Battle: Mwanza (The Rock City) Vs Arusha (A-Town/Chuga)

Yako wapi? [emoji16][emoji16][emoji2957][emoji2957][emoji2957]
18 hapo vipi siku ujika mwanza nitafute nikuoneshe jiji
2023_02_22_23.07.03_edit.jpg
 
Ngosha tuwasaidiaje mama zako? Mbona kimya?
Kuna jambo dogo tu ambalo hata bibi yako hajajua kuna joto ila Mama ako ni wamoto kushinda jua[emoji3] wanakunya kwenye samaki zinanzkuja arusha vp nimekujibu vizuri mtoto wangu
 
So kumbe umekubali kuwa wanakunya ziwani

Great, sasa kwanini wasijengewe vyoo then samaki wawe feeded na vyakula vingine? [emoji23]
 
Wewe litoto kwani mimba yako ilitungiwa ukweni mbona mgumu kuelewa kama arusha mnakula sangara,sato au dagaa basi jua hua tunazinyea ili zisiharibike[emoji3]
 
Sawa, sio tatizo [emoji23][emoji23][emoji23], hata nguruwe na bata tunakula ingawa wanakula kila takataka

Vipi Kipindupindu?
 
[emoji3] we jamaa bhana li man U limefungwa kwa sababu yako kwani wewe tangu umeanza kula sato kipindupindu umeugua lin
 
Ila man U ni jipu sijajua uhusiano uliopo kati ya kikosi cha man U na arusha geneva ya Africa [emoji1787]
 
Watu wa Mwanza, narudia kuwaita tena. Kama kuna mtu ana picha ya eneo lolote lenye maendeleo ya maana lililo nje ya Stand ya Igombe mpaka Rock City mall na Round about ya Nyerere aweke hapa. Hako kaeneo kasikozidi kilometa mbili ndio picha zake zimejaa humu. Weka picha za eneo tofauti!! pambaf.
Lete za njiro
 
Sawa, sio tatizo [emoji23][emoji23][emoji23], hata nguruwe na bata tunakula ingawa wanakula kila takataka

Vipi Kipindupindu?
Ulisikia wapi au unaota?. Hizo mambo ziko unga limited
 
Hapo ni Bukoba ama? hakuna maajabu mwanza bana yani mtu kabisa yani anapost anaona ni maajabu yani. Mkiambiwa washamba mnatoka povu.
Wewe hauna akili unajua hapo ni km ngap kutoka city center, mwanza sio mji mdogo kama ilivyo arusha Mwanza jitu kubwa sana

Unajua umbali wa kutoka kanyama hadi nyashishi ni zaidi ya masaa 2+[emoji3] hakuna pori wa vichaka

Arusha kuna trip town ya masaa mawili njiani[emoji1787][emoji1787]
 
hakuna. Kutoka USA hadi sanawari Kuna mapori, mashmba na mito ya kutosha tu. Mji umekusanyika utafikiri umepigwa baridi
 
Back
Top Bottom