Battle: Mwanza (The Rock City) Vs Arusha (A-Town/Chuga)

Battle: Mwanza (The Rock City) Vs Arusha (A-Town/Chuga)

Mwanza eti linaitwa jiji, ata international school moja hakuna, Takataka kabisa.
 
Mwanza eti linaitwa jiji, ata international school moja hakuna, Takataka kabisa.
- Mwanza international school
  • Isamilo international school
  • The international school of Mwanza nk
sasa hizo sio international school ilizosema Mwanza hakuna?
 
Aiseee kumbe inawezekana kimapato haya majiji yameachana kwa kiasi kidogo sana kama Mwanza ni Tr 10 huenda Arusha ikawa Tr 9.8 maana mnavyobishana apa aiseee ni mpambano mkali.
Mwanza haijawahi kushuka nafasi ya pili baada ya dar
 
Zwazwa mawanza Kuna international school Mzee ianitwa Isamilo International School. Google basi

Sent from my Lenovo L38111 using JamiiForums mobile app
Anaongea kishabiki uyoooooo! kinachonishangaza hao watu wa Arusha wana jishindanisha na Mwanza uku wakitambua kabisa wazi wazi serikali yao na watu wengine wanalijua hili kwamba Mwanza haijawahi kutoka nafas ya pili na mwanza ndio jiji namba mbili miake yote baaada ya Dar
 
Zwazwa mawanza Kuna international school Mzee ianitwa Isamilo International School. Google basi

Sent from my Lenovo L38111 using JamiiForums mobile app
Nyingine Mwanza internatinal school ipo capripoint ilijengwa kipindi cha ukoloni kwaajili ya wazungu adi ss ipo, kuna st Marys international school n.k
 
Mwanza
Screenshot_20220122-102301.jpg
 
Aiseee kumbe inawezekana kimapato haya majiji yameachana kwa kiasi kidogo sana kama Mwanza ni Tr 10 huenda Arusha ikawa Tr 9.8 maana mnavyobishana apa aiseee ni mpambano mkali.
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
 
Kumekuwa na sintofahamu kati ya Majiji haya mawaili yanatotikisa Tanzania ukiachilia Dar.

Majiji haya yamezua gumzo miongoni mwa watu kwa kujaribu kuyashindanisha lakini pamoja na kuyashindanisha kote bado watu hawajapata jibu la moja kwa moja kwamba ni mji gani mzuri na una fursa kubwa za kimaisha kuliko mwingine pamoja na ukuaji wa maendeleo.

Karibuni mchangie
Ila.mwanza sioni mwanza hapa kwenye 2022 listhttps://www.tripadvisor.com/TravelersChoice-Destinations
IMG_20220122_204514.jpg
 
Ila.mwanza sioni mwanza hapa kwenye 2022 listhttps://www.tripadvisor.com/TravelersChoice-Destinations
View attachment 2092025
hapo washington, stockholm sweedwn, London na ma nchi kibao ya ulaya hayapo ina maana Arusha ni zaidi ya hizo nchi nilizozitaja? kwamaana ya kwamba Arusha ni zaidi ua sweedwn, uingereza, usa, norway nk maana zote hizo hazipo hapo au wewe ndugu yangu unaziona? kama huzioni kwanini uitaje mwanza? na ndio maana unaambiwa hiyo ilikuwa maswala ya utalii sasa mwanza hakuna vivutio vya kitalii ulitaka waiwekeje?
 
sasa mwanza kuna vivutio vya kitalii kaka! inshu iliyoongelewa hapo ni maswala ya utalii sasa Mwanza ina vivutio vya kitalii
Khaa yani leo mwanza haina vivutio, kwani si muna mawe mengi tu huko nayo yanaweza kuwa vivutio hahaha. Unatia aibu Yani leo mwanza haina vivutio vya utalii, saanane ipo wapi kigoma au? Bismack rock kwani ipo Bukoba au na iyo ziwa Victoria kwani ipo Tabora au??
 
hapo washington, stockholm sweedwn, London na ma nchi kibao ya ulaya hayapo ina maana Arusha ni zaidi ya hizo nchi nilizozitaja? kwamaana ya kwamba Arusha ni zaidi ua sweedwn, uingereza, usa, norway nk maana zote hizo hazipo hapo au wewe ndugu yangu unaziona? kama huzioni kwanini uitaje mwanza? na ndio maana unaambiwa hiyo ilikuwa maswala ya utalii sasa mwanza hakuna vivutio vya kitalii ulitaka waiwekeje?
Hii ni battle ya mwanza na arusha be objective hahahaha
 
Back
Top Bottom