Battle: Mwanza (The Rock City) Vs Arusha (A-Town/Chuga)

Hakika boss nakuambia kama ewe huna ila nyie huko Arusha mmejawa ubishi,ujuaji mwingi halafu ndo mnaonag ujanja lakin hatuwashangai maana ni asili yenu kabisa yaan mnaweza kubisha nyekundu mkakomaa kusema njano na mkasimamia msimamo
Mbona huo ukweli Mimi siujui nimeanza kujulia huku huku watu wanpotoa mawazo yao
 
Hakika boss nakuambia kama ewe huna ila nyie huko Arusha mmejawa ubishi,ujuaji mwingi halafu ndo mnaonag ujanja lakin hatuwashangai maana ni asili yenu kabisa yaan mnaweza kubisha nyekundu mkakomaa kusema njano na mkasimamia msimamo
Hivi ushaskia watu wa Arusha Wana dreamz za kuja Mwanza...mbona watu wa Mwanza kila siku mnamiminika Arusha
 
Hivi ushaskia watu wa Arusha Wana dreamz za kuja Mwanza...mbona watu wa Mwanza kila siku mnamiminika Arusha
Uongo uliokolea kiufupi Arusha labda umeajiriwa nitajie shughuli gan Arusha inamvuta mtu wa mwanza aache UVUVI,UCHIMBAJI MADINI,na BIASHARA aje ARUSHA taja ila kumbuka huku Kuna chuo CHA IRDP yaan CHUO CHA MIPANGO tulikopaga jina kuwa chuo Cha watu wa Arusha maana ndo wengi sana wanakuja mwanza,pia wengi wapo huku wanahamgaika na zile biashara zao za maduka ya takataka
 
Kama unaona Jiji la mwanza la pili Kwa Kila kitu watu wengi mno wapo na biashara je Arusha KAZI kubwa hko ni BAR MADE Kwa wadada ila wanaume maisha magumu mno utakuta stand walivo unaogopa mwenyew mtu akiachama mdomoni mweusi anafuga Rasta chafu na wengi ni mashogakama
Hii mijengo Arusha kila siku inachom
Hivi ushaskia watu wa Arusha Wana dreamz za kuja Mwanza...mbona watu wa Mwanza kila siku mnamiminika Arusha
 
Sasa hao wenye maduka ya taka taka sio watu wa Arusha ...afu tofautisha kati ya wachaga na watu wa Arusha.

Wachaga wanatokea mkoa wa Kilimanjaro..vile vile unasema shughuli gani inawavuta watu wa Mwanza waje Arusha ...basi huku Kuna viwanda vingi sana nadhani Arusha ni top 3 ya mikoa yenye viwanda vingi tz...

Mkuu nitumie namba yako pm nikuoneshe demu nadate nae sasa wakutoka Mwanza anaishi Arusha kama utojali
 
Mkuu Mwanza kuwa na watu wengi so kwamba watu wanamove kutoka mikoa kuja Mwanza ..kwa inavojulikana tz nzima nikuwa ni wasukuma kuzaa bila uzazi wa mpango hilo liko wazi na Mwanza ni mikoa kati ya watu wake wanayoishi kwenye umaskini mkubwa huku watu wachache kujilimbikizia Mali hilo ni tofauti na Arusha
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] sasa kwaninj udate na msukuma kwani arusha hakuna pisi
 
Nakataa mkuu mwanza Ina utitiri wa viwanda boss yaan viwanda vya samaki havina idadi,viwanda vya maji,vinywaji nk
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…