Battle: Mwanza (The Rock City) Vs Arusha (A-Town/Chuga)

Binafsi sijafima hayo majiji yote mawili ila kitu nilichogundua behind hii mada kuna ukabila,mara nyingi nimeona watu wa Arusha wanapenda kujinasibu kuwa wao ni wajanja Zaid kitu ambacho hakina scientific proof,pili sijaona hoja za wazi kuwa Jiji hl lna kitu hk kuzd hl Zaid ya kutupiana mipasho,na mwisho wa siku hayo mambo ya wap n bora kuliko wapi huo ni utoto maana kuna watu wanaish vzur mwanza na wengne Arusha pia,so ni bora mtupe fursa za biashara zinazoweza kufanyika kati ya hayo majiji mawili kuliko kuimbiana taarabu hapa
 
Ingekuwa ni utoto kusingekuwa na classification ya miji.
 
Haya ndio mambo ya maana hufanyika kwenye majiji ya Kimataifa kama Arusha .

Serikali kuanza ujenzi wa Makao Makuu ya Mahakama ya Haki za Binadamu ya Afrika,yatenga bil.4 za ujenzi.👇
 

Attachments

  • Screenshot_20220605-144918.png
    107.3 KB · Views: 24
  • 20220605_144926.jpg
    257.4 KB · Views: 25
Arusha 👇
 

Attachments

  • FOrXop8WUAoBwjm.jpeg
    112.3 KB · Views: 26
  • FJ-P7BuXEAcnjEh.jpeg
    256.8 KB · Views: 27
  • FI7bB3CWUAYzcsx.jpeg
    25.8 KB · Views: 26
  • images - 2022-05-08T055443.051.jpeg
    27.6 KB · Views: 24
  • images - 2022-05-08T055532.650.jpeg
    28.3 KB · Views: 24
  • self_said_1651087470996613.jpg
    142.1 KB · Views: 25
  • Screenshot_20220427-215630.png
    292.1 KB · Views: 25
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…