Battle: Mwanza (The Rock City) Vs Arusha (A-Town/Chuga)

Arusha inachangia pato la taifa kuliko mikoa mingine ya Tz?
21% ya pato la nchi linatokana na utalii ambapo Chugastan ndio kinara. Achana na mambo mengine kama madini na mazaga mengine πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Narudia Kukuambia Ukabila na Ukanda Nihatari kwako
Sio wote tuna Akili zakijinga na Kibaguzi kama Zako mimi si Msukuma wala Siishi Mwanza
Hao unao waita Washamba Sijui mnatumia Kigezo gani zaidi ya Ujuha Wenu tu
 
Lakini hata wewe ukifikiria kwa makini, muuza matunda aliyeko Arusha, anaweza kuuona umuhimu wa daraja lililopo Mwanza?
Nauona umuhimu wa daraja la kigamboni maana limeleta musaada kwa wakazi wa kigamboni. Kwani tatizo ni kuishi mwanza?! Takwimu si zipo mkuu?!
 
Narudia Kukuambia Ukabila na Ukanda Nihatari kwako
Sio wote tuna Akili zakijinga na Kibaguzi kama Zako mimi si Msukuma wala Siishi Mwanza
Hao unao waita Washamba Sijui mnatumia Kigezo gani zaidi ya Ujuha Wenu tu
Mkuu ukabila aliuleta yule mwendazake kwa kugawa maendeleo huku na kuacha kule
 
21% ya pato la nchi linatokana na utalii ambapo Chugastan ndio kinara. Achana na mambo mengine kama madini na mazaga mengine πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
Swali langu bado haujalijibu, nimekuuliza je Arusha ndio mkoa wenye pato kubwa kuliko miko mingine, kama ulivyodai bila Arusha hakuna Tz?

Tukirudi kwenye hilo jibu lako, je 21% ya pato la taifa linalotokana na utalii, linatokea Arusha pekee? Vivutio vya utalii vipo Arusha pekee?

Tueleze sasa kwa ushahidi, kwenye hiyo 21% Arusha pekee ina asilimia ngapi?
 
Hiki unasema ni trash kama hulet statistics za kuthibitisha unachosema
 
Huyo jamaa ni mwehu sijapata kuona ,,,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Iyo Chugastan pekee huelewi nini apo uko kwingine ni chini ya 1%πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Shamba City nawakimbiza munaishia kupanick 🀣🀣🀣🀣​

Lile jitu lilikuwa jizi miradi mingi sifuri ziliongezwa. Jitu linanunua ndege kwa cash ushaona wapi dunia hii?! Tulikosea sana kama taifa kumpa nchi msukuma. Bahati nzuri Mungu katuhurumia..πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
Mbona hata mama ananunua ndege kwa cash?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…