Cha asubuhi
JF-Expert Member
- Jun 21, 2017
- 1,549
- 2,279
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] we mbwa so umeamua kunireport [emoji1787][emoji1787][emoji1787] mimi ni kichwa heavy hauwezi nibeba hata Scania[emoji867]Afu bado nakukula tu za uso. Mshamba, matusi yenyewe umejifunza uzeeni. Ukishindwa game tulia, umepanick, mshamba wa mwanza, nenda kapige picha rock city mall uje utambe mpo juu ya Arusha.
We mwanamke mwepesi sana nimekudusu kigodo tu umeenda kusema[emoji1787][emoji1787] basi umeshinda[emoji867]Alafu la zamani sana, tuoneshe la mwanza, mtaishia kuziona kwenye google au mkija Arusha au dar. Nyie tunawauziaga Magari mabovu. Yale yalioshindikana tunatafuta mskuma tunamtupia.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] aiseee nmeshapewa onyo sina shida na wewe tena,,, nmeshangaa sana ulitaka nileban halafu?Mbwa bwana wako labda. Afu we battle umevamia tu na shobo zako za kishamba. Nikureport wakati nakumudu, mzee wa upinde [emoji304]
Fanya battle. Tatizo umeziwa unapanick sisi watoto wa downtown Atown, ata matusi tunayo sana, sisi wa mjini kuliko nyie shauri lako. Ushamba mzigo.[emoji1787][emoji1787][emoji1787] aiseee nmeshapewa onyo sina shida na wewe tena,,, nmeshangaa sana ulitaka nileban halafu?
Hebu quote tusi hata moja nililokutukana[emoji1787][emoji1787]
Sasa mambo ya mpanda yanatoka wapi hapa?Nawnyoosha Wakunya na nyie washamba wa Mwanza [emoji1787][emoji1787].
View attachment 2542235
Sumbawanga -Mpanda Highway
Make sure your kin,don't take advantage of Dar neighbourhood for Arusha CreditsBrother Hizi tu nazo kutumia sio sehemu za kishua ,ni ushenzini tu still..si mlitaka vitu vikali chuga hivi hapa mnavipata...NB hapa ni Sombetini Yan ushenziniView attachment 2546940View attachment 2546941View attachment 2546942View attachment 2546943
Exposure ni kuona wazungu na magari [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Exposure mzee. Ushamba mwanza ni mwingi sana. Ndio maana bado hadi leo 2023 mnashangaa maghorofa. Mmechelewa sana.
Good move Now you have to work on roads, city is infrastructures, you can't have a decent neighbourhood like that with unpaved roads in te cityWe ni mshamba.......eti sio ......jifariji basi Na CHAT GPT ..[emoji28][emoji28]..iulize jina la mkeo ikipatia ndio nitaiamini ...
No noise ...hapa ni kipigo tu [emoji116]
Ebu tuone ukubwa wa ARUSHA View attachment 2547091View attachment 2547093
Sent using Jamii Forums mobile app
Watakataa, kuna siku nimewawekea four points by sheraton walipotea, kimyaa🤣🤣Watu wa Mwanza hizi Tena sio habari nzuri ..ila inabidi mzipokeeView attachment 2547045View attachment 2547047
Wazembe[emoji16][emoji16][emoji38][emoji38][emoji38]
Arusha hospital 43,
Mwanza hospital 41
Fanya battle. Tatizo umeziwa unapanick sisi watoto wa downtown Atown, ata matusi tunayo sana, sisi wa mjini kuliko nyie shauri lako. Ushamba mzigo.
Acha basi mjomba utaua watu washamba kwa pressure waanze kuropoka.
Leta vya mwanza[emoji1787][emoji1787] hapa umeshangaa
Serious, ulikaa chini, ukapoteza muda wako kuanza kutype huu ushuzi[emoji38][emoji38]Mwanza ni moja ya mikoa wanawake wanaongoza kumiliki nyumba, tafsiri yake ni kuwa kuna wanaume wajinga sana. Mwanza inaizidi Arusha idadi ya watu, tafsiri yake ni kuwa hawajui uzazi wa mpango, ni wajinga.
wazembe, all in all ni uzembe.
Arusha pamoja na kuwa na idadi ndogo ya watu kuliko mwanza, inaizidi kwa idadi ya nyumba za ghorofa, huduma za kidiplomasia, uwiano wa hospitali kwa eneo, na uwiano wa hospitali kwa idadi ya watu. Arusha inaongoza kwa idadi kubwa ya majengo ya ghorofa, hoteli za viwango na ujenzi wa kisasa. Ata idadi ya magari tu, Arusha inaongozaArusha ni modern city, mwanza sio modern city. Mwanza bado wapo kwenye phase ya kushangaa maana vitu vimechelewa kuwafikia. Battle ya mwanza na arusha sio sawa. Labda mwanza na dodoma au tanga ambazo kimsingi zilikuwa au zipo mbele ya mwanza ukitoa population.
Angalia kwanza yangaLeta vya mwanza
Tuone Lamborghin mwanza ,leta picha Wacha maneno[emoji3][emoji3][emoji3] hilo Lamborghini la mchongo mwanza hamna?
Wee jamaa punguza uwongo,hiyo nyumba ya pili ipo Salasala jirani na kwa aliyekuwa CDF ipo nyuma yaThis is Arusha The land of god ...Haha Si mlikuwa mnataka Vyuma vikali mi nawapa...ukutuma moja mi nakutumia 5View attachment 2546572View attachment 2546573View attachment 2546574
Picha ya kwanza ni uwongo,hizi zipo KinondoniBrother Hizi tu nazo kutumia sio sehemu za kishua ,ni ushenzini tu still..si mlitaka vitu vikali chuga hivi hapa mnavipata...NB hapa ni Sombetini Yan ushenziniView attachment 2546940View attachment 2546941View attachment 2546942View attachment 2546943
Utasema yote leoPicha ya kwanza ni uwongo,hizi zipo Kinondoni