Ngokongosha
JF-Expert Member
- Feb 9, 2011
- 3,400
- 7,608
Hata mimi nimeshangaa niliona hakuna lami halafu hata nyumba ni zile za kawaida tu.Njiro hakuna hata mtaa mmoja wenye makazi ya watu wenye lami. Ni aibu sana kwa jiji la Arusha. Hata alikohamia Gambo huko Njiro ni vumbi tupu na matope