Mwanza ni moja ya mikoa wanawake wanaongoza kumiliki nyumba, tafsiri yake ni kuwa kuna wanaume wajinga sana. Mwanza inaizidi Arusha idadi ya watu, tafsiri yake ni kuwa hawajui uzazi wa mpango, ni wajinga.
wazembe, all in all ni uzembe.
Arusha pamoja na kuwa na idadi ndogo ya watu kuliko mwanza, inaizidi kwa idadi ya nyumba za ghorofa, huduma za kidiplomasia, uwiano wa hospitali kwa eneo, na uwiano wa hospitali kwa idadi ya watu. Arusha inaongoza kwa idadi kubwa ya majengo ya ghorofa, hoteli za viwango na ujenzi wa kisasa. Ata idadi ya magari tu, Arusha inaongozaArusha ni modern city, mwanza sio modern city. Mwanza bado wapo kwenye phase ya kushangaa maana vitu vimechelewa kuwafikia. Battle ya mwanza na arusha sio sawa. Labda mwanza na dodoma au tanga ambazo kimsingi zilikuwa au zipo mbele ya mwanza ukitoa population.