ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 66,537
- 75,687
Yako wapi? πππ€ͺπ€ͺπ€ͺ[emoji1787][emoji1787][emoji1787] we jamaa bhana sijui umetoka wapi hayo magorofa mwanza yapo mengi sana
18 hapo vipi siku ujika mwanza nitafute nikuoneshe jijiYako wapi? [emoji16][emoji16][emoji2957][emoji2957][emoji2957]
Kuna jambo dogo tu ambalo hata bibi yako hajajua kuna joto ila Mama ako ni wamoto kushinda jua[emoji3] wanakunya kwenye samaki zinanzkuja arusha vp nimekujibu vizuri mtoto wanguNgosha tuwasaidiaje mama zako? Mbona kimya?
So kumbe umekubali kuwa wanakunya ziwaniKuna jambo dogo tu ambalo hata bibi yako hajajua kuna joto ila Mama ako ni wamoto kushinda jua[emoji3] wanakunya kwenye samaki zinanzkuja arusha vp nimekujibu vizuri mtoto wangu
Wewe litoto kwani mimba yako ilitungiwa ukweni mbona mgumu kuelewa kama arusha mnakula sangara,sato au dagaa basi jua hua tunazinyea ili zisiharibike[emoji3]So kumbe umekubali kuwa wanakunya ziwani
Great, sasa kwanini wasijengewe vyoo then samaki wawe feeded na vyakula vingine? [emoji23]
Kaka tumekoma sisi.Ntahamia mwanzaSipendi kuedit picha.
mwanza ni jitu kubwa sana lenye wakazi wasio na kelele nyingi
View attachment 2533742View attachment 2533744View attachment 2533746
Sawa, sio tatizo [emoji23][emoji23][emoji23], hata nguruwe na bata tunakula ingawa wanakula kila takatakaWewe litoto kwani mimba yako ilitungiwa ukweni mbona mgumu kuelewa kama arusha mnakula sangara,sato au dagaa basi jua hua tunazinyea ili zisiharibike[emoji3]
[emoji3] we jamaa bhana li man U limefungwa kwa sababu yako kwani wewe tangu umeanza kula sato kipindupindu umeugua linSawa, sio tatizo [emoji23][emoji23][emoji23], hata nguruwe na bata tunakula ingawa wanakula kila takataka
Vipi Kipindupindu?
Lete za njiroWatu wa Mwanza, narudia kuwaita tena. Kama kuna mtu ana picha ya eneo lolote lenye maendeleo ya maana lililo nje ya Stand ya Igombe mpaka Rock City mall na Round about ya Nyerere aweke hapa. Hako kaeneo kasikozidi kilometa mbili ndio picha zake zimejaa humu. Weka picha za eneo tofauti!! pambaf.
Ulisikia wapi au unaota?. Hizo mambo ziko unga limitedSawa, sio tatizo [emoji23][emoji23][emoji23], hata nguruwe na bata tunakula ingawa wanakula kila takataka
Vipi Kipindupindu?
Hii Ina maana kubwa sana kwa sisi WATAALAMU WA uchumi.Fact is Mwanza imeizidi Arusha kwa vitu vingi, hata population ya Mwanza ni kubwa kuliko ya Arusha.
Hapo ni Bukoba ama? hakuna maajabu mwanza bana yani mtu kabisa yani anapost anaona ni maajabu yani. Mkiambiwa washamba mnatoka povu.Karibuni mwanza vijana huku ni ma km mengi tu kutoka CBD π sasa wacha nianze kutafuta picha arusha nyie si mmeshindwa
View attachment 2533817View attachment 2533818View attachment 2533819View attachment 2533820View attachment 2533824
Hapo ni Bukoba ama? hakuna maajabu mwanza bana yani mtu kabisa yani anapost anaona ni maajabu yani. Mkiambiwa washamba mnatoka povu.Karibuni mwanza vijana huku ni ma km mengi tu kutoka CBD π sasa wacha nianze kutafuta picha arusha nyie si mmeshindwa
View attachment 2533817View attachment 2533818View attachment 2533819View attachment 2533820View attachment 2533824
ππππ Unamshughulisha mwenzio. Ngoja akujibuSio typo hiyo ni kilema.
Wewe hauna akili unajua hapo ni km ngap kutoka city center, mwanza sio mji mdogo kama ilivyo arusha Mwanza jitu kubwa sanaHapo ni Bukoba ama? hakuna maajabu mwanza bana yani mtu kabisa yani anapost anaona ni maajabu yani. Mkiambiwa washamba mnatoka povu.
hakuna. Kutoka USA hadi sanawari Kuna mapori, mashmba na mito ya kutosha tu. Mji umekusanyika utafikiri umepigwa baridiWewe hauna akili unajua hapo ni km ngap kutoka city center, mwanza sio mji mdogo kama ilivyo arusha Mwanza jitu kubwa sana
Unajua umbali wa kutoka kanyama hadi nyashishi ni zaidi ya masaa 2+[emoji3] hakuna pori wa vichaka
Arusha kuna trip town ya masaa mawili njiani[emoji1787][emoji1787]
Hii mada ishakuzidi uwezo,bora ubaki kuwa msomaji uwaachie wenye uwezo wa kubattleWamama wa Mwanza wanakunya sana ziwani
Ndio maana Mwanza inanuka sana
Wallah vile Ngosha