Kama kina Katambi au sio? wasukuma kibao meno ya njano.Wakali ili wakicheka sasa..mademu wengi wa aresha hata wakipiga picha wamenuna.
#MaendeleoHayanaChama
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama kina Katambi au sio? wasukuma kibao meno ya njano.Wakali ili wakicheka sasa..mademu wengi wa aresha hata wakipiga picha wamenuna.
#MaendeleoHayanaChama
Huwa sibishani na wendawazimu.Pumbavu shangazi yako. Mshamba mmoja wewe.
- Mwanza international schoolMwanza eti linaitwa jiji, ata international school moja hakuna, Takataka kabisa.
Arusha yatajwa miongoni mwa majiji 10 bora duniani kwa huduma za kitaliiHata kwenye ushindani kati ya NBI na DSM, pia Wakenya hupenda kuweka Mombasa na Mwanza kwani ni miji inayokaribiana, ingawa Mombasa inazidi kidogo Mwanza. Ukweli ni kwamba kwa kila mizania, Mwanza iko juu ya Arusha. Kwa hali ya hewa Arusha ni green city. Hata hivyo Mwanza ni kubwa, Mwanza ina population kubwa na kiuchumi Mwanza iko juu ya Arusha(angalau kwa sasa)
Mwanza haijawahi kushuka nafasi ya pili baada ya dar
Zwazwa mawanza Kuna international school Mzee ianitwa Isamilo International School. Google basiMwanza eti linaitwa jiji, ata international school moja hakuna, Takataka kabisa.
Anaongea kishabiki uyoooooo! kinachonishangaza hao watu wa Arusha wana jishindanisha na Mwanza uku wakitambua kabisa wazi wazi serikali yao na watu wengine wanalijua hili kwamba Mwanza haijawahi kutoka nafas ya pili na mwanza ndio jiji namba mbili miake yote baaada ya DarZwazwa mawanza Kuna international school Mzee ianitwa Isamilo International School. Google basi
Sent from my Lenovo L38111 using JamiiForums mobile app
Nyingine Mwanza internatinal school ipo capripoint ilijengwa kipindi cha ukoloni kwaajili ya wazungu adi ss ipo, kuna st Marys international school n.kZwazwa mawanza Kuna international school Mzee ianitwa Isamilo International School. Google basi
Sent from my Lenovo L38111 using JamiiForums mobile app
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]Aiseee kumbe inawezekana kimapato haya majiji yameachana kwa kiasi kidogo sana kama Mwanza ni Tr 10 huenda Arusha ikawa Tr 9.8 maana mnavyobishana apa aiseee ni mpambano mkali.
Ila.mwanza sioni mwanza hapa kwenye 2022 listhttps://www.tripadvisor.com/TravelersChoice-DestinationsKumekuwa na sintofahamu kati ya Majiji haya mawaili yanatotikisa Tanzania ukiachilia Dar.
Majiji haya yamezua gumzo miongoni mwa watu kwa kujaribu kuyashindanisha lakini pamoja na kuyashindanisha kote bado watu hawajapata jibu la moja kwa moja kwamba ni mji gani mzuri na una fursa kubwa za kimaisha kuliko mwingine pamoja na ukuaji wa maendeleo.
Karibuni mchangie
sasa mwanza kuna vivutio vya kitalii kaka! inshu iliyoongelewa hapo ni maswala ya utalii sasa Mwanza ina vivutio vya kitaliiIla.mwanza sioni mwanza hapa kwenye 2022 listhttps://www.tripadvisor.com/TravelersChoice-Destinations
View attachment 2092025
hapo washington, stockholm sweedwn, London na ma nchi kibao ya ulaya hayapo ina maana Arusha ni zaidi ya hizo nchi nilizozitaja? kwamaana ya kwamba Arusha ni zaidi ua sweedwn, uingereza, usa, norway nk maana zote hizo hazipo hapo au wewe ndugu yangu unaziona? kama huzioni kwanini uitaje mwanza? na ndio maana unaambiwa hiyo ilikuwa maswala ya utalii sasa mwanza hakuna vivutio vya kitalii ulitaka waiwekeje?Ila.mwanza sioni mwanza hapa kwenye 2022 listhttps://www.tripadvisor.com/TravelersChoice-Destinations
View attachment 2092025
Angalia hapoIla.mwanza sioni mwanza hapa kwenye 2022 listhttps://www.tripadvisor.com/TravelersChoice-Destinations
View attachment 2092025
Khaa yani leo mwanza haina vivutio, kwani si muna mawe mengi tu huko nayo yanaweza kuwa vivutio hahaha. Unatia aibu Yani leo mwanza haina vivutio vya utalii, saanane ipo wapi kigoma au? Bismack rock kwani ipo Bukoba au na iyo ziwa Victoria kwani ipo Tabora au??sasa mwanza kuna vivutio vya kitalii kaka! inshu iliyoongelewa hapo ni maswala ya utalii sasa Mwanza ina vivutio vya kitalii
Hii ni battle ya mwanza na arusha be objective hahahahahapo washington, stockholm sweedwn, London na ma nchi kibao ya ulaya hayapo ina maana Arusha ni zaidi ya hizo nchi nilizozitaja? kwamaana ya kwamba Arusha ni zaidi ua sweedwn, uingereza, usa, norway nk maana zote hizo hazipo hapo au wewe ndugu yangu unaziona? kama huzioni kwanini uitaje mwanza? na ndio maana unaambiwa hiyo ilikuwa maswala ya utalii sasa mwanza hakuna vivutio vya kitalii ulitaka waiwekeje?
Wacha siasa hamuna kitu huko we endelea kula sato tuAngalia hapoView attachment 2092128