Battle: Mwanza (The Rock City) Vs Arusha (A-Town/Chuga)

Battle: Mwanza (The Rock City) Vs Arusha (A-Town/Chuga)

Unatia huruma sana. Hivi unajua tourism industry ya bongo jinsi ilivyooota mizizi arusha? Southern circuit yenyewe tour operators ni wa arusha, na ata huko mwanza watakuja, hakuna kima mwanza anaweza shindana na hospitality ya Arusha.
Kabishane na TAA
 
Tuna kila kitu kasoro ofisi za ushamba. Hizo mwanza zipo sana.
Mpka mfe na kihoro [emoji23]
20230306_113156.jpg
 
Wapo kila mahali hao ata nyakanazi, tandahimba utawakuta, hiyo sio issue.
Ila hawajiiti wachaga wanajiita wasukuma, wakurya, wahaya, wahangaza na makabila meng ya lake zone. Na saiv December hawarudi migomban city usweken republic [emoji41]
 
Mlima mnao? Bandari tunatumia ya tanga au dar yenu haina msaada kwanza haina connection na nchi za nje, ya nini labda?
Wew ni mwehu uganda, kenya ni unga LIMITED [emoji23][emoji23][emoji23].

Mlima gan mlionao hapo uswekeni republic?

Wew jamaa unapenda sana featuring umeulizwa swal jepes bandar mnayo? Usitwambie ya tanga na dar tunatak ya hapo kwenu meno machafu city.


Paqwa akiwa anasmile [emoji116]
20230305_225244.jpg
 
Nimeweka hakuna aliecomment mmeingia mitini. Mpaka mkaanza kuleta za nchi za watu, hivi shamba city nani anawajaza maji kichwani? Nyie mpo wengi tu ila hakuna lolote mnaizidi Arusha zaidi ya population, dodoma inawazidi kwa urbanisation.
Bado mbeya na tanga.

Mwanza vs arusha (Meno machafu city ) ft mbeya(maparachichi city) ft dodoma (ukame city) ft Tanga (utuli city).
 
Naomba tumalize hilibsuala la Nani ni wa Kwanza na nani wa pili tuhamie katika kushindanisha kipi kipo Mwanza Hakipo Arusha na Kipi kipo Arusha hakipo Mwanza kipi bora kipo Arusha na kipi bora kipo Mwanza. Atakae pinga hizi data zangu aje na za Kwake n.b sitaki Matusi wa attacks
Screenshot_20230306-145238_Chrome.jpg
Screenshot_20230306-145218_Chrome.jpg
Screenshot_20230306-145150_Chrome.jpg
Screenshot_20230306-145208_Chrome.jpg
Screenshot_20230306-144904_Google.jpg
Screenshot_20230306-144918_Google.jpg
Screenshot_20230306-144941_Google.jpg
Screenshot_20230306-145034_Chrome.jpg
 
Sasa mbona mukizidiwa minaishia kutukana. Eti kwanini waskuma wakija Town hawataki kurudi kwao shamba?
Hakuna msukuma akatamani kuja huko, Arusha kuna mishe gani za pesa zaidi ya kubeba mizigo ya wanaume wa kizungu na kushikwa kalio.
 
Tunawaonea huruma wanajikutakuta yani. Wangejua tuna vitu, na mdomo na matusi ndio balaa zaidi. Chezea watoto wa town. Yani hao mwanza kila kitu kwao ni kigeni ndio maana kutwa picha, mi nawawekeaga moja kwa kubeep ila kila nikiweka wanapoteana🤣🤣 wazungu wanasema dumbstruck. Kwa akili yao wanadhani kuna mtu nje ya mwanza anapaona pa kijanja. Wajipe moyo na wakithubutu natoa makombora, kuna kizebwere kimeweka picha za Freetown, Sierra Leone kakadhani sisi washamba wenzao hatuijui mwanza.
Acha kutetema we leta vitu tuone, et unaijua Mwanza, Mwanza haijawahi kukaliwa na mazwazwa kama wewe.
 
Nimeweka hakuna aliecomment mmeingia mitini. Mpaka mkaanza kuleta za nchi za watu, hivi shamba city nani anawajaza maji kichwani? Nyie mpo wengi tu ila hakuna lolote mnaizidi Arusha zaidi ya population, dodoma inawazidi kwa urbanisation.
Chuga Boy gani wewe umejaa taarabu kama wadada wa Tandika? Weka picha hizo ngonjera zako unakaa unarudia rudia hazina maana.
 
Back
Top Bottom