Battle: Mwanza (The Rock City) Vs Arusha (A-Town/Chuga)

Unatia huruma sana. Hivi unajua tourism industry ya bongo jinsi ilivyooota mizizi arusha? Southern circuit yenyewe tour operators ni wa arusha, na ata huko mwanza watakuja, hakuna kima mwanza anaweza shindana na hospitality ya Arusha.
Kabishane na TAA
 
Wapo kila mahali hao ata nyakanazi, tandahimba utawakuta, hiyo sio issue.
Ila hawajiiti wachaga wanajiita wasukuma, wakurya, wahaya, wahangaza na makabila meng ya lake zone. Na saiv December hawarudi migomban city usweken republic [emoji41]
 
Mlima mnao? Bandari tunatumia ya tanga au dar yenu haina msaada kwanza haina connection na nchi za nje, ya nini labda?
Wew ni mwehu uganda, kenya ni unga LIMITED [emoji23][emoji23][emoji23].

Mlima gan mlionao hapo uswekeni republic?

Wew jamaa unapenda sana featuring umeulizwa swal jepes bandar mnayo? Usitwambie ya tanga na dar tunatak ya hapo kwenu meno machafu city.


Paqwa akiwa anasmile [emoji116]
 
Nimeweka hakuna aliecomment mmeingia mitini. Mpaka mkaanza kuleta za nchi za watu, hivi shamba city nani anawajaza maji kichwani? Nyie mpo wengi tu ila hakuna lolote mnaizidi Arusha zaidi ya population, dodoma inawazidi kwa urbanisation.
Bado mbeya na tanga.

Mwanza vs arusha (Meno machafu city ) ft mbeya(maparachichi city) ft dodoma (ukame city) ft Tanga (utuli city).
 
Naomba tumalize hilibsuala la Nani ni wa Kwanza na nani wa pili tuhamie katika kushindanisha kipi kipo Mwanza Hakipo Arusha na Kipi kipo Arusha hakipo Mwanza kipi bora kipo Arusha na kipi bora kipo Mwanza. Atakae pinga hizi data zangu aje na za Kwake n.b sitaki Matusi wa attacks
 
Sasa mbona mukizidiwa minaishia kutukana. Eti kwanini waskuma wakija Town hawataki kurudi kwao shamba?
Hakuna msukuma akatamani kuja huko, Arusha kuna mishe gani za pesa zaidi ya kubeba mizigo ya wanaume wa kizungu na kushikwa kalio.
 
Acha kutetema we leta vitu tuone, et unaijua Mwanza, Mwanza haijawahi kukaliwa na mazwazwa kama wewe.
 
Nimeweka hakuna aliecomment mmeingia mitini. Mpaka mkaanza kuleta za nchi za watu, hivi shamba city nani anawajaza maji kichwani? Nyie mpo wengi tu ila hakuna lolote mnaizidi Arusha zaidi ya population, dodoma inawazidi kwa urbanisation.
Chuga Boy gani wewe umejaa taarabu kama wadada wa Tandika? Weka picha hizo ngonjera zako unakaa unarudia rudia hazina maana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…