Battle: Mwanza (The Rock City) Vs Arusha (A-Town/Chuga)

Wee nyumba za miti Geneva ya Africa aseee[emoji848][emoji848][emoji848]
Unajua miji ya kitanzania haiwabagui masikini moja kwa moja, Hao wenye nyumba za tope nao ni watanzania...mkitaka kuwachuja mnanunua hayo maeneo kwa mkubaliano wanapisha...lakini wengine wanagoma huwezi wafukuza... mzee anakwambia tuko hapa tangu mwaka 1910 huwezi mtoa hadi akubali

Sent from my SM-A035F using JamiiForums mobile app
 
Ukubwa wa kipato unapimwa na matumizi, we unaweza kupata milioni 100 alafu matumizi yako milioni 120 sasa hapo utasemaje

Sent from my SM-A035F using JamiiForums mobile app
Huwezi kuwa Tajiri kama huna income . mapato,,acha siasa..na ndio maana nimekupa njia tatu za kupima utajiri wa mikoa ..njia ya kwanza unajumlisha mapato na vipato vya raia na taasisi,,njia ya pili unapima Kwa kuangalia matumizi ya pesa ndani ya mkoa ,hapa tunaangalia pesa iliyowekezwa, matumizi ya kawaida,bidhaa na huduma zilizonunuliwa na kuuzwa ...
Njia ya tatu unaangalia thamani ya bidhaa na huduma zilizozalishwa ndani ya mkoa ..
Majibu yake ni hya[emoji116]
GDP

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Weekend vibe linaendelea

Clubelevate Mwanza

Attachments

  • 85422875FE85A86440700800E6C0EB8F_video_dashinit.mp4
    10.3 MB
  • 10000000_467169658099013_5142995883713769656_n.mp4
    8.9 MB
Una maliza MB kwa kujiaibisha kabisa. Kama hapo unaona ni pa maana basi kweli mnazidi kuaminisha umma nyie bado ni washamba sana.
Elimu ya Mental health ni muhimu sana. Kuna wenye usonji humu kama huyu pwagu. Umekazana tangu mwanzo USHAMBA, what is it according to you?. Jifunze kujibu kwa vitendo basi tukuone kweli una umuhimu hapa.
 
Hawezi kukujibu, yeye kila muda amekalia kusema ushamba ushamba, tukimwomb alete ujanja ana kaa kimya.
 
Elimu ya Mental health ni muhimu sana. Kuna wenye usonji humu kama huyu pwagu. Umekazana tangu mwanzo USHAMBA, what is it according to you?. Jifunze kujibu kwa vitendo basi tukuone kweli una umuhimu hapa.
Sababu ni vitu vya kawaida sana arusha, nobody is thrilled, hatushtuki ndio maana ata picha hatupigi. Ila sasa mwanza bado mpo kwenye phase ya wow kwa kila kitu, mmeanza kuona hivo vitu jana tu. WASHAMBA, google basi ata arusha kwenye travel advisor au booking.com, au nenda directly kwenye google uandike chochote. Au kama unapenda sana picha ingia instagram mkatolewe tongotongo. Washamba wa Mwanza, ndio maana mnadharauliwa nchi nzima. Ukisema tu unatoka mwanza tayari wanajua hakuna maajabu.
 
Sasa utafanya wow kwenye nyumba za Mfinyanzi mjin???? Tumia akili aisee
 
Nimeenda trip advisor nimekutana na hiki[emoji116]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…