Battle: Mwanza (The Rock City) Vs Arusha (A-Town/Chuga)

Battle: Mwanza (The Rock City) Vs Arusha (A-Town/Chuga)

Haya sasa, naendelea na Mwanza. Arusha mkipata view kama hii Niko palee, niiteni Ashura wa Tabata View attachment 2532646
1677584553516.jpg
1677584587348.jpg
1677584599764.jpg
1677584749290.jpg
 
Umeanza uongo sas.Em tuthibitishe hiko ulichosema [emoji3][emoji3]
Huelewi tu hapo supply ikiwa kubwa kuliko demand pesa haiwezi kuwepo [emoji1][emoji1]

Njoo arusha wewe uone watu wachache magari mengi

NB: Usiguse wingi wa maghorofa na mapato tumewachakaza vibaya mno
 
Mwanza ina influence gani labda? Arusha ina influence mpaka namna watu wanaongea. Jinga kweli. Mwanza ni wa kutapeliwa tu. Kutwa kuuana kisa mapenzi na uchawi.
Kuongea ndo umeona point. Mwanza inainfluence mpka huko kwenu Vijana wa R ndoto ni kuishi mwanza.
Screenshot_20230228-150025_Facebook.jpg
Screenshot_20230228-150347_Chrome.jpg
 
Mwanza ina influence gani labda? Arusha ina influence mpaka namna watu wanaongea. Jinga kweli. Mwanza ni wa kutapeliwa tu. Kutwa kuuana kisa mapenzi na uchawi.
Ziara za viongoz wa serikal mwanza zinatosha kuonesha influence ya hili jiji takatifu hapa Tanzania [emoji3]
 
Ziara za viongoz wa serikal mwanza zinatosha kuonesha influence ya hili jiji takatifu hapa Tanzania [emoji3]
Viongozi gani tenaa

Wewe unaangaliaga taarifa ya habar kwel

Kat ya arusha na mwanza wap rais ameenda mara nyingi na kesho tena samia anakuja arusha kwa mkutano wa siku 4 [emoji3][emoji3]
 
Kijana wa arusha ana ndoto za kuishi ziwani[emoji3][emoji3][emoji3] hii kali

Tunataftaga hela tu kote ila kujenga lazma tuanze na kwetu ase
Kuna kitu umekitaja hapa bila shaka hujashinikizwa. Hela mwanza inazunguka na biashara imeamka kama ilivyo kwa kahama na katoro
 
Back
Top Bottom