Battle: Mwanza (The Rock City) Vs Arusha (A-Town/Chuga)

Kwa msaada Wa Mwenye Enzi

Sent from my SM-A035F using JamiiForums mobile app
Ndio ujue it's a blessed city..
Leo sitaki maneno mengi ni dozi tu[emoji116]
20230115_125242.jpg
20230206_111344.jpg
20230126_151112.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kimkoa kilimanjaro inaweza izidi mwanza ila kwa halmashauri ya manispaa moshi haifikii hata nusu mapato ya mwanza jiji
 
Moshi sio lazima iwe jiji,population yake ni ndogo na eneo lake ni dogo, ila panauchumi mkubwa ajabu

Sent from my SM-A035F using JamiiForums mobile app
Acha kudanganya watu moshi manispaa ina uchumi gani ,kimapato msimu uliopita iliachwa mbali sana na tanga jiji mapato yake yalikua ni nusu tu ya mapato yote ya tanga jiji ,moshi hakuna viwanda vikubwa,hakuna mahoteli makubwa ,hakuna makampuni makubwa ya mafuta huo uchumi mkubwa ni upi
 
Arusha inaitesa sana Mwanza kwenye mapato. Na hapo Arusha ina nusu tu ya watu kulinganisha na Mwanza. Pia hilo mkoa wa Kilimanjaro kuupita ule wa Mwanza linafikirisha sana.
Kilimanjaro imeipita mwanza kimkoa lakini kwa halmashauri ya moshi manispaa vs mwanza jiji moshi itasubiri miaka 2000
 
Acha kudanganya watu moshi manispaa ina uchumi gani ,kimapato msimu uliopita iliachwa mbali sana na tanga jiji mapato yake yalikua ni nusu tu ya mapato yote ya tanga jiji ,moshi hakuna viwanda vikubwa,hakuna mahoteli makubwa ,hakuna makampuni makubwa ya mafuta huo uchumi mkubwa ni upi
Tpc,serengeti brewers ni viwanda vidogo?Coca-Cola nk
Uchumi wa moshi unaulinganishaje na Tanga yenye bandari na watu karibu mara3 ya moshi?...moshi ni manispaa yenye idsdi ndogo ya watu na hata eneo lake sio kubwa...lakini fika uangalie,barabara,makazi ya raia wake,huduma za kijamii na biashara alafu rudi Tanga fanya comparison

Sent from my SM-A035F using JamiiForums mobile app
 
Tpc,serengeti brewers ni viwanda vidogo?Coca-Cola nk
Uchumi wa moshi unaulinganishaje na Tanga yenye bandari na watu karibu mara3 ya moshi?...moshi ni manispaa yenye idsdi ndogo ya watu na hata eneo lake sio kubwa...lakini fika uangalie,barabara,makazi ya raia wake,huduma za kijamii na biashara alafu rudi Tanga fanya comparison

Sent from my SM-A035F using JamiiForums mobile app
Bado moshi huwezi ilinganisha na tanga kwa viwanda na ndio maana mapato ya moshi manispaa ni kama nusu tu ya mapato ya tanga jiji ,tanga viwanda vitatu vya cement ,chuma ,viwanda viwili vya vipodozi ,kiwanda cha vocha na smart card ,kiwanda cha soda anjari ,kiwanda cha mogas lubricant ,kiwanda cha chokaa ,kiwanda cha mifuko ,kiwanda cha maziwa fresh ,pipi na chocolate,makampuni matatu makubwa ya mafuta na kiwanda kikubwa zaidi cha cement kiko kwenye maandalizi ,bomba la mafuta
 
Lakini by average moshi imeendelea kuliko manispaa zote nje ya Dar ,arusha na Manispaa za Mwanza

Sent from my SM-A035F using JamiiForums mobile app
 
Kaka hi ndo arusha inabattle na mwanza.

Mwanza tunajivunjia heshima. Saiv mtu wa arusha akiongea na muacha [emoji850].

Nshanza kujua why kila mkoa ukipata kagorofa unakuja kubattle na mwanza. Ukwel ni kwamba wanataman wawe kama mwanza
Hawana picha zozote za battle na Mwanza, kila mara wanaweka hako ka cbd uchwara ambacho hakina mvuto.
 
Back
Top Bottom