Battle: Mwanza (The Rock City) Vs Arusha (A-Town/Chuga)

Battle: Mwanza (The Rock City) Vs Arusha (A-Town/Chuga)

Afu bado nakukula tu za uso. Mshamba, matusi yenyewe umejifunza uzeeni. Ukishindwa game tulia, umepanick, mshamba wa mwanza, nenda kapige picha rock city mall uje utambe mpo juu ya Arusha.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] we mbwa so umeamua kunireport [emoji1787][emoji1787][emoji1787] mimi ni kichwa heavy hauwezi nibeba hata Scania[emoji867]
 
Alafu la zamani sana, tuoneshe la mwanza, mtaishia kuziona kwenye google au mkija Arusha au dar. Nyie tunawauziaga Magari mabovu. Yale yalioshindikana tunatafuta mskuma tunamtupia.
We mwanamke mwepesi sana nimekudusu kigodo tu umeenda kusema[emoji1787][emoji1787] basi umeshinda[emoji867]
 
Mbwa bwana wako labda. Afu we battle umevamia tu na shobo zako za kishamba. Nikureport wakati nakumudu, mzee wa upinde [emoji304]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] aiseee nmeshapewa onyo sina shida na wewe tena,,, nmeshangaa sana ulitaka nileban halafu?

Hebu quote tusi hata moja nililokutukana[emoji1787][emoji1787]
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] aiseee nmeshapewa onyo sina shida na wewe tena,,, nmeshangaa sana ulitaka nileban halafu?

Hebu quote tusi hata moja nililokutukana[emoji1787][emoji1787]
Fanya battle. Tatizo umeziwa unapanick sisi watoto wa downtown Atown, ata matusi tunayo sana, sisi wa mjini kuliko nyie shauri lako. Ushamba mzigo.
 
Exposure mzee. Ushamba mwanza ni mwingi sana. Ndio maana bado hadi leo 2023 mnashangaa maghorofa. Mmechelewa sana.
Exposure ni kuona wazungu na magari [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
We ni mshamba.......eti sio ......jifariji basi Na CHAT GPT ..[emoji28][emoji28]..iulize jina la mkeo ikipatia ndio nitaiamini ...
No noise ...hapa ni kipigo tu [emoji116]
Ebu tuone ukubwa wa ARUSHA View attachment 2547091View attachment 2547093

Sent using Jamii Forums mobile app
Good move Now you have to work on roads, city is infrastructures, you can't have a decent neighbourhood like that with unpaved roads in te city

Sent from my SM-A035F using JamiiForums mobile app
 
Fanya battle. Tatizo umeziwa unapanick sisi watoto wa downtown Atown, ata matusi tunayo sana, sisi wa mjini kuliko nyie shauri lako. Ushamba mzigo.
Screenshot_20230312-190805.jpg
 
Mwanza ni moja ya mikoa wanawake wanaongoza kumiliki nyumba, tafsiri yake ni kuwa kuna wanaume wajinga sana. Mwanza inaizidi Arusha idadi ya watu, tafsiri yake ni kuwa hawajui uzazi wa mpango, ni wajinga.
wazembe, all in all ni uzembe.
Arusha pamoja na kuwa na idadi ndogo ya watu kuliko mwanza, inaizidi kwa idadi ya nyumba za ghorofa, huduma za kidiplomasia, uwiano wa hospitali kwa eneo, na uwiano wa hospitali kwa idadi ya watu. Arusha inaongoza kwa idadi kubwa ya majengo ya ghorofa, hoteli za viwango na ujenzi wa kisasa. Ata idadi ya magari tu, Arusha inaongozaArusha ni modern city, mwanza sio modern city. Mwanza bado wapo kwenye phase ya kushangaa maana vitu vimechelewa kuwafikia. Battle ya mwanza na arusha sio sawa. Labda mwanza na dodoma au tanga ambazo kimsingi zilikuwa au zipo mbele ya mwanza ukitoa population.
Serious, ulikaa chini, ukapoteza muda wako kuanza kutype huu ushuzi[emoji38][emoji38]
 
Watu wa Mwanza najua hizi sio habari nzuri ila inabidi mzipokee sio mimi Jamani Hadi google inajua ukweli haidanganyi
Screenshot_20230312-164150.jpg
Screenshot_20230312-164217.jpg
Screenshot_20230312-164352.jpg
Screenshot_20230312-164415.jpg
 
Back
Top Bottom