Battle: Mwanza (The Rock City) Vs Arusha (A-Town/Chuga)

Hizo ni myth TU na huwa nashukuru mno maana zinatufanya tupae sana kiufupi MWANZA na Mikoa YOTE Kanda ya ziwa Iko Vizuri mno
 
Unajua kaka wazungu ni wehu na hawana nia njema nasi na ndo wanatumaliza

Naomba nikuulize swali unitajie nchi Gani ni tajiri na imeendelea sana ila Ina watu wachache?
Asee zipo nyingi Sanaa Canada, Luxembourg, Denmark,sweeden zipo nyingi sana mkuu ..mim naona kila kitu ni strategies tu ...sisi bongo rushwa,upigaji vimetawala..kama Arusha huku Kuna janja janja janja nyingi sana
 
Yani kama Kenya unashangaa miji kama Kisii ,eldoret napo panajengwa flyovers ,Kuna Malls kubwa za kisasa ...kwa kifupi kwa bongo sijaona malls za kufananisha na Kenya ,bongo siasa nyingi sana
 
Asee zipo nyingi Sanaa Canada, Luxembourg, Denmark,sweeden zipo nyingi sana mkuu ..mim naona kila kitu ni strategies tu ...sisi bongo rushwa,upigaji vimetawala..kama Arusha huku Kuna janja janja janja nyingi sana
Hamna kitu hapo angalia taifa la china,cheki Nigeria,south Africa, taifa lenye watu wengi linapiga sana KAZI nguvu KAZI ipo na mapato ni makubwa sana Kuna muda nawaonaga waarabu wajanja kugoma kuiabudu dollar ya marekani na wakatumia Yao na inathamani balaa ndo maana huoni inabadilishwa hapa tz labda airport pekee ila sisi ambao Hela yetu tunazuiliwa na tunapangiwa duuh hii Dunia ipo chini ya watu Fulani wanaicontrol sisi tumo ndani tunasubiri KITUO Cha kushukia TU
 
Yani kama Kenya unashangaa miji kama Kisii ,eldoret napo panajengwa flyovers ,Kuna Malls kubwa za kisasa ...kwa kifupi kwa bongo sijaona malls za kufananisha na Kenya ,bongo siasa nyingi sana
Angalia Nigeria, south afrika, Ethiopia, nenda Cairo kaka,, pia unakumbuka china ilianzisha one child policy na ikaiondoa yenyew na kuruhusu kuzaa HALAFU unalipwa mshahara unazani kwann
 
A
Mpaka sasa sijaona ukumbi wa mikutano mwanza zaidi ya huu👇
View attachment 2551516

Arusha unafaamika au nirudie kwa faida yenu
View attachment 2551518
Kiki zako ni matako sio Kila tamasha linapelekwa ukumbini sema HUWEZ jua Dana maana mikutano,makongamano na ziara za waheshimiwa hazifanyikii huko znafanyikia MWANZA maana Kuna maeneo ya open space, pia uwanja mkubwa KIRUMBA STADIUM,

Sasa ew unataka Kila kongamano lifanyikie ukumbini kama seminar
 
Mkuu hapo ntapingana na wewe Nigeria Hawa kila siku wanakimbia nchi yao?! Nigeria hii nchi iliyokubikwa na Rushwa?

Kuhusu SA kuendelee ni sawa ila walioinedeleza ni makaburu ,Wazulu na Wakhosa wanajulikana kwa Uvivu na starehe iliyopindukia kuliko kufanya kazi.

Kwasasa India ndo nchi yenye idadi kubwa ya watu angalia jinsi ilivonamatabaka
 
Achana na maswala ya rushwa ,cjui vita lakin ukisema maendeleo Nigeria baba wako juu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…