Battle: Mwanza (The Rock City) Vs Arusha (A-Town/Chuga)

Njiro hakuna hata mtaa mmoja wenye makazi ya watu wenye lami. Ni aibu sana kwa jiji la Arusha. Hata alikohamia Gambo huko Njiro ni vumbi tupu na matope
Hata mimi nimeshangaa niliona hakuna lami halafu hata nyumba ni zile za kawaida tu.
 
Kwa hiyo kadaraja hako ndio Barabara ya mtaani?
Usijotoe ufahamu kwanza miradi ya tactic ipo manispaa ya ilemela na Jiji la mwanza pia. Kwahiyo hakuna jipya unaloweza Kujifichia. Miradi yetu ni mingi kuliko ya kwenu kwa kipengele Cha tactic.
 
Yani

Yani mtu wa 80 unapost hapohapo rock city mall. Ndio mlicho nacho tu. Alafu pembeni yake tu kijiji kama kawa.
Mbona kuna picha zingine hazina hiyo mall na ni kali sana
 
Yani

Yani mtu wa 80 unapost hapohapo rock city mall. Ndio mlicho nacho tu. Alafu pembeni yake tu kijiji kama kawa.
[emoji1787][emoji1787] mfa maji eti pembeni ni kijiji unaijua ghana na kirumba
Kirumba inamitaa mingi mizuri kuizidi hata hio njiro
 
Hawa vloggers wa hili jijj kubwa Africa wanafeli wapi[emoji1787][emoji1787]

Arusha ni mji wa hovyo sana hakuna picha wala videos nzuri
 
Nimeshangaa kuona nyumba za tope na miti mjini [emoji1787][emoji1787] mabatini ni uswaz ila hauwez kuta nyumba ya miti
 
Lakini by average moshi imeendelea kuliko manispaa zote nje ya Dar ,arusha na Manispaa za Mwanza

Sent from my SM-A035F using JamiiForums mobile app
Sio kweli moshi huwezi linganisha na arusha ,mwanza wala dodoma mji wa moshi unakua kwa kusuasua ni mpaka wachaga watakapoacha mila zao za kizamani za kuhodhi ardhi hata kama hawana uwezo wa kuiendeleza ,angalia watu wengi wa moshi mjini wanajenga sana boma na himo ,boma panakua balaa
 
Ardhi ni Mali lasima ujue tofauti ya wanaoujua thamani ya ardhi na wasiojua
Boma mostly ni nyumba za kuishi..Moshi patabaki kua juu tu

Sent from my SM-A035F using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…