shabanmbarak
JF-Expert Member
- Aug 17, 2022
- 1,178
- 1,150
Babu we tena [emoji23] unaishi pwani auZipi? Compile uweke ana kwa ana tuone. Alafu ujue mi ata arusha sipo lakini nikienda this time ntapiga picha kama washamba wa mwanza ili mtie adabu. mwanza kuna nini babu we
Wacha story zakoMwanza ni mji mkubwa ila sasa kukuta mbuzi na kondoo katikati ya mji wakichungwa ndo huwa nachoka kabisa
Hii ni Dar town kwenuMwanza ni mji mkubwa ila sasa kukuta mbuzi na kondoo katikati ya mji wakichungwa ndo huwa nachoka kabisa
[emoji706][emoji706][emoji704][emoji704][emoji704][emoji704]....kumbe ndio maana aerial view Huwa mnaikwepa ....[emoji704]..
Naona uchafu tu hapo
Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi hii picha ndio itakuwa silaha yangu dhidi yenu ,....ukiangalia hapo sorrounding slums za kufa mtu [emoji16][emoji16][emoji16][emoji28] choice variable ..njoo uone jiji lako huku ,,,,Bora dodoma aerial view yake Kali[emoji28][emoji28]
Sent using Jamii Forums mobile app
Nayaona maghorofa 7000 ya Arusha [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Sent using Jamii Forums mobile app
Gana ipe heshima yake please [emoji3]
Si bora niwe mjinga kuliko kuwa mpumbavu wa kushupaza shingo kwa mambo usiyoyajuaMagari 1600 kwa siku kwako ni mengi sana?Acha ujinga
Sent from my SM-A035F using JamiiForums mobile app
Nliishangaa sana gana kutajwaGana pazuri bana weee
He he he mpaka umeamua kuimba kabisa na taarabu hapo mwisho.Btw hebu jifunze matumizi ya herufi h ,hatuandiki 'ata' inaandikwa 'hata' , Alafu ni halafu,ntapiga ni nitapiga [emoji3][emoji3]Zipi? Compile uweke ana kwa ana tuone. Alafu ujue mi ata arusha sipo lakini nikienda this time ntapiga picha kama washamba wa mwanza ili mtie adabu. mwanza kuna nini babu we
Mbali sana.level za mbeyaKiukweli Arusha wanazidiwa na dodoma
Huyo binti yupo ni vibe balaa[emoji1]He he he mpaka umeamua kuimba kabisa na taarabu hapo mwisho.Btw hebu jifunze matumizi ya herufi h ,hatuandiki 'ata' inaandikwa 'hata' , Alafu ni halafu,ntapiga ni nitapiga [emoji3][emoji3]
Hata hyo dual carriage yao ,haivutii Tena,, garden zimechoka ,lami imeanza kupauka ,,,,,,,naamini makongoro avenue ikiwekewa taa itapendeza zaidi kuliko hyo road ya tengeruKuna mtu kataja barabara, nimeangalia hii video Arusha ina barabara zimechoka sana.
Ukiondoa ile mpya ya njia nne ambayo nayo imezungukwa na vijumba vya ajabu zingine ni utopolo.
Barabara hazina vituo vya dala dala vya kueleweka.
Ni za kizamani zina mitaro iliyo wazi .
Hazina pavements za watembea kwa miguu.
Ukiwa mwanza sehemu za kuvuka watu zina taa maalumu za njano zinaflash, Arusha hamna nk.
Nimekujibu picha yako