembe si ni kazi tu.

Kule kwenye comments Afrimma pamechafuka kila mtu anamtaja kiba Hahahaha yani mwaka huu hadi wale jamaa wa Afrimma watshangaa walahi, per day king lazma votes zimefika elfu 50 hivi..[/QUOTE

Wanashangaa kwa nomination moja. Hahah
 
Hivi inakuaje mwenzako ana nominations zaidi ya tano wewe una moja? Kweli mwenye macho haambiwi tazama.
 
Nimeshapiga kura zangu 167 na bado barudi tena, teamKiba tumecharuka tupo kazini, nyie endeleen na majungu yenu. Mtaelewa tu

Yani mkuu Mimi ni moja ya watu wa kwanza kuiona iyo list kabla hata king hajapost kule insta maana nilikuwa nazisubiri standby kwenye site yao AFRIMMA na mpaka nawaletea hapa jukwaani hii taarifa tayari nilikuwa nimeshavote Mara 304 na sasa nimefikisha votes:401 hapa all that votes for the kingkiba!!!
 
Nimepiga kura ya 200 hadi sana, Mungu bariki king wetu, wao wanapiga vijembe si ni kazi tu.

Kule kwenye comments Afrimma pamechafuka kila mtu anamtaja kiba Hahahaha yani mwaka huu hadi wale jamaa wa Afrimma watshangaa walahi, per day king lazma votes zimefika elfu 50 hivi..

7-1 halafu mnasema kuna upinzani? lol...
 
baniani mbaya kiatu chake dawa.
domo piga kazi tu
 
mambo viiiiiipi hahahaha

Kweli chibu anajuwa kunyoosha
AEA
UEA
NEA
AFRICAN ARCHIEVERS

TUMEKUJA NA HII TENA??

HIVI CATEGORY NGAPI VILE??

yani team kiba kwa dharau kabisa nampigia kura alikiba best male east na hachukuwi coz yale sio maembe ile ni tuzo unatakiwa uifanyie kazi haiingii akilini mtu aliosumbua nomination zote ashindane na vitoto EA yani ni forever hiyo itakuwa yetu tu, kama best female rap bet kwa nick minaj

WAPI CHEKECHAAAAA HAHAHAHA OOOOH ANAJUWA KUIMBA HAYA SASA BEST AFRICAN SONG NITAMPATA WAPI

Nyie mtasema sana maana hamkosi la kusema,mwanzo mlikuwa mnasema jamaa hana nomination ya KIMATAIFA ata moja hafai kucompete na dai ila saivi kapata...mnaanza kuleta mambo ya 7 vs 1,Hahaahaaa!... Mtaelewa tu na naomba mfute kauli yenu mliyokuwa mnasema eti "KIBA ANAISHIA NA KTMA ZAKE BHASI ILA NYIE BADO MNAENDELEA ETI"...sasa mambo yamegeuka mnaanza mambo ya 7 vs 1.
 
-Daaah!...ni kwa Mara nyingine tena wale manguli na mahasimu wa BONGOFLEVA nchini...yani ALIKIBA (Ali Saleh Kiba) na DIAMOND PLATNUMZ(Naseeb Abdul Juma) wamekutana kwenye TUZO ZA KIMATAIFA za AFRIMMA AWARDS, Najua teamondi hawaamini na ni ngumu kwao kukubali ila ndo ivyo tena jamaa(KIBA) ndo kashavuka mipaka ya TANZANIA nayeye...hivyo muache kejeli na dharau,Najua mwaka huu AFRIMMA watashangazwa na mvua ya KURA zitakazopigwa ambayo haijawai kutokea kabla na hasa zikitokea TZ na kama kwenye hizi TUZO wao wanapiga pesa basi ni wazi hawatosita kuwarudisha hawa jamaa tena mwakani kwenye kinyanganyiro hicho.

-Haya sasa kipenga kimeshalia "TEAMKIBA" na "TEAMMONDI"... Let's go!!!!!


CHANZO:http://afrimma.com/nominees-2015/

Kweli ushabiki wa team katika bora wake!
Jamani mambo haya ndio yaliyotufanya juzi south afrika tukaambulia tuzo moja tu. Thanks to Naseeb (Diamond) Mungu akuweke.

Kwenye hizo Afrimama award kuna watanzania wengi wamekuwa nominated jamani kuna (bi Khadija Kopa, Vanesa Mdee, Mrisho Mpoto, Ommy dimpoz, Lady Jeydee, na produzer mmoja nimesahau jina) Hawa wote wanahitaji kura zetu sisi watanzania.

Utoaji huu wa habari unavunja moyo unakatisha tamaa washiriki wengine na hata wapiga kura maana sisi wengine hatumo kwenye hizo team zenu so ukianza na habari hizo mwingine haoni sababu ya kuingia kwenye matusi wengine sijui ndio mnajifunza kuongea matusi kwenye hizo team ndiko mnakofanyia practical. Unawafanya watu wasipige kura. Kwa kutokufanya hivyo unawanyima washiriki fursa nyingine ya kutoka. Tuwe more practical and real.

Kitu kingine Naseeb ameingia kwenye category 7 my dia lakini Aly kaingia category moja tu ambayo pia Naseeb yumo mnavyochochea hivyo si afya kwa hawa wasanii na kazi zao lakini pia si afya kwetu sisi watanzania tutachochea mwisho wa siku nchi nyingine ichukue tukose.

Tijipange ili vijana hawa wachukue tuzo tena ikiwezekana category zote ambazo watz wapo tupige kura tuzo zote zije tanzania tunaweza na itawatia moyo sana wasanii wetu. Sio kuwaza ugomvi tu.

Team hizo ziwe kwa faida yao na iwe furaha kwetu watanzania tujivunie uwepo wao.

Mjue kwenda kwao huko kunafungua fursa kwa watanzania sidhani kama Naseeb na Vanessa juzi south africa walienda wao peke yao lazima walienda na watu, waliokutana na mataifa mengine so kuna kitu wameongeza hao be wide kichwani.

Yangu ni hayo. ....... Haya kampigie kura bi. Khadija Kopa na Ommy dimpoz
 
Back
Top Bottom