Kuna mtu anapenda post nyumba za igogo,
Hivi ndio Geneva yenyewe
Kwenye hiyo video kuna hili🤣🤣
View attachment 2529105
Wee nyumba za miti Geneva ya Africa aseee🤔🤔🤔
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna mtu anapenda post nyumba za igogo,
Hivi ndio Geneva yenyewe
Kwenye hiyo video kuna hili🤣🤣
View attachment 2529105
Unajua miji ya kitanzania haiwabagui masikini moja kwa moja, Hao wenye nyumba za tope nao ni watanzania...mkitaka kuwachuja mnanunua hayo maeneo kwa mkubaliano wanapisha...lakini wengine wanagoma huwezi wafukuza... mzee anakwambia tuko hapa tangu mwaka 1910 huwezi mtoa hadi akubaliWee nyumba za miti Geneva ya Africa aseee[emoji848][emoji848][emoji848]
Arusha kwa Mwanza mapafu lazima yaozeBarabara Arusha city
Barabara Mwanza city
Unataka kulinganisha na Mlina???Kumepoaa
Kuna yule mwamba wa Njombe anajiita ChoiceVariable ukikuta anaizungumzia chugaa, unaweza isi anaishi hukoWee nyumba za miti Geneva ya Africa aseee🤔🤔🤔
Mbona unakwepa kutaja kipato kikubwa unasema akiba kubwa [emoji28][emoji28][emoji28]
Ukubwa wa kipato unapimwa na matumizi, we unaweza kupata milioni 100 alafu matumizi yako milioni 120 sasa hapo utasemajeMbona unakwepa kutaja kipato kikubwa unasema akiba kubwa [emoji28][emoji28][emoji28]
Sent using Jamii Forums mobile app
Huwezi kuwa Tajiri kama huna income . mapato,,acha siasa..na ndio maana nimekupa njia tatu za kupima utajiri wa mikoa ..njia ya kwanza unajumlisha mapato na vipato vya raia na taasisi,,njia ya pili unapima Kwa kuangalia matumizi ya pesa ndani ya mkoa ,hapa tunaangalia pesa iliyowekezwa, matumizi ya kawaida,bidhaa na huduma zilizonunuliwa na kuuzwa ...Ukubwa wa kipato unapimwa na matumizi, we unaweza kupata milioni 100 alafu matumizi yako milioni 120 sasa hapo utasemaje
Sent from my SM-A035F using JamiiForums mobile app
Anza ra re ri ro ruu, la le li lo luuu, r na l ni herufi tofauti kabisa. Ndio tumeamkia hapa kipong vibe kama loteUnataka kulinganisha na Mlina???
Una maliza MB kwa kujiaibisha kabisa. Kama hapo unaona ni pa maana basi kweli mnazidi kuaminisha umma nyie bado ni washamba sana.Weekend vibe linaendelea
Clubelevate Mwanza
View attachment 2530147
View attachment 2530148
View attachment 2530149
View attachment 2530150
Tulia dozi iingie [emoji28][emoji28]Una maliza MB kwa kujiaibisha kabisa. Kama hapo unaona ni pa maana basi kweli mnazidi kuaminisha umma nyie bado ni washamba sana.
Elimu ya Mental health ni muhimu sana. Kuna wenye usonji humu kama huyu pwagu. Umekazana tangu mwanzo USHAMBA, what is it according to you?. Jifunze kujibu kwa vitendo basi tukuone kweli una umuhimu hapa.Una maliza MB kwa kujiaibisha kabisa. Kama hapo unaona ni pa maana basi kweli mnazidi kuaminisha umma nyie bado ni washamba sana.
Aseee nyumba za matajiri wa kichugaKuna yule mwamba wa Njombe anajiita ChoiceVariable ukikuta anaizungumzia chugaa, unaweza isi anaishi huko View attachment 2529547
Hawezi kukujibu, yeye kila muda amekalia kusema ushamba ushamba, tukimwomb alete ujanja ana kaa kimya.Elimu ya Mental health ni muhimu sana. Kuna wenye usonji humu kama huyu pwagu. Umekazana tangu mwanzo USHAMBA, what is it according to you?. Jifunze kujibu kwa vitendo basi tukuone kweli una umuhimu hapa.
Sababu ni vitu vya kawaida sana arusha, nobody is thrilled, hatushtuki ndio maana ata picha hatupigi. Ila sasa mwanza bado mpo kwenye phase ya wow kwa kila kitu, mmeanza kuona hivo vitu jana tu. WASHAMBA, google basi ata arusha kwenye travel advisor au booking.com, au nenda directly kwenye google uandike chochote. Au kama unapenda sana picha ingia instagram mkatolewe tongotongo. Washamba wa Mwanza, ndio maana mnadharauliwa nchi nzima. Ukisema tu unatoka mwanza tayari wanajua hakuna maajabu.Elimu ya Mental health ni muhimu sana. Kuna wenye usonji humu kama huyu pwagu. Umekazana tangu mwanzo USHAMBA, what is it according to you?. Jifunze kujibu kwa vitendo basi tukuone kweli una umuhimu hapa.
Sasa utafanya wow kwenye nyumba za Mfinyanzi mjin???? Tumia akili aiseeSababu ni vitu vya kawaida sana arusha, nobody is thrilled, hatushtuki ndio maana ata picha hatupigi. Ila sasa mwanza bado mpo kwenye phase ya wow kwa kila kitu, mmeanza kuona hivo vitu jana tu. WASHAMBA, google basi ata arusha kwenye travel advisor au booking.com, au nenda directly kwenye google uandike chochote. Au kama unapenda sana picha ingia instagram mkatolewe tongotongo. Washamba wa Mwanza, ndio maana mnadharauliwa nchi nzima. Ukisema tu unatoka mwanza tayari wanajua hakuna maajabu.
Nimeenda trip advisor nimekutana na hiki[emoji116]Sababu ni vitu vya kawaida sana arusha, nobody is thrilled, hatushtuki ndio maana ata picha hatupigi. Ila sasa mwanza bado mpo kwenye phase ya wow kwa kila kitu, mmeanza kuona hivo vitu jana tu. WASHAMBA, google basi ata arusha kwenye travel advisor au booking.com, au nenda directly kwenye google uandike chochote. Au kama unapenda sana picha ingia instagram mkatolewe tongotongo. Washamba wa Mwanza, ndio maana mnadharauliwa nchi nzima. Ukisema tu unatoka mwanza tayari wanajua hakuna maajabu.
Hili ndilo jiji la tatu na jiji la utalii halina ata maajabu, ni bora nikapunge upepo sumve kuliko kwenye hii takataka😆😆😆😆😆Nimeenda trip advisor nimekutana na hiki[emoji116]View attachment 2530359
Sent using Jamii Forums mobile app