Battle: Mwanza (The Rock City) Vs Arusha (A-Town/Chuga)

Hamn kuna sehem nmesoma nanukuu "KUNA MDA INABIDI MTU APOKEWE ACCORDING TO AKILI ZAKE "

Infrastructure ni barabara pekee?

Tuendelee na discussion.
Sasa barabara sio infrastructure?kuna aliekuambia usizitaje zingine?
Alooh nyie watu wa mwanza ni vituko kweli

Sent from my SM-A035F using JamiiForums mobile app
 
Sasa barabara sio infrastructure?kuna aliekuambia usizitaje zingine?
Alooh nyie watu wa mwanza ni vituko kweli

Sent from my SM-A035F using JamiiForums mobile app
Jikite kweny kile unaulizwa.
Infrastructure ni kitu kipana hakiishii kweny barabara pekee Why utumie barabara kuhitimisha mwanza iko nyuma ya arusha ki-infrastructures?
 
Sasa gari 1600 kwa saa 24 zitarudisha izo tshs 700B kwa miaka mingapi? Manake kila saa moja zitapita gari 66 lolView attachment 2526591

Sent from my SM-A035F using JamiiForums mobile app
Hio sabab inatosha kumshawish mtu mwenyew akili timamu kukubali JP BRIDGE ni sawa kujengwa.

Kuna vitu hufanyika kwa ajili ya maslahi ya wananchi, maslah ya wananchi ni maslah ya nchi.Daraja halijajengwa ili lirudishe pesa pekee
 
Kashakufa yule
 
Ta
Watu wa Arusha wamebakiza maneno [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] picha zimeisha wakati Mwanza Ndio kwanza zingine nyingi bado hawajarusha jaman
Mwanza tunatakiwa kulinganisha na Rwanda jamani
Tafuta picha nilipost mbili tu chali mpaka leo sioni alienigusa, moto mkali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…